Wasomi wa vyuo vikuu nguzo imara ya CHADEMA Igunga | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wasomi wa vyuo vikuu nguzo imara ya CHADEMA Igunga

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Gwota, Sep 6, 2011.

1. Gwota

Gwota JF-Expert Member

#1
Sep 6, 2011
Joined: Mar 3, 2011
Messages: 205
Likes Received: 7
Trophy Points: 35
Wadau,

katika uchaguzi wa 2010 wanafunzi wa vyuo vikuu tulikuwa ndo nguzo imara ya kukiwezesha chadema kupata ushindi ktk maeneo mengi, tulitumika kama mawakala wa chama, tulipiga kampeni na kuwatoa tongotongo akina mama, wazee na wengine wachache waliokuwa hawajui ni kwann wasichague mkoloni mweusi ccm.
Rai yangu kwa viongozi wetu mlio igunga, katika mikakati yenu watengenezeeni vijana hawa mtandao wa namna gani watashiriki kikamilifu katika kulueta ushindi, Ikumbukwe 90% ya wasomi wa vyuo wapo chadema na wanataka kuhakikisha chama chao kinashinda kwa kishindo ila tatizo wanashindwa ni namna gani watekeleleze hili jukumu.
Natamani ningekuwa mwana igunga ili niendelee na desturi yangu ya kujitoa muhanga kisa kutafuta uhuru wa kweli kupitia CHAMA CHA DEMOCRASIA NA MAENDELEO.

Piiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiipoooooooooooooooooozzzzzzzzzzzzzzz

paaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaawaaaaaaaaaaaaaaaaaa

2. Du Bois ideas

Du Bois ideas JF-Expert Member

#2
Sep 6, 2011
Joined: Feb 1, 2011
Messages: 428
Likes Received: 0
Trophy Points: 0
Heri wenye moyo safi, maana hao watamuona Bwana!!!

3. U

Uwezo Tunao JF-Expert Member

#3
Sep 7, 2011
Joined: Nov 14, 2010
Messages: 6,947
Likes Received: 12
Trophy Points: 0
ENYI WASOMI WA IGUNGA, UKOMBOZI WENU WA WALAZWAHOI IGUNGA KUPATA MWAKILISHI WAO KWA MARA YA KWANZA BAADA YA MIAKA MINGI YA ULAGHAI WA CCM NI UKOMBOZI KWA TAIFA ZIMA

Hakika wana-Igunga tumefarijika sana kupata taarifa hizi kwamba safari hii mmeamua kuwapa nafasi vijana wenu mliowasomesha wenyewe ili wakawasaidieni kutoa dira sahihi ya upigaji kura Igunga safari hii bila rushwa wala uchakachuaji.

Kwa kweli Msomi mmoja tu pale Igunga ana uwezo wa kuelimisha zaidi ya wapiga kura 10 kwa siku pale kijijini.

Hivyo basi kampeni zikiendelea walau kwa siku salasini tu basi CHADEMA kinahitaji walau wasomi wa vyuo vikuu nchi 20 tu kuelimisha zaidi ya wapiga kura 600. Hiyo ni sawa na kusema kwamba endapo BAVICHA wamepeleka silaha hizo za maangamizi ya UFISADI Igunga basi capacity itakayofika pale ina uwezo wa kuelimisha mkoa mzima ndani ya mwezi tu hata kabla ya makamanda wenyewe wa ukweli hawajafika mahali pale.

Namuona Makamanda Zitto na Lema wakiongoza mashabulizi ya nchi kavu huku, mtaalam mwenyewe wa Anga Freeman Mbowe akimsaka Rostam kijiji hadi kijiji sawa tu na NATO kwa Gaddafi huku Dokta wa ukweli akimalizia kiutaalam akiwa na Majenerali wenye kuogopwa na Mafisadi nchini; Prof Baregu, Tundu Lissu, Mabere Marando, Mzee Ndesamburo, Mchungaji Msigwa, Makamanda tishio Chiku Abwao, Halima Mdee, Selasini, Mr II, John Mnyika ... usipime!!!!!!!!!!!

People' Powerrrrrrrrr Igunga na kiziki cha ufisadi nchi sasa kung'olewa bila utani tena!!!! Tazameni baada ya wiki mbili mje muone mziki mkubwa Igunga kiasi cha kumfanya huyo Fisadi wa Wizara ya madini kuchanganyikiwa na mwishowe kujisalimisha mwenyewe kwa Wapiganaji wa ukweli nchini.

