Wassira si msafi; achunguzwe!

alijua kuwa hakuna wanaomfahamu,
wasira naye ana zambi zake kumbe.
 
hivi wasira huyu si alikuwa nccr kabla ya kurudi alipo..
 
huna dogo na yeye si atakufa na presha unavyomchamba jamani
 
Huyu Mzee wasira hatakiwi kabisa kuzungumzia uadilifu wa ndoa. Ana wasichana wadogo zaidi ya watoto wake. Na kuna demu mmoja yupo DC washington ni mdogo kuliko watoto wake alikuwa mke wake mdogo. Sijui mizee hii inazeeka vibaya
 
Kwakuangalia sura yake tu unamjua haina haja yakumchunguza
 
Kwa jinsi alivyo handsome Wasira anaacha au anaachwa na wanawake?
Hata kama una mumatemate/mbongo/kisu lakini kama nyumba mgeni haingii kwa kuiogopa sura yako mwanamke gani ataishi na wewe?
Nimekumbuka, India wanafanya plastic surgery
 
Sasa anaendelea na kampen za nini huko arumeru mash?.Si arudi kwa mke wake akapewe talaka?.Nyani mkubwa wee! by wimbo wa dogo aslay wa niwe nawe pale mwanzoni! Dogo kumbe alijua tu!Hahahahaaa
 
CHAMA cha Demokrasia na maendeleo (CHADEMA) kimemshushia tuhuma nzito mbunge wa jimbo la Bunda Steven Wasira kuwa na yeye pia ni mwizi kwa sababu aliwahi kuiba tairi la gari mwaka 1970 akaenda kuuza ili apate pesa za kugombea ubunge kipindi hicho.
Katibu wa chama hicho mkoa wa Mwanza, Wilson Msumbushi, alitoa tuhuma hizo jana mjini hapa kwenye mkutano wa hadhara ulioitishwa na chama hicho ambao mgeni rasmi alikuwa mbunge wa jimbo la Mwanza, Eziekel Wenje.
Mshumbushi alisema kuwa anamshangaa sana mbunge Wasira kwa kumsakama Dk. Slaa kuwa aliiba pesa za kanisa Katoliki na ndiyo sababu ya yeye kufukuzwa upadri jambo ambalo si kweli na kwamba kama angekuwa ameiba waliopaswa kulalamika ni kanisa Katoliki na wala siyo yeye.
“Ndugu zangu wana Bunda sisi tunajua siri nyingi za huyu babu yenu mwaka 1970 akiwa katibu msaidizi wa chama huko mkoani Geita aliiba tairi ya Land Rover na kuiuza ili apate pesa za kuja kugombea ubunge na aliyemsaidia asifukuzwe kazi alikuwa marehemu mzee Tito Budodi na kama anabisha anipeleke mahakamani ushahidi upo,’’ alisema Mshumbushi kwa kujiamini.
Alimtaka mbunge huyo kuwaambia wananchi ni lini atawaletea huduma ya maji kwani licha ya wilaya hiyo kuwa umbali wa km 11 toka lilipo Ziwa Victoria, wananchi wake hawana maji ya uhakika, na hivi karibuni katika uchaguzi wa Arumeru mashariki alikuwa akiwadanganya wananchi wa huko kuwa atawapelekea maji kama wangeichagua CCM jambo ambalo kwenye jimbo lake ameshindwa licha ya kuwahi kuwa Waziri wa Maji.

chanzo: Tanzania daima

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…