Wataalam naomba msaada njaa haiishi. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wataalam naomba msaada njaa haiishi.

Discussion in 'JF Doctor' started by Cantalisia, Sep 27, 2011.

 1. Cantalisia

  Cantalisia JF-Expert Member

  #1
  Sep 27, 2011
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 5,229
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Najitahidi kula na ninashiba but baada ya mda mchache kama lisaa tu njaa inaniuma vibaya nimeenda hospitali nikapewa dawa za minyoo na nikashauriwa niwe natumia kila baada ya miezi miwili but still nakua na njaa na sipati nafuu nakula tofauti na wanadamu wengine.
   
 2. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #2
  Sep 27, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,136
  Likes Received: 6,631
  Trophy Points: 280
  maombi nayo ni muhimu kwako.
   
 3. Globu

  Globu JF-Expert Member

  #3
  Sep 27, 2011
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 7,975
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  Kula albendazole 400mg mara moja kwa siku, kwa siku tatu mfululizo. Zitakusaidia. Ikiwa hakutokuwa na mabadiliko baada ya kutumia hiyo dose, tafadhali rudi tena jukwaani utueleze.
   
 4. Vin Diesel

  Vin Diesel JF Gold Member

  #4
  Sep 27, 2011
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 8,402
  Likes Received: 738
  Trophy Points: 280
  [h=2][h=1]Heri yako wewe...mtazame huyu...
  [FONT=impact, arial, helvetica]Deadly food addiction girl ate a lightbulb and bricks[/FONT][/h]
  [​IMG]Deadly ... Natalie Hayhurst eats lightbulbs and bricks

  MEET the toddler who has a deadly food addiction that meant she ate an entire LIGHTBULB and gobbles down bricks like they were biscuits.[/h]Little Natalie Hayhurst is at constant risk of poisoning herself because of a rare condition which makes her crave inedible objects.
  The cravings are so bad that the three-year-old nearly died after eating a lightbulb that she tore from a bedroom night-light.
  While her favourite delicacies are rocks and sticks, Natalie has been known to wolf down almost a whole brick, 'like it was a chocolate chip cookie'.
  [h=4]Battle[/h]Despairing mum Colleen, 31, says every day is a constant battle of wills as she tries to stop her daughter eating something that could kill her.
  Colleen said: "She doesn't try to eat glass so much since it hurt her, but she will try and eat rocks and sticks she finds in the garden.
  "She can eat a brick like a normal person would eat a chocolate chip cookie.
  "She knows these things are bad for her ... But the cravings are too much for a three year old to handle."
  Natalie has Pica, a condition characterised by an appetite for non-nutritive substances.
  Colleen, of Terre Haute, Indiana, US, revealed the moment her daughter's disease nearly killed her.
  [​IMG]Cravings ... little Natalie Hayhurst has been known to gobble down a whole brick
  Caters News Agency


  She said: "I had put Natty to bed and I was in the kitchen doing the washing up.
  "Suddenly she walked in and held up a small piece of wire. Her mouth was bleeding and instantly I knew what had happened.
  "Natty had eaten an entire lightbulb - everything but the wire.
  "We rushed to a walk in medical centre where they were very concerned about what had happened.
  "I was so scared, my husband was at home with my son so I was totally alone.


  "But she was OK. She stayed overnight and we were home the following evening."
  Since the accident Natalie is watched around the clock by Colleen, David and brother Andrew, five.
  Colleen, an office manager, said: "Some days are better than others.
  "On good days she'll only try to eat something dangerous once. But on bad days she'll go for things constantly.
  "My big worry is that one day she'll eat something poisonous and we won't be there in time."
   
 5. CAMARADERIE

  CAMARADERIE JF-Expert Member

  #5
  Sep 27, 2011
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 4,427
  Likes Received: 159
  Trophy Points: 160
  Kunywa mafuta ya nyonyo (castor oil) kwa wingi....kama lita moja hivi
   
 6. M-pesa

  M-pesa JF-Expert Member

  #6
  Sep 27, 2011
  Joined: Sep 4, 2011
  Messages: 605
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Usikute una tape worms sugu wasiosikia dawa. Nakushauri angalia na hospitali unazokwenda, kuna hospitali nyingine ukiingia tu ...mazingira unayokutana nayo yanazidisha ugonjwa hata kabla hujamuona daktari kanjanja.
  Baada ya hapo jiandae kupatiwa vipimo feki then daktari kanjanja atajitahidi kukutumia matumaini ya uwongo na kweli kabla hajakuuzia mzigo wa dawa zake zinazomuweka mjini.
  Shukuru Mungu siku hiyo awe ameamka vizuri asahau kukuuzia dawa zilizo expire.
   
