Babuu Rogger
JF-Expert Member
- Nov 16, 2011
- 1,530
- 1,121
Mh jamani! na mi ngoja nitangaze nia ya kugombea uraisi kupitia kwenye chama changu CHICHIEM!!!!!!!!!!!!!!! yaani kwenye chama changu ukiwa karibu na mhishimiwa mkuu wa kaya uraisi nje nje wajameni!!!!