Gwota
JF-Expert Member
- Mar 3, 2011
- 205
- 92
Wadau,
katika uchaguzi wa 2010 wanafunzi wa vyuo vikuu tulikuwa ndo nguzo imara ya kukiwezesha chadema kupata ushindi ktk maeneo mengi, tulitumika kama mawakala wa chama, tulipiga kampeni na kuwatoa tongotongo akina mama, wazee na wengine wachache waliokuwa hawajui ni kwann wasichague mkoloni mweusi ccm.
Rai yangu kwa viongozi wetu mlio igunga, katika mikakati yenu watengenezeeni vijana hawa mtandao wa namna gani watashiriki kikamilifu katika kulueta ushindi, Ikumbukwe 90% ya wasomi wa vyuo wapo chadema na wanataka kuhakikisha chama chao kinashinda kwa kishindo ila tatizo wanashindwa ni namna gani watekeleleze hili jukumu.
Natamani ningekuwa mwana igunga ili niendelee na desturi yangu ya kujitoa muhanga kisa kutafuta uhuru wa kweli kupitia CHAMA CHA DEMOCRASIA NA MAENDELEO.
Piiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiipoooooooooooooooooozzzzzzzzzzzzzzz
paaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaawaaaaaaaaaaaaaaaaaa