Wasukuma na ulaji wa korodani za ng'ombe na kichuri

Msukuma gani huyo anakula kichuri? Au unahisi kila anayekaa Mwanza ni Msukuma?
Kichuri chakula cha wakurya, acha upotoshaji!
 
hakuna kitu kitamu kama korodani za nguruwe.. lol lol ile kitu acha kabsa
 
Kichuri sio mavi ya Ng'ombe.

Ile ni zile nyasi ambazo mnyama kama mbuzi au Ng'ombe anakua amekula ziko kwenye utumbo mwembamba zikimeng'enywa kabla hazijahamia utumbo mpana kua mavi.

So ni sawa na ile wanaita work in progress, sio nyasi na sio mavi. So bado inakua ina virutubisho vyote vya yale majani, ndio inatolewa inamiksiwq na nyongo.

Makabila mengi wanakula hiyo kitu sio wa mwanza tu, na sio wasukuma wanakula hiyo, hiyo ni ya jamii ya wakurya wote wa mkoa wa mara.

Kichuli, ile ni kama appetiser, unaweza kula mbuzi nzima, achana na kichuri.
Hahahaa. . .kwa kuongezea hayaitwi mavi kabla hayajanyewa
 
Kichuri sio mavi ya Ng'ombe.

Ile ni zile nyasi ambazo mnyama kama mbuzi au Ng'ombe anakua amekula ziko kwenye utumbo mwembamba zikimeng'enywa kabla hazijahamia utumbo mpana kua mavi.

So ni sawa na ile wanaita work in progress, sio nyasi na sio mavi. So bado inakua ina virutubisho vyote vya yale majani, ndio inatolewa inamiksiwq na nyongo.

Makabila mengi wanakula hiyo kitu sio wa mwanza tu, na sio wasukuma wanakula hiyo, hiyo ni ya jamii ya wakurya wote wa mkoa wa mara.

Kichuli, ile ni kama appetiser, unaweza kula mbuzi nzima, achana na kichuri.
DUHH ile ilinishinda maana wanachukua nyama laini,wanachanganya na hayo majani wanaweka kwenye kifuko cha nyongo,duhhh inaitaji ujasiri kula
 
Nahisi kile kichuli (mchanganyiko wa mavi ya ng'ombe laini na nyonga) ndio kinachowazibua akili ndugu zetu wa kanda maalum.
 
Msukuma na kichuri?? sijui labda wasukuma wenzangu watakua wanajua zaidi, Wakurya watakula nini kama wasukuma watakula kichuri

_Wasukuma bwana_
 
Ukizunguka mitaa mbalimbali hapa jijini Mwanza hasa mida ya jioni kuanzia mjini kati, Igoma, Buswelu, National na mitaa mingine mingi basi utakutana na moshi mwingi unaofuka kwenye majiko watu wakiwa busy kuchoma mishikaki ya moyo, maini, korodani, maziwa na maviungo mengine ya ng'ombe.

Kanda ya ziwa hasa Mwanza hakuna kiungo cha ng'ombe kinachotupwa, labda pembe na kwato tu. Huku kuna kitu kinaitwa kichuri, ni mchanganyiko wa mavi ya ng'ombe na nyongo. Wenyeji wanakula nyama choma ugali mwekundu wanashushia na kichuri yaani mavi na nyongo.

Ukitaka mishikaki ya kila kitu basi huku inapatikana, korodani, maini, moyo, utumbo, maziwa na madude mengine.

Kuishi Mwanza raha sana.
Hujui unachokiongea, search humu niliishatolea ufafanuzi wa kichuri ni nini
 
Back
Top Bottom