Hao watoto wajinga nini mzee amehangaika moaka yote sasa uzeeni anataka kusasambua mbususu mbichi wanamletea za kuleta. Hawajui kuwa maisha raha yake mbususuSure,kunamzee alioa kibinti kidangaji,binti akapura zilepesa kwa fujo,dakika za mwisho watoto wa mzee wakamchapa yule binti,mzee akasalimu amri akamuacha. kucheki bank kwenye milioni 80 mzee kabakiza milioni 12 tu.
Wanajua mzee akipata heart attack jukumu la kumtibu ni lakwao si la mbususu.Hao watoto wajinga nini mzee amehangaika moaka yote sasa uzeeni anataka kusasambua mbususu mbichi wanamletea za kuleta. Hawajui kuwa maisha raha yake mbususu
Sasa wao waache roho mbaya mbona baba yao aliwahudumia miaka hiyo na kujinyima mambo mengi. Wao kumuhudumia akipata heart attack ndio wanaonanjambo kubwa. Mitoto nakwambia mijinga sana inajifikiria yenyewe tuu...so selfishWanajua mzee akipata heart attack jukumu la kumtibu ni lakwao si la mbususu.
Maofisa wa benki pia wanatakiwa kuona hii fursa ya grey shilling. Wawe wanawaelewesha maana ya fix deposit account. Ikiwezekana mtu aache nusu ya mafao benki na ataendelea kupata faida.Tulijaribu kama mradi fulani ambao ulipata mfadhili CARE INTERNATIONAL wilayani Kasulu mwaka 2002 wakati watumishi wanapata retrechment,mradi huu ulikuwa na lengo la kuwajengea uwezo wastaafu kuzimiliki hela zao pindi wanapopata.
Wastafu hao walifanyiwa semina ya wiki zima na kulipwa posho kila siku na walikuwa wanapata chai na chakula cha mchana. Baada ya kupata mafao yao na kuwafatilia ili kufanya tathimini ikaonekana wote wamefanya madudu na mradi ukafa. Mfadhili hakutoa fedha tena. Yaani hawa wastaafu wakipata fedha zao huwa wanapata kichaa fulani cha gafla.
Mkuu yaani wazazi wawili wanaweza kulea vizuri kabisa watoto kumi lakin uzeeni kwao watoto wao hao kumi wanaweza kushindwa kuwalea wazazi wao hao wawili.Sasa wao waache roho mbaya mbona baba yao aliwahudumia miaka hiyo na kujinyima mambo mengi. Wao kumuhudumia akipata heart attack ndio wanaonanjambo kubwa. Mitoto nakwambia mijinga sana inajifikiria yenyewe tuu...so selfish
Duh!!Hao watoto wajinga nini mzee amehangaika moaka yote sasa uzeeni anataka kusasambua mbususu mbichi wanamletea za kuleta. Hawajui kuwa maisha raha yake mbususu
Tatizo wasitaafu walio wengi niwa bishi sana kisikiliza mtu yoyote, na pia hawajazoea pesa nyingi lazima zipotee kwanza ndo watafute zingine za biashara huo ndo mfumo wao.Wastaafu wengi huumizwa na mafao ambayo yalikengwa kuwasaidia. Kuna mmoja alipata milioni 200, wapambe walimshauri awekeze kwenye uchimbaji mdogo wa dhahabu. Alikaa huko miezi 18. Amerudi nyumbani hana kitu bahati yake mke ni mhangaikaji ana mgahawa.
Wahanga wa matukio haya ni wengi sana. Unamkuta mfanyakazi alikua anapokea laki nne na nusu kwa mwezi ghafla anamiliki milioni 60 benki. Kuna ambao wana malengo. Alikopa huko nyuma na kununua kiwanja na kujenga nyumba ya nyuma ili aachane na kulipa kodi. Alipanga mafao ndiyo ajenge nyumba ya mbele.
Ninachoona mifuko ya jamii iajiri wataalamu wa saikolojia na pia washauri wa uwekezaji. Ile wiki msataafu anayokabidhiwia pesa zake aelewe kuwa ana pesa lakini pesa ni liquid asset na ikishamwagika haizoleki. Apewe pia mawazo katika uwekezaji sahihi kama atapenda.
Daaah!!!Uko sahihi kabisa, mi muhanga.
Mama kastaafu kapigwa mil 65 kajenga kanisa nyumbani
Waumini wote ye ndio anahudumia.
Kila anayekuja ana matatizo.
Mama ana huruma sana
Muumini badala ya kuleta sadaka ndo kwaanza anaomba nauli ya kurudi kwao.
Nilikua sijali na mambo yake ila siku aliponambia kisiri nimpe hela akawape nauli ndo nikaona sasa huu utani.
Nikavunja kanisa na
Siku niliwatimua na bange zangu hawatanisahau.
Hela zimeisha,waumini hawapo Mama anasalisha huko kanisani lutheran kama nilivyomshauri
Sasa hivi ndo matokeo,
mmoja mmoja anamfata anawaombea,wanafanikiwa na kwakweli wanamsaidia fasta kunapotokea chochote.
Katika ubishi wao wanajiamini kweli wanakuambia wanaanza biashara. Wanaamini ndani ya muda mfupi watakua wamezalisha mara tatu ya ile hela ya mafao. Hapa unabishana na mtu ana miaka 60 na hajawahi kufanya biashara maishani mwake.Tatizo wasitaafu walio wengi niwa bishi sana kisikiliza mtu yoyote, na pia hawajazoea pesa nyingi lazima zipotee kwanza ndo watafute zingine za biashara huo ndo mfumo wao.
Hao watoto wajinga nini mzee amehangaika moaka yote sasa uzeeni anataka kusasambua mbususu mbichi wanamletea za kuleta. Hawajui kuwa maisha raha yake mbususu
Wanajua mzee akipata heart attack jukumu la kumtibu ni lakwao si la mbususu.
Fixed Deposit haina faida kama una hela ya kitoto hizo za below 100M...Wanaoinjoy hio ni wenye 400M plus!Maofisa wa benki pia wanatakiwa kuona hii fursa ya grey shilling. Wawe wanawaelewesha maana ya fix deposit account. Ikiwezekana mtu aache nusu ya mafao benki na ataendelea kupata faida.
Mzee wangu aliweza japo miaka ya Kati alichukua mkopo pssf walikuwa wanaita mikopo ya nyumbaDaaah!!!
Mzee ulimuacha sanaa!!
Experience inaonesha hakuna mstaafu aliyepewa mafweza akataka kuyamiliki mwenyewe alafu akatoka salama hakuna hata mmoja.
Hao inatakiwa kuwasaidia wasipokubari kwa hiari walazimishwe.
Ungeingilia kati mapema pengine asingepoteza kiasi hicho.
Nategemea Kumpangia mama kila kitu pindi atakapostaafu kwa sababu nikishindwa kufanya hivyo mm mwanae
Wapo mambulula huko nje they will do it instead of me.
Ingilia kati kumsaidia mzazi wako asife mapema.
Atakuchukia mwanzo lkn kadiri akili zinavyorudi ndo atakua anajua umuhimu wako.
Wastaafu