Ras Kisuse
JF-Expert Member
- Sep 25, 2012
- 368
- 31
Nimeyasoma maneno ya wasira katika gazeti la Mwananchi akidai urais siyo mama mkwe, nimefikria sana na nikajiona ninayo haki japo kidogo ya kumwambia mzee Wasira kuwa asiufananishe au asiulinganishe hata kidogo urais na ukwe, jibu rahisi Wasra anazeeka vibaya!
Mzee Wasira tambua ukwe kwa mama mkwe wako unakoma pale unapoachana na mwanae, ni rahisi ukamuacha mkwe na kumtafuta mkwe mwingine lakini unapewa nchi kwa kiyapo cha kuilinda katiba, ni dhamana kubwa kuliko soni za mkwe wako. Umeniudhi! binafsi kama kijana niliyekuheshimu japo niliadha kukudharau pale unapojitia pamba masikioni kwa kuunga mkono upuudhi na kuuondoa uzalendo, hakika baba angelikuwepo usingepata nafasi ya kuropoka.
Sifa za kuwa rais wa nchi ni zaidi ukwe, mzee Wasira tambua uwezo wa kuongoza una kikomo na sasa inaonyesha dhahili umegota. Binafsi kama mwana Mara na mtanzania najua dhamani na heshima ya mkoa wangu kwa Tanzania, MARA imewatoa viongozi makinia na imara kuanzia raisi, wakuu wa majeshi nk.
Baba alisema huwezi kupewa mawazo na mke wako kesho ukayaleta kuwa mawazo ya watanzani, mzee Wasira tunaomba usitualimbie sifa za mkoa wa Mara. Stafu bado ukiwa na sifa zako chache zilizobaki, kwa mambo yako ya kijinga hutakiwi hata kuonekana mwitongo! Umetuudhi sana.
Unatumiaje nukuu za mwalimu kujenga hoja zako! mwl akiwepo uliikimbia CCM leo hii unajigamba kwa maneno ya mwalimu! Au ni mwalimu yupi unayemnukuu! Au ni mwalimu wako wa Ikizu secondari na si mwalimu tunayemfahamu!
Pumbabu we kwanza ondoa neno sir, huna hadhi hip hata hujui kujenga hoja unakurupuka kama umegongewa mkeo. Rudi kasome gazeti usimlishe maneno Hugo mzee