Hii ndio TZ, Watu wote wachafu hasa viongozi. Si wa kiserikali, kichama wala kidini. Nchi hii haifiki popote, labda aje Malaika kutuongoza. Wizi mtupu. C.C.M. CUF. CDM. WIZI MTUPU.
Wacha kukosoa kazi ya Muumba bana!
Jimbo la Arumeru mashariki lina matatizo mengi sana, hakuna maji, barabara mbovu mno, uhaba wa shule za msingi na sekondari, vituo vya afya hakuna na vichache vilivyopo vipo hoi, hospitali ya wilaya Patandi ipo hoi, kuna tatizo kubwa la ardhi ( vita inanukia kati ya wananchi na wawekezaji waliomega ardhi kubwa) ugonjwa wa ukimwi unatesa jamii, soko la usa ni chafu bidhaa zinapangwa chini, hivo hivo tengeru na kikatiti, vijana wengi hawana ajira! polisi wa usa wamekithiri kwa rushwa na mateso dhidi ya raia, sasa hayo ndio tunataka majawabu yake sio ufundi wenu wa kutukanana na uzinzi wenu wa kuchukua wake za watu, hayo hayatusaidii sisi wana meru, anayetaka kura zetu sharti atupatie majibu ya matatizo hayo hapo juu na akidanganya akashinda akashindwa kutekeleza miaka yake ni hii mitatu tu basi tumechoka na upuuzi na propaganda za wanasiasa uchwara!!Acheni upuuzi wa kufuatilia maisha ya watu.
Wana JF mbona ni Wassira huyuhuyu alimpora Mzee Ndege Mke na wanaishi kama Wachumba? Na alijaribu kupeleka mahari Tarime akataliwa kuwa huyo ni mke wa mtu na Wakurya hawapokei Mahari mara mbili?ana usafi Gani kumuongelea DR Slaa wakati ni wasira huyuhuyu akiwa mkuu wa mkoa wa Mara alikula fedha za Hospitali ya Mkoa ambayo haipo hadi leo?,ni Wasira huyuhuyu aliyefanya Mzee ndege kufa kwa presha baada ya Wassira kumpora mke kwa Kigezo cha Uwaziri,ni Wassira huyuhuyu aliyekula fedha za Ndege Insurance na kusababisha kampuni na familia ya Mzee ndege kusambaratika..
Akae kimya aache mchezo uchezwe kwa wana siasa vijana

Ivi pale club bilicanas ni vijana wangapi wanaharibika kwa kujiingiza kwenye umalaya na madawa ya kulevya kwa mwezi
mbowe tujibu tafadhali
Kinachosikitisha kwa Wassira ni kutelekeza familia zake za wake wa zamani. Kwa kweli wala hazipi matunzo.
Acheni upuuzi wa kufuatilia maisha ya watu.
Wana JF mbona ni Wassira huyuhuyu alimpora Mzee Ndege Mke na wanaishi kama Wachumba?
Na alijaribu kupeleka mahari Tarime akataliwa kuwa huyo ni mke wa mtu na Wakurya hawapokei Mahari mara mbili?ana usafi Gani kumuongelea DR Slaa wakati ni wasira huyuhuyu akiwa mkuu wa mkoa wa Mara alikula fedha za Hospitali ya Mkoa ambayo haipo hadi leo?,
ni Wasira huyuhuyu aliyefanya Mzee ndege kufa kwa presha baada ya Wassira kumpora mke kwa Kigezo cha Uwaziri,ni Wassira huyuhuyu aliyekula fedha za Ndege Insurance na kusababisha kampuni na familia ya Mzee ndege kusambaratika..
Akae kimya aache mchezo uchezwe kwa wana siasa vijana
wasira na slaa ngoma draw
huna tofauti na mkapa..unaanzisha ukitobolewa una nunaAcheni upuuzi wa kufuatilia maisha ya watu.
Huyo mama ana uhusiano wowote na yule jamaa yetu Sebastian Ndege, mtangazaji kipindi cha njia panda anayeishi white house Kinondoni?
wote wezi wa wake za watu hakuna msafi hapo si wasira wala dk slaa