mzee Chibai
JF-Expert Member
- Sep 22, 2013
- 980
- 243
unajua imefika wakati tutambue kuwa nchi hii ni ya demokrasia na kila mtu ana haki ya kuongea na kutoa mawazo yake kadiri anavyoona inafaa bila kudhuru wengine, acheni kukejeli watu na maoni yao, au unadhani wakiongea kuhusu katiba watatoa mawazo yanayokufurahisha wewe
Tulia mwanamke wewe..!! Una akili kama hao kima kwaiyo hata kama wakitoa ushudu unasapoti
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums