KERATO MOMBAA
JF-Expert Member
- Feb 4, 2025
- 4,279
- 5,742
Eeee hi sayansi kali aisee Binti wa zamani secretarybird a.k.a ka aviator Mbaga Jr njooni hukuMimi hapa msukuma haya sikia niwaambie nyie MAPENZI HAYAHITAJI UFUNDI UMARUFU UKIZIDI SANA NI USHAMBA hebu angalia leo taifa la tanzania SISI WASUKUMA NI WENGI KULIKO MAKABILA YOTE WHY Anaye chakalika kitandani ni mwanaume ikitoa maelekezo kwa mwanamke naye mke anatii kwautulivu anadaka goli mimba inatungwa maana mbwembwe zikizidi mimba haitungwi ispokuwa inaharibika wakati wa papara nyingi yai linapasuka maana yai ni lain likitikiswa kidogo2 linapasuka
Ebu mtuache kwanza!Wakurya ndio wanafanana na wakenya angalia ata sura zao na jinsi walivyo wajasiri.
Yani huyo mchangia mada ameandika kama msukuma pure.
Hili jibu la kihuni nililitegemeaUkapendee hivyo vingine ambavyo kanaweza bila shaka kabinti ka watu kana akili na kana heshima.
Kiuno kiwe kilaini kwani kenyewe kacheza dansi?
Hela na hisia vina unduguHAWANA HISIA
Sanahumu kuna watu wanafanya dhambi
Inasikitisha sana, kama nchi bado sana tuna safariSana
Uhuni uko wapi sasa hapa mtani? (Wakurya 🙌)Hili jibu la kihuni nililitegemea
maMtu maMtu maMtu...Uhuni uko wapi sasa hapa mtani? (Wakurya 🙌)
Namshangaa Shyshka Reinhardt (zamani Uzuri hatujuani) anawasema jirani zangu kisa anatafuta wanawake wanenguaji wa kumtwekia 🤣
Uhuni uko wapi sasa hapa mtani? (Wakurya
Uhuni uko wapi sasa hapa mtani? (Wakurya )
Namshangaa Shyshka Reinhardzamani Uzuri hatujuani anawasema jirani zangu kisa anatafuta wanawake wanenguaji wa kumtwekia
[/QUOTE]
Siku tukifika hanoi nitakunyang'anya fin yako hadi uongee vizuri
We Bikra, hebu tulia kwanza 🤣maMtu maMtu maMtu...
shake your booty
Come home with momma now ..
teh teh ! hayo mambo sio mazuri kwa afya, ila hapa duniani tuna mambo mawili tu kutafuta hela na kuyombana basi.. sema mie la kuyombana hapa, acha nitunze uvulana wanguu.. maana ma vijana yana penda kama hiviWe Bikra, hebu tulia kwanza 🤣
Sina cha kusema kwa mtu ambaye ameshajiamulia ama upate mkata mauno ama hataki mapenzi completely 🤣
kwanza mapenzi yafutweUpuuzi mtupu mwisho wa siku mapenzi hayakupi chakula mezani,
Yafutwe tuu,kwanza mapenzi yafutwe