inabidi ueleze unachokitaka'computer kuna hardware na software
mmkuu mimi ninacho hitaji nikupata elim/ujuzi utakao niwezesha kufanya ufundi kwa ku2mia computer.Mf magari meng sasa hivi ni ya kielectronics so matatizo meng ya utengenezaji wake yanahitaji utumie computer.
Kwan kunamatatizo sasa hv kweny gari linaweza likagoma kuwaka kbs lkn ukichomeka computer kuna vi2 unafanya na gari inawaka kama kawaida bila kufungua au kubadilisha chochote.
Nazan hapo mkuu umenielewa ninacho kihitaji.
inabidi ueleze unachokitaka'computer kuna hardware na software
Lege,
uhaitaji kusoma kwa hatua:
1. Jifunze computer OS. Hapa utajifunza externals za computer boss (OS) jinsi anavyokuwezesha kuongea na hardware na applications. Service anazotoa kama clipboard(cut, copy, paste et al), hardware abstraction (USB, Monitors, serial ports et al). Baada ya kujua basic OS services then unaweza fuata next
2. Jifunze Office package na internet. Hizi zitakupa idea jinsi OS husika inavyoongea na application na kujifunza basic commands zinavyofanywa ktk app.
3. Jifunze program husika ya automotive na jinsi inavyofanya kazi na kuongea na vifaa vya gari yako
4. Urudi na kusema ahsante (utani umekusudiwa hapa!)
Unatakiwa usome Automove Electronics,apa utajifuza how to repair,repragram and diagnose ECU electronic control units za magari,jinsi ya kudeal na ABS, Automatic break systems,jinsi ya kuprograms air bags.sensors,na kadharika..,nnazo material zake nilisomaga hii course,zamani,pamoja na industrial robotics systems ,nipo kiasi bize unaweza kuni PM .niangalie jinsi ya kukusaidia mkuu
sawa ngoja nicheck Pm,check huu mchoro huu alafu sema kama upo poamkuu nimeku PM.