Wassira: Atibua mitandao Urais 2015

Wassira: Atibua mitandao Urais 2015

Uzuri wa Wassira akiwa rais hatakuwa na safari nyingi kama kikwete, badala yake atakaa ikulu kuwapokea wageni watakaomtembelea ikulu.
Ieleweke kuwa safari za kumtembelea Wassira ikulu itakuwa sehemu ya utalii, hivyo nchi itaingiza fedha nyingi za kigeni

MBONA KAMA VILE HAPA ANAFAA KUWA SOMEONE ELSE.

9k=


Ndg. Stephen Masato Wasira.
 
kama usivyo wapenda akina nap, kinana, mwigulu, wassira , jk na wengineo, usitegemee kitu tofauti kutoka kwao. au hujui maana ya siasa?
Wewe hukuzungumzia mtu fulani umesema hapendi upinzani ambao upo kisheria huko ni kukosa weledi. Ungesema Wassira hampendi Mbowe isingeleta maana tofauti ni kama ambavyo siwapendi baadhi ya hao uliowataja. Ila kutowapenda kwangu hakupelekei kutaka CCM isiwepo. Watu watapita na vyama vitaendelea kuwepo,na sio ajabu kesho na kesho kutwa CCM ikaongozwa na watu wenye huo WELEDI na watu wote wakajiunga nayo.
 
Wakati mwingine Watanzania wenzangu huwa atutafakali kwa kina matukio fulani fulani! Siku za nyuma nuliwahi kuhuliza swali dogo, nilisema hivi " Kwa nini Mzee Wassira alipigiwa kura nyingi pale Kizotta kuwazidi Mh.Dk JK na Mh.Dk Shein??" Kwa akili za kawaida kulikuwa na ulazima gani wa yeye kupigiwa ndio kura zote, wakati wenzake kuna kura ziliwakataa!! Mzee Wassira hata angepata nusu ya kura angeweza kuchaguliwa tu kwenye kamati kuu, sasa hii landslide ilikuwa inahashiria nini siku za usoni? Alitumia mbinu gani kuwapiku wenzake wote pale ukumbini. Je kampeini alifanya saa ngapi wakati muda wote alionekana ametulia kwenye kiti chake hana papala wala wasi wasi. Nikiona baadhi ya wana JF wanambeza beza nawashangaa sana, mimi sio mtume wala nabii lakini nina uhakika kwamba kadiri siku zinavyo sogea karibu na kampeini/Uchaguzi 2015 Mzee Wassira atawashangaza wengi. Hajatangaza nia, lakini nionavyo mimi it's a question of TIME.
Hivi unafahamu maana ya Presidential material wewe? Lets say Mwigulu Nchemba ndio angeongoza hizo kura za NEC ndio zingemjustifie kwamba kura za Urais anapenya?

Huyu Wassira atapata wapi Mabillioni ya kushindana na Lowasa, Membe na Sitta? usifananishe hata chembe uchaguzi wa NEC na Presidential nomination ya CCM.
 
Wewe hukuzungumzia mtu fulani umesema hapendi upinzani ambao upo kisheria huko ni kukosa weledi. Ungesema Wassira hampendi Mbowe isingeleta maana tofauti ni kama ambavyo siwapendi baadhi ya hao uliowataja. Ila kutowapenda kwangu hakupelekei kutaka CCM isiwepo. Watu watapita na vyama vitaendelea kuwepo,na sio ajabu kesho na kesho kutwa CCM ikaongozwa na watu wenye huo WELEDI na watu wote wakajiunga nayo.

nimekuelewa ila mimi binafsi nampenda wassira kwa uadilifu wake. siyo mwizi na hana kashfa. muonekano wa mtu au dini ya mtu siyo tatizo kwangu. nahitaji kiongozi ambaye anaweza kupambana na ufisadi. am sure wassira is the right man.
 
Jamani huu urais tuwe tunatazamako na sura!!! Huyu bwana akiupata huo urais na kisha akaenda kuhutubia UN atasababisha taharuki kwa wazungu!!

Sasa Handsome Baba Riz1 kafanya nini cha maana sana! Acha dharau ndugu, kazi ya Mungu hiyo!
 
