falcon mombasa
JF-Expert Member
- Mar 5, 2015
- 9,186
- 9,288
Wakuu habari za asubuhi,
kuna taarifa nyeti hapa napewa na mmoja kati wastaafu waliotumikia taifa kwa kipindi chao chote cha ujana na utu uzima na hadi sasa uzee.
Wanasema kumbe wastaafu wote hawakulipwa stahiki zao tangu jully 2015, mbaya zaidi baadhi ya watumishi wa hazina wasio na maadili ya kazi walikuwa wanasema waziwazi kuwa mafao yenu yametumika kwenye kampeni za CCM.
Baadhi ya wastaafu hao kwa umoja wao wameamua kuunda ushirikiano kuandamana kwa amani kuelekea kwa Waziri mkuu siku ya jumatatu siku ya tarehe 13.
Nilipojaribu kudadisi zaidi wakalalamika kuwa wengi wao wanaishi maisha magumu kwa kuwa hawajalipwa stahiki zao walizotumia nguvu za ujana wao kulipigania taifa.
My take : Tumeanza kuona makundi mbali mbali yakianza kuukosoa uongozi wa awamu ya tano mapema mnoooo tofauti na mategemeo yao ya kauli mbiu ya hapa kazi tu.

Last edited by a moderator: