Emma.
JF-Expert Member
- Jun 25, 2012
- 19,932
- 5,566
Mnaweweseka sana lakini Wassira yuko juu sana.
Wassira yuko juu sana juu ya mbingu au juu ya mti
Mnaweweseka sana lakini Wassira yuko juu sana.
Imethibitishwa na mh.Wassira mwenyewe kuwa aliwahi kuhama chama chake cha mapinduzi (ccm),kutokana na kutokupitishwa na chama chake kukgombea ubunge.Alihamia NCCR-Mageuzi na kufanikiwa kuwa mbunge.
Sasa mh huyu amekiri kuwa urais sio mama mkwe,hivyo anaweza kugombea kupitia ccm.
Kama hatagombea urais maana yake atagombea ubunge kwa mara nyingine tena.
Kwenye ubunge nako sio kurahisi sana kwa mh.huyu maana mh.Bulaya naye atataka kuthibitisha umwamba wake,umwanamke imara kwa kugombea.
Ikitokea ccm wakamtosa mh.Wassira kwenye ubunge na urais,je,ataachana na siasa au itambidi arudi tena upinzani ili aweze kugombea kama 1995?
Na kama atahamia upinzani,itakuwa chama gani? NCCR tena au CHADEMA ambayo kwa sasa ndio inaguvu za kumfanya kushinda kirahisi?
ni vigumu sana kutenganisha rushwa na uongozi ndani ya ccm hili hata wana ccm wenyewe wameshalisema
Wassira yuko juu sana juu ya mbingu au juu ya mti
huyu wassira hana tofauti na malaya
Ha ha ha ha ha Nimeipenda hii EVOLUTION OF MAN. Where did something go wrong very terribly? Una maana huyu wa nyuma naye anataka urais? Kwa jamhuri gani ambayo bado primates wana hadhi ya kuongoza?
siyo wassira tuu kwaufupi ccm hakuna mwenye sifa za kugombea uraisi 2015 wote ni wezi na mafisadi wakubwa
View attachment 187590
DR SLAA NDO TEGEMEO JIPYA KWA WATANZANIA WOTE CCM NI MAREHEMU WATARAJIWA
Wasira kwenye gazeti hilo hilo kasema kuwa alirudi ccm kwa kuwa biashara yake ya kuuza samaki pale Msasani haikuwa inalipa, hivyo alirudi kwenye siasa za ccm kwani huko ndiko kwenye mshiko/inalipa!!! Huyu ni mchumia tumbo anayetumia siasa kwa manufaa yake!!!
Kuna ile kesi iliyomthibitisha kuwa ni mloa rushwa,inamfanya awe uchi,huwezi kwenda kwa mkweo ukiwa uchi,urais bado ni mama mkwe tu kwa wasira
atueleze kwanza bilioni 1 aliyompatia mwanae 2006 alitoa wapi ndio story za mama mkwe zifuate, CCM HII SIO ILE YETU ni biashara inayolipa kuliko zote TZ
Stephwin wasira ukigombea urais kura yangu hauna
Wasira akiwa rais wa nchi hii naomba uraia nchi nyingine,
Kesi ya nyani kapewa tumbiri ulitegemea angeambiwaje Wote watoa rushwa hana CDM rushwa IPO mkono mtupu........
Wassira yuko juu sana juu ya mbingu au juu ya mti
Habari ya Bilioni moja ni uzushi