Kakole
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 2,094
- 1,751
Njoo nikuoe mimi ni mkurya.Na sie tutaolewa na makabila mengine
Njoo nikuoe mimi ni mkurya.Na sie tutaolewa na makabila mengine
Ili unipe kelbu kila siku, hapana aseeNjoo nikuoe mimi ni mkurya.
Acha uoga ww, siku hizi mbona tunaongaza kwa kupetipeti hata hao kaka zenu wakina ngosha hawaoni ndaniIli unipe kelbu kila siku, hapana asee
Na ww ni chaga type? rangi inawaka hata ukiwa gizan?Wasukuma wooote na makabila mengine karibuni uchagani. Hatuna shida na mtu ni peace tu yaani. Mtakuja tu mpende msipende
Teh hapana asee, since nipo mdogo niliwazaga siwezi kuolewa na mkuyra, muha na muhaya nashukuru nimewaepuka ha ha ha ha ha samawani lakiniAcha uoga ww, siku hizi mbona tunaongaza kwa kupetipeti hata hao kaka zenu wakina ngosha hawaoni ndani
..........mmmmmmmmmmmmmh basi sawaaaaaaaaaaaa.........Teh hapana asee, since nipo mdogo niliwazaga siwezi kuolewa na mkuyra, muha na muhaya nashukuru nimewaepuka ha ha ha ha ha samawani lakini
Nikweli ukiowa msukuma jiandae kulea ndugu zakeEeeh!! Mkuu, mbona unanitisha..? Mimi nataka kuoa dada wa Kisukuma...kumbe mambo ndiyo hiyo...looh!!
Karibu Kishumundu Mkuu.Na ww ni chaga type? rangi inawaka hata ukiwa gizan?
......aaaah! alahaula! nishapata mke mie! ndio unapatikana huko?Karibu Kishumundu Mkuu.
Kuna Mlugulu ameniwahi. ila wadogo zangu wapo. Karibu......aaaah! alahaula! nishapata mke mie! ndio unapatikana huko?
Hiyo sawa mkuu, nitakaribia maana watoto wa kichaga bwana si mchezoKuna Mlugulu ameniwahi. ila wadogo zangu wapo. Karibu
Ok tutakuja ila tatizo lenu wachaga hamuwezi Mamboz!!Wasukuma wooote na makabila mengine karibuni uchagani. Hatuna shida na mtu ni peace tu yaani. Mtakuja tu mpende msipende
Hata mimi nashangaa mkuu. Hatujui mambo lakini mnazidi kumiminika.Ok tutakuja ila tatizo lenu wachaga hamuwezi Mamboz!!
ni kweliwasukuma wengi wanachanganyikiwa na ule weupe wa wachagga,
Tunafuata unafuu wa mahali na weupe wenu.Hata mimi nashangaa mkuu. Hatujui mambo lakini mnazidi kumiminika.
Kama kweli sababu ni hiyo. PoleTunafuata unafuu wa mahali na weupe wenu.
Tena tunawakaribisha kwa madebe ya mbegeWasukuma wooote na makabila mengine karibuni uchagani. Hatuna shida na mtu ni peace tu yaani. Mtakuja tu mpende msipende