Tuko
JF-Expert Member
- Jul 29, 2010
- 11,180
- 7,354
Wengine wepi?? Mungu okoa Tanzania kweli zile zero za kuanzia 2010 zmeshaanza kazi walahi
Hii ndio aina ya wapiga debe wa mgombea uraisi!!!
Wengine wepi?? Mungu okoa Tanzania kweli zile zero za kuanzia 2010 zmeshaanza kazi walahi
Toa sababu....mbona unajiumauma??Jitahidi sikuzote kuelewa na si kukosoa,,,,,mie gazeti ninalo na hakurudi kwa sababu hiyo....
Wassira huna jipya, sura kaa...
We tukana shutumu,kaa ukijua Urais ni utendaji kama unadhani ni sura,,,,,,utasubiri sn,Wasiraaaaa Rais wetu 2015!
Nyie washabiki wa
Wassira humu ndani bureee kabisa,Hujui hata tofauti ya "nukta" na
"mkato".....Au mnatumia simu za Mchina?....Andika vizuri wewe
CCM nitairejesha kadi yangu
na kumpa mzee Mangula kwani ninwazi ameshindwa kazi ya chama chetu.
Nchi hii imel3ta mauzauza ila si kwa huyu msrma hovyo, mjivuni na mwenye
kujikombakomba hovyo. Musoma kama mnadhani kurejea Ikulu ni mchezo
wahadaeni CCM walete jina la huyu Corrupted politician, Msaga sumu, adui
wa afya ya demokrasia nchini
Angalia ulivyo andika wewe(kabisa,Haujui)hivi baada ya mkato tunaweka herufi kubwa?angalia hapo kwenye mabano.......wewe ndio bureeee
Mi naona yuko juu ya jiwe kama mjusi
Buree wewe mshamba
unayetumika na Wassira kisa tumbo lako,Naona mmesambazwa mtandaoni kwa
malipo ya buku saba,njaa zitawaua,Hakuna Wassira kuwa Rais nyie
jidanganyeni...Nani ampe nchi mtu kama Wassira,Tunajua hapo Lumumba
vijana umpo kwa ajili ya posho,Bahati mbaya kundi la Wassira ndio
masikini wapiga miayo....na visimu vyenu vya mchina
Mpeleka Pengo au Mufti simba basi
Nashukuru labda nikufahamishe mie sipo kwenye kundi kama ww,kama mtz namkubali huyu mpganaji balaaaaa!matusi punguza jenga hoja.......
The best place for him is Igombe, no matter how much effort you make to promote you invest to promote him. Ikulu is holy place for God's sake. Itoshe tu ameweza kufika pale kama mhudumu wa juice kwa UKAWA and above all as tourist attraction.Simply aende Ikulu kwan hataukisema Nooo kuna ndg yako hats mmoja pamoja na we Alisha wahi fika Ikulu??
Ha ha ha ha! Georges NBC the home of Dar-es-Salaam conmen. If at all the man went through Georges NBC Bank House is no more a presidential material is a sale-out conman mbobezi.Toka nikiwa darasa la kwanza nilianza kumsikia Wassira,Sitta wote wakiwa na nyadhifa ,ilikuwa ni kipindi cha Nyerere,leo hii nimekua mtu mzima na hata wanangu wamekuwa watu wazima bado hawa wawili tunawasikia baado wanataka ajira ya uana siasa,wenzao wote akina Dr Salim,Warioba,Malechela wameshastaafu siasa na wanafurahia mafao yao,je ni kitu gani kipya watakachokileta kwa miana zaidi ya miaka 40 walio serikalini n katika uongozi hatuoni lolote jipya zaidi ya kujiongezea umilionia,mwingine baada ya kwenda NCCR na ilibidi alambe matapishi yake baada ya njaa kumpigia kambi (kuna wakati kijiwe chake kilikuwa Georges NBC club akibangaiza )leo hii anataka uraisi kisa kesha ona uraisi utamlipa,kama biashara ya samaki ilimshinda ndio ataweza kuongoza nchi?Ama kweli siku hizi uraisi siku hizi Tanzania umekuwa kamani kazi isiyo na hadhi kwani hata akina Tom na Dick nao wanataka kuwa maraisi wa Tanzania,sijui huko ikulu kuna biashara gani,kwani watu wanavyotoana roho kwa uroho wa kwenda Ikulu inabidi tu nishangae
Ur simply stupid magot!
Jitahidi sikuzote kuelewa na si kukosoa,,,,,mie gazeti ninalo na hakurudi kwa sababu hiyo....