saa ngapi atakuwa karibu na wananchi. msimu wa kulima mashamba umepita, tunaelekea kuvuna,. tutakapoanza kutayarisha mashamba atakuwa kwenye kampeni. amepelekwa kilimo ili fedha zinazobaki wizarani tunapoelekea bunge la bajeti azikombe na zimsaidie kwenye ngwe inayokuja. kule kwake Bunda kunawaka moto na wizara ya mahusiano hakuna kitu zaidi ya mahaba.Kapelekwa wizara ya kilimo na chakula ili awe karibu na wananchi,lengo ni kuwafanya wananchi ambao wengi watu ni wakulima tuwe na imani nae ili mwezi october tumpigie kura.
Kapelekwa wizara ya kilimo na chakula ili awe karibu na wananchi,lengo ni kuwafanya wananchi ambao wengi wetu tu wakulima tuwe na imani nae ili mwezi october tumpigie kura.
Rais wetu awe Sokwe? Haiwezekani. Kwanza anauelewa mdogo kuliko sisimizi, anasura mbaya, roho mbaya, kauli mbaya.hana elimu ...... yaani nashindwa kumuelezea ......!
hii nchi kila mtu ama kiumbe chochote ai au mfu anaweza kuwa rais. Kama huyu tunaye kaweza basi yeyote ama chochote chaweza hata kabinti kachekechea kanaweza tu kuwa rais hapa na mambo yakaenda. Tumuachen tu wasiraRais wetu awe Sokwe? Haiwezekani. Kwanza anauelewa mdogo kuliko sisimizi, anasura mbaya, roho mbaya, kauli mbaya.hana elimu ...... yaani nashindwa kumuelezea ......!
Kwenda kujibu kashfa ya Kuleta mbegu na Mbolea FEKI kwa wakulima..Kapelekwa wizara ya kilimo na chakula ili awe karibu na wananchi,lengo ni kuwafanya wananchi ambao wengi wetu tu wakulima tuwe na imani nae ili mwezi october tumpigie kura.