wasukuma mnanikosha

wasukuma mnanikosha

Mi japo msukuma,May be kwa Wanaume ,lakini wa kike ni Malimbukeni wengi
 
Wasukuma ni kama puppet, wanafanywa chochote na mwanamke wala hawajoji, demu/ mke anarudi usiku wala haulizi, anafika na kuingia bafuni tena chuppi mbichi wala haulizi, wanapendwa labda sababu wanatoa uhuru uliopitiliza kwa wanawake ila ikifika wakati wanataka wanaume wa kufanya maamuzi, huwa wanawakimbia.
 
najikuta nawaonea ila kweli wanapenda .. sema sehemu moja wananiboa wanaweza simamia jambo lake balaa .. pia kuongea kilugha kila akikuta na wenzie uwiii
 
Nasikiaga hawa jamaa wanapenda light skin women alafu wanaongoza kwa kuwa na nyumba ndogo.

Mawazo yangu tu.

-callmeGhost
 
Dada wanaume wa kisukuma walikupa nini thread ya tatu hii unawaanzishia

Nakushauri jitafutie msukuma mmoja kabla hawajaisha na wewe uonje raha ya kujaliwa
Wasukuma wanapenda kweli
Wanajari
 
Wasukuma na waha kigoma wanapenda kweli me nimejinyakulia mke kgm
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom