Wastani ni dk 5.4 kwa wanaume (6x6)

Mm nikiwa na demu mpya nachelewa ila demu wa zamani nawahi lkn cyo km gwajiiboy mm natembea dkk 3.5---5.5 nawashusha wazungu
 
Ukisoma hizi comments utagundua kua sisi wabongo tupo vzur sna kwenye habar za ngono tu na sivinginevyo

Siamin bwana viatu vya samaki anavyochambua jinsi anavyopiz kama vile yeye ni akina michael owen wa uingereza
 
wagonjwa wanajifaliji acha wanaume tusimamie kucha naona mpaka cheo cha udaktari mmejipa nyinyi maada katika sekta ya afya kuna tatizo linaitwa premature ejaculation ni tatizo katika matatizo ya uzazi kama nyinyi hamtaki kukubali endeleeni na dakika zenu tano , lakini usiombe demu wako akakutana na msimamia kucha.
 
Duh, nina watoto 3 na mama yoyo, ka schools fees kako kamoja, wa 1 keshaanza, wa 2 yuko (varisity) mwaka 2 na kamkopo kake, kuna bills za maji, umeme kila mwezi, mazagazaga kila wiki, petroli, mchele, unga, maharage kila wiki, dinner kwa mama kila mwezi, kuendeleza miji, magari kuharibika, michango ya ndoa, misiba na ya vyama vya kusaidiana, swala la nguo na boots kwangu siyo issue sana, ila mama yoyo lazima atupiwe ka perfume na kazawadi isizidi miezi 3, biashara haiendi kama zamani, tunachumia tumbo tu, msaidizi shamba, home na kwenye biashara wasisahauliwe, repairs bomani za hapa na pale hasa baada ya mvua kama hizi kutuharibia maboma, yote haya yavuruga kichwa...
Sasa wajameni hizo goli kumi na dk 90, au kumpa mama yoyo haki yake baada ya dk kadhaa mbona naona ni maumivu na mateso kwangu?!
Labda wenzangu pamoja na majukumu kama yangu mko fit zaidi...
Haaa nimecheka kwa sauti hadi nimeshtua watu..
 
Mi nilikua ninahofu kwamba nina upungufu wa nguvu za kiume kutokana na nyeto ya muda mrefu ila niliacha na sikukutana na mwanamke kwa muda nilikua napiz ndotoni

Sasa siku moja nikapata mwanamke(Ex) tukakubaliana kufanya tendo katika mawazo niliwaza sana leo naenda kuumbuka nitakua na nguvu kweli

Siku ya kwanza appoitment ikafail hofu ikapungua siku ya pili ivo ivo ya tatu ndo tukafanikiwa kukutana

Tulikua sehemu iliyotulia nyumba haikuwa na watu/ mwingiliano wowote ule, kwanza tulikaa tukazoea mazingira huku tunapiga story na kucheka mixer kushikana kawaida mpka kimuhe muhe cha kusex kikawa level


Then tukaingia bed baada ya mim na yeye kuanza kuhitaji kweli, ajabu siku iyo sikula chochote zaidi ya maji tu

Nikaongeza romance hamu zikapanda wakati uo nishasahau hofu
Nikazama la kwanza nahis ilikua ni 14min hiv ndo likashuka ila ajabu bado nikaendelea kama dk5 hiv ndo ukanywea

Naye alifika sababu nilizonotes
Wakati nafanya circular motion alinibana kama mtu mwenye dege dege kama dk hiv then akaniachia, baada ya kitendo icho hamu ikamkata ananiuliza vip bado

Nilifanikiwa kutekeleza kama 3 hivi mwisho akakinai la nne akaniacha imesimama hataki tena
hyo circular motion ndo kama ile ya gwajiboy au!??
 
Utafiti ulifanywa huko marekani mwaka 2015 unaonyesha kuwa 75% ya wanaume hutoa wazungu ndani ya dk 2 .

Na wastani ni dk 5.4. Utafiti huo unaonyesha ni wanaume wachache sana ambao walizidi dk 13 .

Usidanganywe eti una upungufu wa nguvu za kiume.. jiamini upo vizuri.


Pia wanawake acheni kuwapa hofu wanaume, toeni ushirikiano.

Hakuna mwanaume mwenye upungufu .
Kuku mwenyew akigusa tu waya wew unataka dakika tano kwani pale unalima
 
Kwa marekani sawa hayo kuwatokea...

Sababu ni wao pia wanaongoza duniani kwa kua na idadi kubwa ya wanaofariki wakiwa wanapiga punyeto...


Cc: mahondaw
 
Hizi habari za muda wa kumaliza round zinaiharibu jamii na ndipo wale wanaouza dawa wamefanikiwa kuwafanya watu wajione wana matatizo sana hivyo wanaamua kutafuta suluhisho


Wanaoathirika zaidi ni vijana wanaosoma haya mabango.
Wakilinganisha uwezo wao na ule unaoandikwa
 
Hizi habari za muda wa kumaliza round zinaiharibu jamii na ndipo wale wanaouza dawa wamefanikiwa kuwafanya watu wajione wana matatizo sana hivyo wanaamua kutafuta suluhisho


Wanaoathirika zaidi ni vijana wanaosoma haya mabango.
Wakilinganisha uwezo wao na ule unaoandikwa
kweli kabisa.. wanyama wote wanao wazunguka ni ndani ya dk 1. Mtu anakwambia 45 mins na una amini.. wengine wamepata hadi magonjwa ya moyo kwa sababu ya kutafuta hizo 45 mins.
 
19 Reactions
Reply
Back
Top Bottom