Wasira ni hatari sana kwa siasa za ndani ya CCM na katika Majukwaa, anaweza akawapita wagombea wenzake wamesimama, kwa sasa ndani ya CCM ushindani ni Lowassa na Wassira. Lakini sielewi nani zaidi.
Haya nenda naye kwenye lile pori lililopo kigoma ukanywe nae chai wewe gamba
 
Bado sielewi maana ya mtu kuwa na akili, maana zuzu kupata wafuasi wasio zuzu ni kazi kweli. WASSIRA is not a presidential material.
 
Hivi unafahamu maana ya Presidential material wewe? Lets say Mwigulu Nchemba ndio angeongoza hizo kura za NEC ndio zingemjustifie kwamba kura za Urais anapenya?Huyu Wassira atapata wapi Mabillioni ya kushindana na Lowasa, Membe na Sitta? usifananishe hata chembe uchaguzi wa NEC na Presidential nomination ya CCM.
Mkuu calm down kwanza, alafu ujaribu kusoma tena nilicho andika, ukiendekeza itikadi za vyama hatutafika mbali. Hivi Mwigulu Nchemba sijui Machemba anakujaje hapa - tusijaribu ku-derail mada - hapa tunazungumzia kuhusu Mzee Wassira na uwezekano we yeye kuwania kiti cha Urais akihamua. Watu wanacho sahau ni kwamba wala huitaji Container lililo sheheni FEDHA ili uweze kuwania na mwishowe kushinda Urais. Mbinu tu ndizo za muhimu zaidi kuliko fedha, kama unafikili kura alizopata Mzee Wassira pale Kizotta sio LITMUS paper ya kujipima upepo wa kisiasa i.e anavyo kubarika Kitaifa basi naona mwenzangu tutakesha hapa tukibishana, lakini ukiweka maanani kwamba wajumbe wote wale walitoka mikoa yote TANZANIA sina shaka utaona ninacho maanisha, ile haikuwa random sampling kuhusu yatakayo tokea siku za usoni - it counts a LOT, wewe unajua wajumbe wale wana ushawishi gani majimboni mwao - jibu unalo.
 
Ndiye huyu hapa....

Shida ya huyu mzee tamaaa sana kumbukeni historia yake alikuwa ccm akaenda upinzani mala tena akarudi ccm sasa mimi hapo nakosa sana imani naye nahisi anaweza kutuuza mazima akipewa nchi ili mladi awkewe mpunga mzuri.
 
:A S-fire1: wakati wengine mnaangaika kutafuta viongozi wazalendo,wawajibikaji, wenye uwezo na hasa wenye hofu ya mungu mhe WASSIRA unatosha.
 
USA au UK hawachagui ugly persons kuwa RAIS!

-Maana ya ugliness kwa wenzetu!!
1.Kuwa na kitambi,wewe ni LAZY
2.Kuwa na upara


Huyu mtu ni ugly!hata kwa TZ
 
watu wengine mnaleta utani humu! ni wasira huyu huyu anajiita komando au....labda kama kuna mwingine lakini kama huyo ni ugolo tu....
 
Jesus christ!yani wasira huyu msinziaji maarufu kule bungeni ndo awe rais wa hili taifa?ebu acheni utani wakuu!
 
huyu mzee long time nilimuona ana vision sana ila sasa ana majazba sana , enzi zile za gazeti la rai si alikuwa anatoa makala zake?
 
Jamani huu urais tuwe tunatazamako na sura!!!
I've never been a pro Kikwete but in this regard as a Tanzanian living abroad and married to a foreigner I admit to have found myself more often than not bragging that we Tanzanians are handsome look at our president!
 
Jamani huu urais tuwe tunatazamako na sura!!! Huyu bwana akiupata huo urais na kisha akaenda kuhutubia UN atasababisha taharuki kwa wazungu!!

Mkuu, ni vema uwe unakaa kimya kama huna la kuchangia kuliko kukejeli sura za watu. Wewe aliyekwambia kuwa yako ni nzuri ni nani? Je, kwani sura ndiyo inayoongoza nchi? Badilika mkuu ili uendelee kuonekana wa maana!
 
Bado sielewi maana ya mtu kuwa na akili, maana zuzu kupata wafuasi wasio zuzu ni kazi kweli. WASSIRA is not a presidential material.

What is the meaning of Presidential Material as far as this topic concerns?
 
Back
Top Bottom