Wasukuma, dada zenu wataolewa na nani?

Wasukuma, dada zenu wataolewa na nani?

Ulikuwa uko viroba wakat unaandika huu uzi? Kama umewaita dada zao sasa watawaoaje? Au wewe hufanya mapenz na dada zako? Wakula na nyolo nduhu ubebe
 
Lakini mkuu nimesikia familia za kisukuma zinataka mahari ya ng'ombe wengi kuliko inavyostahili, hii pia inaweza kuchangia kukimbiwa kwa mabinti wa Kisukuma
Wapo mtakaoniita mbaguzi ila ukweli utabaki nyumbani ni nyumbani lazima upapatie kipaumbele. Kumekuwa na wimbi kubwa la vijana wa kisukuma kuoa wanawake wa makabila mengine na kutupilia mbali utamaduni wa kurudi nyumbani kupata mke, wengi wanakimbilia uchagani, kabila lisilokubalika na wazee wengi wa kisukuma, leo nawauliza dada zenu wataolewa na nani kama hamtaki kurudi kuoa nyumbani? Kama ni usomi tu dada wa kisukuma wamepiga shule si mchezo, vijana wenzangu wa kisukuma rudini mkaoe kwenu, dada zenu kwa sasa wamebaki kuzalia nyumbani tu, ni wasimbe kama mnavyojua, nani atawaoa kama mnakimbilia uchagani?
 
acha upuuzi wewe .Tanzania hakuna ukabila .msukuma anaweza kuowa kabila lolote na pia kuolewa na kabila lolote .hiyo siyo tatizo .pia elewa wasukuma ndiyo kabila kumbwa kuliko yote Tz.tupo kila sehemu Tz hata songea ,mtwara. tunamikoa mingi sana tupu Jiji la Mwanza yote ,Geita,Shinyanga,Simiyu na sehemu kumbwa ya mkoa wa Tabora .kwa hilo la kuowa au kuolewa hatuna was was nalo tunaweza kuowa au kuolewa kabila lolote mkuu
 
Familia nyingi za kisukuma ni EXTENDED na kwa sababu hiyo wanaume wengi wanakimbilia uchagani maana hao wako wakali linapokuja suala la utegemezi wa kindugu, hawana simile kabisa katika hilo (ndio maana wazee wengi wa kisukuma wanawapinga sana) tofauti na ukioa msichana wa kisukuma jua una wadogo zake na mabinamu zake wa kulea nyuma yake.
 
Wapo mtakaoniita mbaguzi ila ukweli utabaki nyumbani ni nyumbani lazima upapatie kipaumbele. Kumekuwa na wimbi kubwa la vijana wa kisukuma kuoa wanawake wa makabila mengine na kutupilia mbali utamaduni wa kurudi nyumbani kupata mke, wengi wanakimbilia uchagani, kabila lisilokubalika na wazee wengi wa kisukuma, leo nawauliza dada zenu wataolewa na nani kama hamtaki kurudi kuoa nyumbani? Kama ni usomi tu dada wa kisukuma wamepiga shule si mchezo, vijana wenzangu wa kisukuma rudini mkaoe kwenu, dada zenu kwa sasa wamebaki kuzalia nyumbani tu, ni wasimbe kama mnavyojua, nani atawaoa kama mnakimbilia uchagani?

We ni -------- kabisa kwa hiyo unataka wakaka wawaoe dada zao?
 
Wasukuma kama wagogo tu ukioa atakuja baba mkwe, shangazi, mabinamu na wengine kujaa nyumbani kwako.

kaka sio wote wenye hizo tabia. mimi ni mchanganyiko wa mgogo na msukuma lakini hizo tabia unazotaja ktk familia yetu hazikuwepo. na vile kuoana mchanganyiko ndo mpango mnatoa watoto bomba balaa.
 
ningekuwa karibu ningekupa hay maana bora umemwambia huyo kwani tanzania ina ukablila?
Habari mleta mada
awali ya yote napenda kukushukuru kwa kuongea tu bila kuangalia uhalisia wa mambo au jambo jenyewe lilivyo uamuzi wa kuoa ni fursa ya muoaji afanye kipi na kipi asifanye kuna watu wanaoa makabila mengine kwa kuangalia walikotoka labda chuoni na hata mashuleni makanisani na makazini na kila mtu anaoa kadili ya anavyojisikia
nahitimisha uchunguzi wako siyo sahihi kabisa kumbuka kuoa mwanamke wa kabila tofauti kuna changamoto mbalimbali na siyo kama wewe unavyochukulia
jipange upya upya tena
 
wasukuma wengi wanachanganyikiwa na ule weupe wa wachagga,

Wasukuma wengi wasomi wake zao ni Wachaga (Rangi Nyeupe)

1: Paul Bomani
2: Andrew Chenge
3. Prof. Costa Mahalu
4.
5.
6.
7.
 
kaka sio wote wenye hizo tabia. mimi ni mchanganyiko wa mgogo na msukuma lakini hizo tabia unazotaja ktk familia yetu hazikuwepo. na vile kuoana mchanganyiko ndo mpango mnatoa watoto bomba balaa.

