Johnny Impact
JF-Expert Member
- Sep 12, 2017
- 5,104
- 8,269
Kuna kujifunza kula ila siyo asili yao. Msukuma na kichuri wapi na wapi mkuu. Hapo umedanganya mkuu.Usikariri. Wote wanaokula ndizi ni Wahaya, makande ni Wapare au mtori ni Wachaga pekee?
yeye kwake kila mtu ni msukuma : kuanzia lumumba, ngome, magogoni, boma, twintower et ceteraKuanzia lini msukuma akala kichuri, apo umetudaganya.
Ndo nimerudi mkuu,utaniona sana humu mpaka unichokeNipo mkuu,,ulipotea kidogo et
Hajaongelea "kujifunza kula" bali "kula", huwezi ukaniambia Msukuma wa Mwanza anayekula ndizi kila siku kuwa anajifunza kula.Kuna kujifunza kula ila siyo asili yao. Msukuma na kichuri wapi na wapi mkuu. Hapo umedanganya mkuu.
Kichuri lbd ukuryani ila siyo kwa wasukuma. Hao unawaowazungumzia ni washashi na wakurya. Ngosha ale kichuri? Ni sawa na masai ale mlenda au mbute
Karibu usukumani ujionee. Huku hatujui hata kichuri kinaandaliwaje. Kuhusu koroni hata za mbuzi tunakula hapo sibishi.
Hajaongelea "kujifunza kula" bali "kula", huwezi ukaniambia Msukuma wa Mwanza anayekula ndizi kila siku kuwa anajifunza kula.
UmeuaKichuri sio mavi ya Ng'ombe.
Ile ni zile nyasi ambazo mnyama kama mbuzi au Ng'ombe anakua amekula ziko kwenye utumbo mwembamba zikimeng'enywa kabla hazijahamia utumbo mpana kua mavi.
So ni sawa na ile wanaita work in progress, sio nyasi na sio mavi. So bado inakua ina virutubisho vyote vya yale majani, ndio inatolewa inamiksiwq na nyongo.
Makabila mengi wanakula hiyo kitu sio wa mwanza tu, na sio wasukuma wanakula hiyo, hiyo ni ya jamii ya wakurya wote wa mkoa wa mara.
Kichuli, ile ni kama appetiser, unaweza kula mbuzi nzima, achana na kichuri.
Hahah ni makinikia.Achana na hyo kitu,kichuri ni bidhaa adimu sana Mara
Ruhusu afatwe na Nissan Nyeupe.Hujui unachokiongea, search humu niliishatolea ufafanuzi wa kichuri ni nini
Nashindwa kuumuunga mkono mleta uzi kwa asilimia nyingi!
Kweli mkuu ni matiti ya ng'ombe ndo mishikaki yetu kanda ya ziwa hukuMimi mtu wa pwani ndio kwanza nayasikia leo. Kuna mishkaki inachomwa barabarani mdogo midogo hivi.naipenda kuna mtu akaniambia zile nyama ni matiti ya ng'ombe.sijui ni kweli Mimi naziona ni tamu
anhaa kumbe aiseeNashindwa kuumuunga mkono mleta uzi kwa asilimia nyingi!
Enewei Mwanza ni jiji labda sehemu anazotembelea yeye ndio kuna hizo mambo, ila sasa hapo ametaja Buwelu na ndio ninakoishi sijawahi kuona hayo zaidi ya vichwa vya kuku na miguu yake ndio naona wakina mama wanakaanga na kuuza pale Centre!.