Wasukuma, dada zenu wataolewa na nani?

Wasukuma, dada zenu wataolewa na nani?

Heeeh kumbe wanajua sana kupenda hlf vikojoleo vyao viko imara!!!

Nahitaji msukuma wallah,
Yu wapi ajitokeze.
 
Ndio uwezo wako wa kufikiri ulipoishia, tutafanyaje sasa maana hakuna namna.
 
Na pia mtoa mada asisahau wanawake wa makabila mengine wanawasaka sana hao wanaume wa kisukuma , kwa imani kua wanajua kupenda, vifanyio vyao imara, n.k .....
Na kweli wa kaka wa kisukuma ni penda penda!
 
sasa unataka usitembelewe kama hutaki kaishi sayari nyingine
kwa nini tunazaa tunazaa watoto wa kuja kutusaidia kwa baadae nguvu zinapoisha hata shimo la kukuzikia wanachimba inaonekana mkuu kwako wageni ni mwiko
Mgeni anakutembelea kwa mwezi au zaidi, halafu sio mgeni mmoja wako kadhaa! Kwani hawana makwao? Hawana shughuli za kufanya? Ikiwa too much haipendezi...
 
Back
Top Bottom