PreGE2025 Wassira: Hakuna kupita bila kupingwa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Samia alishindana na nani nafasi ya Mwenyekiti au yeye nafasi ya Makamu Mwenyekiti?
Huelewi kitu wewe mkutano mkuu wa CCM ndio wenye maamuzi yote waweza tengua chochote na kuamua chochote

Waweza hata vunja kamati kuu au halmashauri kuu au kutengua kanuni yeyote hata yawe ndani ya katiba

Maamuzi ya kumpa Samia yalikuwa halali kikatiba

Nyie Chadema ndio hamzangatii katiba yenu mfano mumeamua kuchagua mwenyekiti wa Taifa wakati chaguzi za kanda na majimbo hazijakamilika

Mfano jimbo la njombe na kanda ya Zanzibar uchaguzi ulikuwa bado kukamilika

Ndio mnataka kuitisha sasa aiiki kichwani zimo nyie? Nashangaa mazombie ya Chadema hayaendi hata mahakamani kupinga uchaguzi uliomwingiza Lisu madarakani bila chaguzi hayo maeneo kukamilika

Mkutano mkuu wa CCM chaguzi zote zilishafanyika hivyo wajumbe wa mkutano mkuu waliotoa maamuzi Samia agombee ni halali sababu michakato yote mwisho wa siku kikao cha maamuzi ni mkutano mkuu
.mkutqno mkuu wa CCM ndie bosi wa viikao vyote vya CCM ana uhuru wa kuamua chochote bila kuingiliwa au kuhojiwa na kikao chochote cha chini cha chama au mwanachama
 
"Mara mvua wengine jua, mbona mnanichanganya, mvua na jua bora nini?"🎶
 
Wewe dada angu ni uja uzito tu unakusumbua hujui lolote
 
Back
Top Bottom