Wastani ni dk 5.4 kwa wanaume (6x6)

Mm nikiwa na demu mpya nachelewa ila demu wa zamani nawahi lkn cyo km gwajiiboy mm natembea dkk 3.5---5.5 nawashusha wazungu
 
Ukisoma hizi comments utagundua kua sisi wabongo tupo vzur sna kwenye habar za ngono tu na sivinginevyo

Siamin bwana viatu vya samaki anavyochambua jinsi anavyopiz kama vile yeye ni akina michael owen wa uingereza
 
wagonjwa wanajifaliji acha wanaume tusimamie kucha naona mpaka cheo cha udaktari mmejipa nyinyi maada katika sekta ya afya kuna tatizo linaitwa premature ejaculation ni tatizo katika matatizo ya uzazi kama nyinyi hamtaki kukubali endeleeni na dakika zenu tano , lakini usiombe demu wako akakutana na msimamia kucha.
 
Haaa
nimecheka kwa sauti hadi nimeshtua watu..
 
hyo circular motion ndo kama ile ya gwajiboy au!??
 
Kuku mwenyew akigusa tu waya wew unataka dakika tano kwani pale unalima
 
Mmhh,hii tafiti utarudisha moyo kwa wanawake waliokuwa wanafikiri wapenzi wao wamepungukiwa
 
Kwa marekani sawa hayo kuwatokea...

Sababu ni wao pia wanaongoza duniani kwa kua na idadi kubwa ya wanaofariki wakiwa wanapiga punyeto...


Cc: mahondaw
 
Hizi habari za muda wa kumaliza round zinaiharibu jamii na ndipo wale wanaouza dawa wamefanikiwa kuwafanya watu wajione wana matatizo sana hivyo wanaamua kutafuta suluhisho


Wanaoathirika zaidi ni vijana wanaosoma haya mabango.
Wakilinganisha uwezo wao na ule unaoandikwa
 
kweli kabisa.. wanyama wote wanao wazunguka ni ndani ya dk 1. Mtu anakwambia 45 mins na una amini.. wengine wamepata hadi magonjwa ya moyo kwa sababu ya kutafuta hizo 45 mins.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…