Dr Matola PhD
Platinum Member
- Oct 18, 2010
- 61,430
- 108,589
Kama Chenge anateuliwa kuongoza kamati nyeti ya Bunge ni kwa nini Wassira asiuwaze Urais? kwenye kura za NEC za CCM Wassira ndiye aliongoza kwa kura.Nchi imepata hasara sana hii,sasa mtu kama wasira anauwazia urais kwa weledi upi alionao??
Wonders shall never end. mwisho wa CCM umefika wacha wakilete kituko chochote lakini ni lazima wang'oke hata kwa Military operation.