4. mchemsho

mchemsho JF-Expert Member

#4
Sep 7, 2011
Joined: Jun 8, 2011
Messages: 3,158
Likes Received: 143
Trophy Points: 160
Hivi wasomi huwa wanakataliwa kujiunga na ccm??

5. O

Omr JF-Expert Member

#5
Sep 7, 2011
Joined: Nov 18, 2008
Messages: 1,160
Likes Received: 1
Trophy Points: 0
Wasomi gani nyie, kwanza punguzeni ngono huko vyuoni ndio uje hapa kuongea. wasomi ndio nyie? kweli kichekesho, nyie ni wazushi.

6. U

Uwezo Tunao JF-Expert Member

#6
Sep 7, 2011
Joined: Nov 14, 2010
Messages: 6,947
Likes Received: 12
Trophy Points: 0
Ni swali zuri sana hili na natumai utajibiwa humu na hatimaye majibu kuanza kumwagika kila upande wasahani yako.

Kwa kukujibu jawabu sahihi ni kwamba wasomi wanaruhusiwa sana tu ila shida kubwa kwao mle ni ile kauli ya 'SASA NI ZAMU YETU YA KULA' bila hata kujali maslaji ya walazwahoi kote nchini kama hali ilivyo hivi sasa.

Lakini kwa bahati nzuri sana, wapo baadhi ya wasomi walioamua kutokujiunga ngurue pori kutafuna mabua. Ni hao ndio wanaozungumziwa humu mzee mbona kama vile ndio unatoka kwenye ka-EVENT ndugu?

7. C

Chapoo Member

#7
Sep 7, 2011
Joined: Sep 4, 2011
Messages: 18
Likes Received: 0
Trophy Points: 0

8. C

Chapoo Member

#8
Sep 7, 2011
Joined: Sep 4, 2011
Messages: 18
Likes Received: 0
Trophy Points: 0

9. N

NIMIMI Senior Member

#9
Sep 7, 2011
Joined: Apr 2, 2011
Messages: 170
Likes Received: 0
Trophy Points: 33

Hongera kuwa mwalimu wao, kwani umelijua hilo kwa7bu nawe ulifanya hiyo ngono ndo chanzo cha kuwa mzoefu wa ngono zinazofanywa.

10. U

Uwezo Tunao JF-Expert Member

#10
Sep 7, 2011
Joined: Nov 14, 2010
Messages: 6,947
Likes Received: 12
Trophy Points: 0
Maadam wewe unao ugomvi na hao wasomi walioamua kusaidi wazee wao kuondokana na viongozi mafisadi, naona hapo mtamalizana nyie wenyewe tu ila wasije wakakuumbua kwa matokeo ya kura hapo baadaye kidogo - angalia sna mwenzetu juu ya hilo.

11. Mshume Kiyate

Mshume Kiyate JF-Expert Member

#11
Sep 7, 2011
Joined: Feb 27, 2011
Messages: 6,774
Likes Received: 22
Trophy Points: 135
Mkuu, hivi unaongelea Wasomi gani?

12. O

Omr JF-Expert Member

#12
Sep 7, 2011
Joined: Nov 18, 2008
Messages: 1,160
Likes Received: 1
Trophy Points: 0
Igunga ni jimbo moja ndani ya Tanzania, sana sana mtaongeza kelele tu bungeni. Au ndio unafikiri kuwa mkipata jimbo la igunga mtakua na sauti bungeni? kumbuka ndani ya bunge ni wingi wa wabunge wa chama fulani sio wingi wa kelele.

13. t

tito majala Member

#13
Sep 7, 2011
Joined: Sep 4, 2011
Messages: 25
Likes Received: 0
Trophy Points: 3
Inaelekea wewe una ukimwi wa akili kama zimetimia uwezi kujibu hivyo kwani mtoto azaliwi na kukimbia ataanza kutamba kwanza kabla ajatembea chonde inaelekea ni mmoja wa watoto wa mafisadi atang'olewa mzazi wako na wewe pia

