Wasomi waiponda PAC, wataka tume huru

Wasomi waiponda PAC, wataka tume huru

Standard Chartered ilikuwa na imani kuwa baada ya kununua deni la Mechmar ndani ya IPTL, ingekuwa rahisi kupata fedha zilizowekwa kwenye akaunti ya Escrow ambayo sasa inabishaniwa. Fedha za Escrow zilipolipwa kwa wahusika wa IPTL, Standard Chartered ikajikuta ikiwa njia panda, haijui madeni iliyoyanunua ya Mechmar itanufaikaje? Kuna uwezekano mkubwa sakata hili likazihusisha baadhi ya benki zilizoonekana kupoteza fedha zake.
 
Bora nimeshapita umri wa kuitwa kijana. Kama ujana ndiyo huu, bora kubaki sie wazee tu...!

Natamani ningewaona na kuwaomba kuyajibu hayo maswali waliyouliza kwa kutoa usahihi wake...Mfano, kama siyo 306b, zilichukuliwa ngapi?

Shame on youths of this calibre!
Kumpoteza Muhongo kwa sababau tu tangu kuingia kwake ofisini ameziba mianya ya uchotwaji mkubwa wa pesa za watanzania kupitia sekta ya madini, na sasa mabepari wameungana na wabunge wenye husda kupambana dhidi ya kweli na haki anayosimamia Muhongo. Kumpoteza Muhongo kwa sababu tu yeye na Katibu mkuu wake Eliakim Maswi, hawana mawasiliano mazuri na Mwenyekiti wa PAC Zitto Kabwe (Hii inatokana na kitendo chao kudhibiti udalali wa Rasilimali)
 
Wanazuoni gani nyie mnajua mamburula ni kuna asumta tu wengine bado wapo vyuoni nahivi wamepewa milioni tatutatu na laptop lazima wafanyekazi kwa kuwatetea wezi wenzao SHEM to them wengine wanatafuta Kik kwa kuwapinga watu maarufu wapuuzi kweli

Kumpoteza Muhongo kwa sababau tu tangu kuingia kwake ofisini ameziba mianya ya uchotwaji mkubwa wa pesa za watanzania kupitia sekta ya madini, na sasa mabepari wameungana na wabunge wenye husda kupambana dhidi ya kweli na haki anayosimamia Muhongo. Kumpoteza Muhongo kwa sababu tu yeye na Katibu mkuu wake Eliakim Maswi, hawana mawasiliano mazuri na Mwenyekiti wa PAC Zitto Kabwe (Hii inatokana na kitendo chao kudhibiti udalali wa Rasilimali)
 
Standard Chartered ilikuwa na imani kuwa baada ya kununua deni la Mechmar ndani ya IPTL, ingekuwa rahisi kupata fedha zilizowekwa kwenye akaunti ya Escrow ambayo sasa inabishaniwa. Fedha za Escrow zilipolipwa kwa wahusika wa IPTL, Standard Chartered ikajikuta ikiwa njia panda, haijui madeni iliyoyanunua ya Mechmar itanufaikaje? Kuna uwezekano mkubwa sakata hili likazihusisha baadhi ya benki zilizoonekana kupoteza fedha zake.


Hivi unajua Certificate ya SHARE(70%) za hao jamaa zipo wapi? Maana nijuavyo hao hawakununua madeni ila walinunua HISA.
au unataka kupotosha hapa?
 
umetia aibu hivi tope uloandika hapo juu sidhani kama kuna mtu mwenye akili timamu anaweza andika

It seems you have reasoning problems. Whatever submitted along this thrd, you can't go adifferent way. Can't you differentiate wasomi from a hotchpotch of stupid player? Are you part of the team? I must have endless list of questions to you, hope you will try to respond unless your cerebellum and cerebrum have poor network.

How old are you? - hope not a kindergarten human.
Did you manage to attend any of the lower level school? - at least a secondary level.

Forgive me in case you don't have a handle of the basics of this language.
 
Pamoja na usomi wenu lakini bado hamjaelimika nyie.Fungeni midomo yenu
 
imekuwa kawaida sasa kwa baadhi ya watu kutumia neno "wanazuoni" kama kichaka cha kutuaminisha kitu fulani. Naomba wakati mwingine wakitoa tamko kwa mwamvuli wa uanazuoni watatutajie na majina yao. halafu huu umoja wa wanachuo vijana umeanzishwa lini?
 
hawakutoa tamko ili uamini wao wametoa maoni yao kwa mheshimiwa rais ili kufikisha mawazo yao kuwa mheshimiwa rais aongeze za kwake na sio kuchukua maamuzi kuwaridhisha watu wanaotumikia wafanyabiashara walionyang'anywa vitalu walivyopanga kuuza kwa wazungu,hata huyu aliyetuma tamko jf ana matatizo,hili tamko apelekewe JK

