Kama amesema hivyo kweli basi fisiem ni laana kubwa sana kwa nchi hii!Ni fedheha. Huyu mzee alipaswa kuwa anacheza na vitukuu akisubiri wito wa Mungu. Ila mi CCM kama kawaida yao huwa haifikirii.
Sio ajabu mzee anadhani yupo kwenye msiba wa kikongwe mwenzie.
Duh,Inakuwaje mtu aliezaliwa 1955 ajiunge na TANU 1954.
Kwamba alianza siasa akiwa tumboni mwa mama yake?
Umri huo ni hatari hata kumuweka karibu na vitukuu!Ni fedheha. Huyu mzee alipaswa kuwa anacheza na vitukuu akisubiri wito wa Mungu. Ila mi CCM kama kawaida yao huwa haifikirii.
Sio ajabu mzee anadhani yupo kwenye msiba wa kikongwe mwenzie.
CCM ni mithili ya mjenga nyumba ya udongo halafu akaipiga lipu ya cement.Mzee amechoka, akili na mwili havilandani tena ! Wachana na kuongea mbovu/boko, anaweza kukaa mahali akajikuta amepata haja ! Astaafishwe kwa lazima