Sijui kama research ya mleta maada imezingatia other important factors km Sukuma is the largest tribe in Tanzania covering almost five regions. Possibility ya wachache ambao kwa factor hiyo ya ukubwa wa kabila ikaonekana ni wengi kumbe wanaweza kuwa sawa tu na wasukuma walioowa walangi
hivi bado wana tabia yao ya kupenda wanawake weupe?
Wapo mtakaoniita mbaguzi ila ukweli utabaki nyumbani ni nyumbani lazima upapatie kipaumbele. Kumekuwa na wimbi kubwa la vijana wa kisukuma kuoa wanawake wa makabila mengine na kutupilia mbali utamaduni wa kurudi nyumbani kupata mke, wengi wanakimbilia uchagani, kabila lisilokubalika na wazee wengi wa kisukuma, leo nawauliza dada zenu wataolewa na nani kama hamtaki kurudi kuoa nyumbani? Kama ni usomi tu dada wa kisukuma wamepiga shule si mchezo, vijana wenzangu wa kisukuma rudini mkaoe kwenu, dada zenu kwa sasa wamebaki kuzalia nyumbani tu, ni wasimbe kama mnavyojua, nani atawaoa kama mnakimbilia uchagani?

hayaaaaaaaaaaaaaaa shauriro kama ujapewa :banplease:
Ahahahahahaaaaaaaa!!! Ladyfurahia huyo jamaa amenishangaza sana.
Ngosha umechemsha. Ukisema Mikoa 5, unamaanisha WANYAMWEZI na si WASUKUMA. Sisi ni Wanyamwezi wa DAKAMA na nyie ni WANYAMWEZI wa Sukuma yaani KUSINI NA KASKAZINI.
Ila ukweli unabaki kama ulivyotaka kusema kuwa Wanyamwezi ndiyo kabila kubwa sana Tanzania na kuwa karibu Robo ya Watanzania wote. Ukiangalia kwa Idadi, utaona kweli wengi wameolea huko, ila kwa asilimia, si wengi.
Wapo mtakaoniita mbaguzi ila ukweli utabaki nyumbani ni nyumbani lazima upapatie kipaumbele. Kumekuwa na wimbi kubwa la vijana wa kisukuma kuoa wanawake wa makabila mengine na kutupilia mbali utamaduni wa kurudi nyumbani kupata mke, wengi wanakimbilia uchagani, kabila lisilokubalika na wazee wengi wa kisukuma, leo nawauliza dada zenu wataolewa na nani kama hamtaki kurudi kuoa nyumbani? Kama ni usomi tu dada wa kisukuma wamepiga shule si mchezo, vijana wenzangu wa kisukuma rudini mkaoe kwenu, dada zenu kwa sasa wamebaki kuzalia nyumbani tu, ni wasimbe kama mnavyojua, nani atawaoa kama mnakimbilia uchagani?
Wapo mtakaoniita mbaguzi ila ukweli utabaki nyumbani ni nyumbani lazima upapatie kipaumbele. Kumekuwa na wimbi kubwa la vijana wa kisukuma kuoa wanawake wa makabila mengine na kutupilia mbali utamaduni wa kurudi nyumbani kupata mke, wengi wanakimbilia uchagani, kabila lisilokubalika na wazee wengi wa kisukuma, leo nawauliza dada zenu wataolewa na nani kama hamtaki kurudi kuoa nyumbani? Kama ni usomi tu dada wa kisukuma wamepiga shule si mchezo, vijana wenzangu wa kisukuma rudini mkaoe kwenu, dada zenu kwa sasa wamebaki kuzalia nyumbani tu, ni wasimbe kama mnavyojua, nani atawaoa kama mnakimbilia uchagani?
Wanyamwezi???
Mikoa gani hiyo? Maana mie najua wanyamwezi ni wa tabora tu!
Wapo mtakaoniita mbaguzi ila ukweli utabaki nyumbani ni nyumbani lazima upapatie kipaumbele. Kumekuwa na wimbi kubwa la vijana wa kisukuma kuoa wanawake wa makabila mengine na kutupilia mbali utamaduni wa kurudi nyumbani kupata mke, wengi wanakimbilia uchagani, kabila lisilokubalika na wazee wengi wa kisukuma, leo nawauliza dada zenu wataolewa na nani kama hamtaki kurudi kuoa nyumbani? Kama ni usomi tu dada wa kisukuma wamepiga shule si mchezo, vijana wenzangu wa kisukuma rudini mkaoe kwenu, dada zenu kwa sasa wamebaki kuzalia nyumbani tu, ni wasimbe kama mnavyojua, nani atawaoa kama mnakimbilia uchagani?
navutiwa na wadada weusi wa kisukuma wanene nataman siku moja nipate wangu.Wapo mtakaoniita mbaguzi ila ukweli utabaki nyumbani ni nyumbani lazima upapatie kipaumbele. Kumekuwa na wimbi kubwa la vijana wa kisukuma kuoa wanawake wa makabila mengine na kutupilia mbali utamaduni wa kurudi nyumbani kupata mke, wengi wanakimbilia uchagani, kabila lisilokubalika na wazee wengi wa kisukuma, leo nawauliza dada zenu wataolewa na nani kama hamtaki kurudi kuoa nyumbani? Kama ni usomi tu dada wa kisukuma wamepiga shule si mchezo, vijana wenzangu wa kisukuma rudini mkaoe kwenu, dada zenu kwa sasa wamebaki kuzalia nyumbani tu, ni wasimbe kama mnavyojua, nani atawaoa kama mnakimbilia uchagani?