Asante rebeccamrema , ninatatizwa na tamko lao, wametoa hili tamko kwa maslahi yao binafsi kwasababu wamenufaika, ila kama wangekuwa na uzalendo wangewatetea wale wanafunzi 9,000 walio kosa mkopo. Pia utashi wao ni wa kutilia shaka, report ya CAG imebainisha ni Bilioni 306 zimekwapuliwa na bilion 21 ni kodi iliyokwepwa, jumla ni hizo bilioni 327. Hili tamko halikuwa la siri, sioni nongwa kuwekwa hapa, nashawishika kudhani huenda wewe ni mmoja wa watoa tamko.

halafu hili tamko nikisoma kati kati ya mistari nabaini mambo mawili, mosi-ni tamko la mtu mmoja akijifanya ni kundi (Kuna sehemu kajichanganya katumia Ndugu zangu badala ya ndugu zetu), pili- huyo mtu anatumiwa kumsafisha Muhongo. kwanini atetewe, ni lazima awe waziri? kuna watanzania wangapi, hivi anavyotapatapa anamaslahi gani?
 
Last edited by a moderator:
Hiyo si kauli yangu mimi ni kauli ya CAG! CAG anasema zinaweza kuwa za umma ukitazama kwa mtazamo wa kuwepo kwa kodi, lakini pia zinaweza kuwa za TANESCO au za IPTL.
Hiyo ripoti tunajua muliichakachua na ndio mnayotumia kujitetea lakini wenye akili wanajua kuwa hakuna kitu hapo!
 
Hao wanazuoni hicho cheo sijui nani kawapa ila hizo njaa zao zitafanya wapigwe mawe mitaani, waache utani kwenye mambo serious , huo upuuzi wao hatuna muda wa kuusoma ,BRING BACK OUR MONEY WEZI WAKUBWA
 
Wasomi jinga...Ona hata Kiswahili chao, eti MAADHIMIO. Wanatumika bila chembe ya shaka, au taarifa nzima imepikwa Lumumba
 
Hivi unajua Certificate ya SHARE(70%) za hao jamaa zipo wapi? Maana nijuavyo hao hawakununua madeni ila walinunua HISA.
au unataka kupotosha hapa?

"Ilibainika pia kuwa IPTL ilikuwa ikifanya marejesho hata baada ya deni kununuliwa na SCBHK." - CAG ukurasa wa 45
 
Asante vijana. Huu ni mwendelezo wa mchuano wa wanamasilahi. Msingetuambia kuwa mmesomeshwa na Wizara ya nishati na madini mimi ningeanza kutafuta ukweli kuanzia mlipoishia, lakini kwa hiyo declaration of interest nawapongeza kuwa mmetusaidia kuunganisha dots. Ni yale yale ya ukipata wewe basi wengine wakafie mbele, Muhongo kawasomesha basi keshakuwa mtakatifu wenu - kajibu njaa zenu au yako maana hujatutajia wenzako ni akina nani. Pole Bwana Shaibu.
 
Pumbaf*u wakubwa hao mapimbi vijana. Kama wanasema basi walikwenda kujaza madarasa tu na kuwa hawakuelemika. Wazungu wanasema ukitaka kujua mtu ni mjinga basi subiri mpaka pale atakapo fungua mdomo na kuanza kuongea..ndio hayo ya hawa vijana kuanza kubwabwaja u*pu*pu. Eti nao wanajiita wasomi! Hasara kubwa kwa taifa!
 
wewe una wivu na hyo ni kawaida yetu waswahili.hatungeweza kusomeshwa wote na isitoshe wengne tumefail hata qt.tufanye mengne na wivu hautusaidii.
Stay tuned,Insharah leo kabla jua alijazama mtakuwa mmepata majibu ya maombi yenu enyi wasomi uchwara.
 
Tafuteni kazi za CAG na what gives mandate for him to audit na angalieni scope of CAG
 
4. Tunaitaka PAC itueleze, kama kulikuwa na mchezo mchafu, na wakauthibitisha, iweje wizara ya fedha isihusike?, kwanini Gavana wa BOT na timu yake na Waziri wa fedha na Timu yake nao wasihusike kwenye hilo kwa kuwa fedha ilikuwa kwao?.

5. Kama kweli kulikuwa na mchezo mchafu, iweje BRELLA, na wizara inayoisimamia ambayo ni Viwanda na Biashara na waziri wake na timu nzima wasiwajibishwe nao kusajili kampuni ambayo wanadai siyo halali?.

6.
Kama ni kweli kuna tatizo, iweje TRA wakubali kupokea kodi ya zaidi ya Bil 30 kutoka kwa mbia wa IPTL ambao ni VIP iliyotokana na mauzo ya hisa 30% kwa PAP?. Kwanini TRA isiwajibishwe kwa kupokea fedha haramu na kuziingiza kwenye mapato ya serikali ilihali ikijua ni fedha haramu?.

Maswali muhimu sana haya, ambayo PAC na vibaraka wao wameshindwa kuyajibu.
 
Back
Top Bottom