Wastegate yalipuka ?

Wewe --------, mimi nafuatilia ahapa sky news wameandika major explosion wewe unabisha kama sio kichaa nini?
2fanye umeshinda basi naona kama unaviwavi wananyefuanyefua...
 
Wakatimwingine muwe na akili, nini chanzo chanzo cha huo Moshi mkubwa?

Sasa hiv, Sky news na aljazeera wanafanya live coverage acha ujinga wewe....

labda wanadhani ni moshi wa sigara
 
ni kweli kuna mlipuko wastgate...lakini hii picha sio..yake...acheni kuingiza vitu..hii picha iko katika move ya sarafina.....
 
2fanye umeshinda basi naona kama unaviwavi wananyefuanyefua...

wewe mjinga tu unaeongozwa na jihadi -udini, unakanusha hata usivovifahamu,

Sasa hivi K24 television wametangaza ni bom ambalo militants wamelilipu KWA LENGO LA KUWACHANGANYA ASKARI

Hiyo picha unayoikanusha pia ni ushamba wako unaelekea hata mambo ya map reading and photograpgh interpretation

hukupitia o - level, nikilaza wa nguvu wewe na unatia aibu. hiyo picha nisahihi.
 
wameuamua kujilipua wafe ili wafike mbinguni kama watakakatifu.by virtual of islamic teachings.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…