Mtoto wa shangazi yangu kaoa msukuma, nyumba yake ina vyumba vi 3 ila hao ndugu mpaka wengine wanalala sebuleni. Wote ni wa mke. Yaani huwezi amini. Kwanza baba mkwe na mama mkwe walihamia pale siku nyingi, wakaja wadogo zake na mkewe wa 2, kuna watoto wa shangazi yake na mkewe nao wa 2 wapo pale. Pia kuna beki 3 wake wa long time. Nyumba ina watu balaah alafu asilimia kubwa ya waliomuendea pale ni watoto wa kike wenyewe wamejitafutia shughuli wanasuka nywele za majirani baasi. Bro mi huwa ananiambia anajihisi kama anaishi kwa wakwe. Nyumba yake huu mwaka wa 6 lakini hata fence imemshinda. Bado kuna wageni wa kuja na kuondoka wasioisha. SIOI Msukuma hata iweje.
 
unataka tuolewe na kaka zetu... mbona dada zako wa kichaga hawaolewi na kaka zao wa uchagani

by the way, sijui hiyo study umeifanyia wapi, maana tupo tulioolewa.
then usisahau wasukuma ndio kabila lenye watu wengi (ukilinganisha na makabila mengine) hapa tanzania, hao waliooa wachaga wanaweza kuwa wachache sana ukizingatia idadi ya wasukuma
 
wasukuma washatambua WACHAGGA wanapenda maendeleo, xo makabila mengine pia wanakaribishwa...mwishowe tanzania itakuwa NA WACHAGgga machotara
 
Wapo mtakaoniita mbaguzi ila ukweli utabaki nyumbani ni nyumbani lazima upapatie kipaumbele. Kumekuwa na wimbi kubwa la vijana wa kisukuma kuoa wanawake wa makabila mengine na kutupilia mbali utamaduni wa kurudi nyumbani kupata mke, wengi wanakimbilia uchagani, kabila lisilokubalika na wazee wengi wa kisukuma, leo nawauliza dada zenu wataolewa na nani kama hamtaki kurudi kuoa nyumbani? Kama ni usomi tu dada wa kisukuma wamepiga shule si mchezo, vijana wenzangu wa kisukuma rudini mkaoe kwenu, dada zenu kwa sasa wamebaki kuzalia nyumbani tu, ni wasimbe kama mnavyojua, nani atawaoa kama mnakimbilia uchagani?

Usiwatishe bhana!!
 
Mtoto wa shangazi yangu kaoa msukuma, nyumba yake ina vyumba vi 3 ila hao ndugu mpaka wengine wanalala sebuleni. Wote ni wa mke. Yaani huwezi amini. Kwanza baba mkwe na mama mkwe walihamia pale siku nyingi, wakaja wadogo zake na mkewe wa 2, kuna watoto wa shangazi yake na mkewe nao wa 2 wapo pale. Pia kuna beki 3 wake wa long time. Nyumba ina watu balaah alafu asilimia kubwa ya waliomuendea pale ni watoto wa kike wenyewe wamejitafutia shughuli wanasuka nywele za majirani baasi. Bro mi huwa ananiambia anajihisi kama anaishi kwa wakwe. Nyumba yake huu mwaka wa 6 lakini hata fence imemshinda. Bado kuna wageni wa kuja na kuondoka wasioisha. SIOI Msukuma hata iweje.

Eeeh!! Mkuu, mbona unanitisha..? Mimi nataka kuoa dada wa Kisukuma...kumbe mambo ndiyo hiyo...looh!!
 
Hamza Kalala, Mwana muziki Msukuma/Mnyamwezi akiwa amefunga ndoa na Mama watoto wake na rafiki yake wa Siku nyingi ambaye ni Mtoto wa Cheyo (Bwana Mapesa - Msukuma) na pia Mama yake Kalala Jr.

Pichani, Kalala's wakimuimbia Mama Kalala Jr.

KALALA2.jpg

Ukiacha utani, kuna ka ukweli fulani kuwa Wasukuma wengi wameowa Uchagani au Wachaga pia wameowa Usukumani.

Nafikiri hii inachangiwa na WEUPE wa Wachaga maana Wanyamwezi tunapenda sana Kangozi keupe ambako hata ng'ombe hutowi.

Ila ukiacha kuolea Uchagani, WASUKUMA na haswa wa MWANZA, hawapendani sana na WACHAGA. AU niseme kuwa Mkoa wa Mwanza hawapendani sana na Kilimanjaro na kati yao kuna ushindani Mkubwa sana. Nilishakutana na kijana wa Kisukuma ambaye akisikia Mchaga, anagoma hata kuongea na atafanya juu chini aondoke hapo mapema. Ila usifikiri alikuwa masikini, hapana, alikuwa na fedha yake nzuri tu ya kifamilia.
 
Mi thread ya uzuri wa wanaume wa kisukuma haikaukagi hapa JF , unadhani demand ya hawa watu itapungua ?
kadri demad itakavyoongezeka , tutajikuta tunalazimika kuwatolea mahari hawa wanaume wa kisukuma, hahahaha....
hebu njooo kwangu maana mimi ni msukuma orijino bariadi m'wanawane
 
Sijui kama research ya mleta maada imezingatia other important factors km Sukuma is the largest tribe in Tanzania covering almost five regions. Possibility ya wachache ambao kwa factor hiyo ya ukubwa wa kabila ikaonekana ni wengi kumbe wanaweza kuwa sawa tu na wasukuma walioowa walangi
 
Back
Top Bottom