naan ngik-kundie
JF-Expert Member
- Jun 5, 2014
- 1,766
- 2,431
Jaman kuna dawa zina madini ya Folic acid ni maalumu kwa ajili ya mama mjamzito na bei yake hipo juu sana, lkn juzi nilinunua dawa hizi lkn wife akanambia zinautofauti na zile nilinunua mara ya kwanza sasa nisaidieni na nimeweka picha za box zote mbili nisaidie je hizi dawa zipo pia ambazo ni feki?
Ili kujikinga nazo kwa ajili ya madhara ya baadae.
Ahsante.
Ili kujikinga nazo kwa ajili ya madhara ya baadae.
Ahsante.