Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 11,763
- 27,159
Inasikitisha sanateh teh ! hayo mambo sio mazuri kwa afya, ila hapa duniani tuna mambo mawili tu kutafuta hela na kuyombana basi.. sema mie la kuyombana hapa, acha nitunze uvulana wanguu.. maana ma vijana yana penda kama hivi
There she go, shakin' that ass on the flo'
Bumpin' and grindin' that pole
The way she's grindin' that pole
I think I'm losin' control
Kwani ujui kuwa Samia yupo siti ya mbele kwenye nyuzi za hivi ?Sijui kwanini nyuzi za hovyo hivi ndo huwa zinapata wachangiaji wengi lakini ukienda kule jukwaa la biashara na ujasiriamali utakuta nyuzi zimejaa nondo ila wanazipita kama hawazioni. Wicked generation
alafu mapenzi kwanza dhambiYafutwe tuu,
Kila mtu ana namna yake ya kuridhika kwenye mapenzi basi,
ebu maMtu msoni, nitafsirie haya mashairi kuna mwana jf kanitumia Pm SIJUI YANA MAANA GANI
Hahahahaha hatare sana mzeealafu mapenzi kwanza dhambi
Duuh hata typing huwezi gundua mie geli mkuuKadogo wewe ni Mwanaume au Mwanamke ? Unanichanganya kidogo hapa.
Hujakutana na Miaoji wa Misungwi aisee,Wadau, kuna fununu nimekuwa nikizisikia kutoka mitaani na mitandaoni kuwa Wanawake WAKISUKUMA siyo mafundi katika suala zima la Mapenzi,
Watu wengi wanafananisha level ya Wasukuma kuwa ni sawa na ile ya wanawake wa Kenya, ..
Hebu wadau saidieni hapo, huu ni ukweli ( in general ) au ni fununu tu hizi.
Na wewe ni msukumaHili limeniumiza saanaa 🎼🎵
Doctor wewe muhaya au mnyambo?Tunarusha mimaji mwaa🤣🤣
😅😅Doctor wewe muhaya au mnyambo?
Mapole.....Hili limeniumiza saanaa 🎼🎵
Kama hawajui shughuli waje kwangu niwafundishe kwa vitendo.
Andika tu mkuu, ujue hizi nyuzi sijui jinsi zinavyochangiwa sana basi ndio zinaonekana sana hata sielewi.
Maana labda hata uscrow vp unazikuta zilezile ulizopitia, labda uingie kwenye profile ya mtu ucheki nyuzi alizocomment na ww upitie humo ndo unapata mpya.
Binafsi hii changamoto ipo sana kwangu.
Mkuu unajifurahisha tu, wanawake wa Kisukuma hata na hao Wakikenya ni mafundi kitandani sema tu ulipata mtu asiye na hisia na wewe akakuacha tu ukicheza Mayenu peke yako.Wadau, kuna fununu nimekuwa nikizisikia kutoka mitaani na mitandaoni kuwa Wanawake WAKISUKUMA siyo mafundi katika suala zima la Mapenzi,
Watu wengi wanafananisha level ya Wasukuma kuwa ni sawa na ile ya wanawake wa Kenya, ..
Hebu wadau saidieni hapo, huu ni ukweli ( in general ) au ni fununu tu hizi.