Iringa Native
JF-Expert Member
- Nov 9, 2011
- 958
- 3,059
Alichomaanisha kwamb msomi co mpk awe na vyeti ukiwa unafahmu jambo fulani unaweza pia ukawa msomi
Bhasi kwakuwa na wewe unaufaham mkubwa wa jamiiforums hadi umeweza kuni quote bhas wew ni msomi wa jamiiforums?
Lowasa aliposema priorities zake za uchaguzi ni Elimu,Elimu,Elimu hakika alidhamilia kusaidia wengi wetu ukiwemo wewe msomi wa jamiiforums...