14. t

tito majala Member

#14
Sep 7, 2011
Joined: Sep 4, 2011
Messages: 25
Likes Received: 0
Trophy Points: 3
Chonde kukombolewa kwa igunga ni mwanzo wa kuikomboa Tabora mkoa mkongwe Tanzania uliotoa wapigania uhuru uliokua na shule bora za sekondari na vyuo vya ualimu mkoa hata uende ughaibuni wanautambua lakini serikali ya mafisadi imeutosa mkoa hauna chuo kikuu hata kimoja toka utoe wasomi wa kwanza akina Kasanga Tumbo,Abdalah Fundikira, Kasela Bantu na wengine umenyimwa fulisa ya kuendelea kuzalisha wasomi ndio maana mkoa umedoloa miundo mbinu duni hakuna wa kuwalithi wasomi wa zamani waliopo wachache wanaogelea kwenye dimbwi la ufisadi hakuna wa kuwaokoa ndugu zangu wanyamwezi tuanze na igunga kwani hata waasi wa libya walianzia benghazi na leo wamevuka tripoli na sisi wana tabora tuanze na igungua kwa msaada wa NATO ya CHADEMA hatimae tutaikomboa TABORA toka mikononi mwa mafisadi. Wasomi wa vyuo vikuu tunaomba msaada wewe wa silaha za maangamizi

15. t

tito majala Member

#15
Sep 7, 2011
Joined: Sep 4, 2011
Messages: 25
Likes Received: 0
Trophy Points: 3
Inaelekea wewe una ukimwi wa akili kama zimetimia uwezi kujibu hivyo kwani mtoto azaliwi na kukimbia ataanza kutamba kwanza kabla ajatembea chonde inaelekea ni mmoja wa watoto wa mafisadi atang'olewa mzazi wako na wewe pia

16. Chakaza

Chakaza JF-Expert Member

#16
Sep 7, 2011
Joined: Mar 10, 2007
Messages: 23,660
Likes Received: 21,879
Trophy Points: 280
Hapa hujatukana wale wasomi waliowapenzi na CDM tu ila umewatukana vijana wasomi wote wa nchi hii. Kwa vile humu jamvini Omr umekuwa msemaji na mtetezi mkuu wa mambo mengi tena ya ndani ya CCM naamini hata kauli na matusi haya yaweza kuwa ndio CCM inavyoamini.
Tunakushukuru maana vijana wasomi wa nchi hii wamekuelewa unamaanisha nini kwa niaba ya nani.

17. k

kanunha Member

#17
Sep 7, 2011
Joined: Sep 6, 2011
Messages: 18
Likes Received: 0
Trophy Points: 0

Safari hii Igunga hatuiachii mimi na wenzagu wana Igunga.Mungu amesikia kilio chetu wanaigunga. Huyo anaedai wasomi wapunguze ngono ajiulize kama alishawafundisha wakaelewa watawezaje kuacha bila kufundishwa? Hafu inaonekana ni kigogo wa chama na imemuuma sana wasomi kuikomboa Igunga.
'Power ya wanaigunga ndo silaha ya kuing'oa ccm na kafumu wao'

18. k

kanunha Member

#18
Sep 7, 2011
Joined: Sep 6, 2011
Messages: 18
Likes Received: 0
Trophy Points: 0

Hawakataliwi kujiunga ila wao ndo hawataki kutokana na sera za chama kutokuwaridhisha[hazitekelezeki]
Jambo jingine ni uhuru wa kidemokrasia. Hivyo msomi yeyote anauhuru wa kisiasa hata kama anasoma kwa ufadhili wa serikali ya ccm. Big up wasomi wote.
"PEOPLE'S POWER"

19. Mzee

Mzee JF-Expert Member

#19
Sep 7, 2011
Joined: Feb 2, 2011
Messages: 12,971
Likes Received: 2,966
Trophy Points: 280
Hakuna wasomi hapo. Wasomi gani wanashiriki kubomoa jamii badala ya kujenga.

20. N

NALO LITAPITA JF-Expert Member

#20
Sep 7, 2011
Joined: Aug 25, 2011
Messages: 294
Likes Received: 20
Trophy Points: 35
Hilo swali ni zuri sana ,unajua CCM hutumia kutokuelewa kwa Watanzania kuendelea kubaki madarakani na kufanya mambo yao ya hovyo.moja wapo ya giriba wanazotumia ni kuwa endapo wapinzani wataingiamadarakani eti vita vitatokea.sasa kwa mtu msomi hawezi kudanganywa hivyo!!1ili vita itokee ni mpaka aliyeangushwa akatae kutoka madarakani kama Ivory cost,je CCM wana maanisha kuwa hata wakiangushwa hawako tayari kuondoka!!na kwa maana hiyo ili lisitokee wananchi hawana budi kuwarudisha madarakani?

Loading...