 7. fabinyo

  fabinyo JF-Expert Member

  #7
  Sep 27, 2011
  Joined: Aug 5, 2011
  Messages: 2,084
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  duh,Cantalisia kweli wewe huna tatizo
   
 8. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #8
  Sep 27, 2011
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,517
  Likes Received: 2,265
  Trophy Points: 280
  inawezekana ww ni emotional eater. una stress ama mawazo yoyote yanayokusumbua? umekua hivi kwa muda gani sasa? je,mwili unachoka sana? jaribu kuangalia pia kama una kisukari. wakati hu jitahidi upate sahani ya matunda katikati ya milo ile mitatu mikuu. kunywa maji ya kutosha nusu saa baada ya kula.
   
 9. Cantalisia

  Cantalisia JF-Expert Member

  #9
  Sep 27, 2011
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 5,229
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Asante kwa ushauri but maombi nafanya mkuu.
   
 10. Cantalisia

  Cantalisia JF-Expert Member

  #10
  Sep 27, 2011
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 5,229
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Asante kwa ushauri nitafanya hivyo na nitaleta feeback.
   
 11. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #11
  Sep 27, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  I dont figure out how could this work out!....anyway, anywe!
  Albendazole inatibu tatizo la worms tumboni.
  Lakini mdau amekwambia ametumia dawa zote za minyoo, lakini zinaprove 'futile!
  Shida yake ni zaidi ya minyoo, actually shida hii inaelekeana na ya mtoto wa kwenye picha ya hapo juu...ni abnormality fulani inayohitaji further metabolical and hormonal experimentations
   
 12. Cantalisia

  Cantalisia JF-Expert Member

  #12
  Sep 27, 2011
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 5,229
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Na kweli nilidhani nimezidiwa kumbe kuna wezangu waliozidiwa zaidi,Na kweli heri yangu nakula vyakula vya kawaida huyu mtoto watu jamani anatia huruma!!
   
 13. Cantalisia

  Cantalisia JF-Expert Member

  #13
  Sep 27, 2011
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 5,229
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Asante ila sitaharisha kweli!nasikiaga haya watu wanakunywa kama hawapati nchoo, mie shida yangu njaa inauma mda mfupi baada ya kula!
   
 14. Cantalisia

  Cantalisia JF-Expert Member

  #14
  Sep 27, 2011
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 5,229
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Hilo nalo neno, but nimeenda hospitali inayoeleweka na nimekutana na daktari wa ukweli na alinipa miezi mnne ka bado taitizo niende tena ndio mwezi wa nne unaishia na tatizo bado nikaamua kuomba ushauri humu.
   
 15. Cantalisia

  Cantalisia JF-Expert Member

  #15
  Sep 27, 2011
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 5,229
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Sina stress kbs, ila nilikuwa mnene sn nikamua kupunguza mwili na nikapungua vizuri tu kama nilivyotaka baada kama ya miezi miwili ndio hiyo ishu ya njaa ikaanza kwa speed ya ajabu na sasa ni karibia miezi mitano nahangaika nayo, na tangu nimemwona daktari nakaribia miezi minne sasa na tatizo liko pale pale!
   
 16. Cantalisia

  Cantalisia JF-Expert Member

  #16
  Sep 27, 2011
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 5,229
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Mwee mbona unanitisha mkuu ina maana nawezafikia kula mawa tena!!!!plz help.
   
 17. CAMARADERIE

  CAMARADERIE JF-Expert Member

  #17
  Sep 27, 2011
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 4,427
  Likes Received: 159
  Trophy Points: 160
  Ukisikia njaa kunywa maji kwa wingi badala ya kula ...... husaidia pia
   
 18. Cantalisia

  Cantalisia JF-Expert Member

  #18
  Sep 27, 2011
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 5,229
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Yani nilidhani mie binadam wa ajabu ila huyu mtoto yeye ni zaidi!
   
 19. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #19
  Sep 27, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160

  Pata vitamin B complex zitakusaidia sana
   
 20. Cantalisia

  Cantalisia JF-Expert Member

  #20
  Sep 27, 2011
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 5,229
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Maji nakunywa glass mbili nusu saa au dk 20 baaba ya kula, na njaa ikianza nikinywa maji mwngi nsikia kichefuchefu na nikiendelea naweza tapika.
   
Loading...