Wasomali walioteka meli ya Ufaransa walipwa fidia

Wasomali walioteka meli ya Ufaransa walipwa fidia

Black Sniper

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2013
Posts
34,434
Reaction score
59,295
Mwaka 2008 wasomali (pirates) walivamia meli na kudai walipwe $2m ransom. Sasa mahakama ya ulaya ya haki za binadamu (European court of human rights) imewataka ufaransa wawalipe fidia ya kuwaweka ndani zaidi ya masaa 48 bila kuwapelekea mahakamani.
Wako Tisa na kila mmoja alipwe € kama shilingi m20,
Haki za binadamu tuzisikie tu
 
haki za binadamu wanataka kupiga pesa tu hapo, haki ngapi za binadamu zinavunjwa duniani wao huwa wanakuwa wapi?!
 
haki za binadamu wanataka kupiga pesa tu hapo, haki ngapi za binadamu zinavunjwa duniani wao huwa wanakuwa wapi?!

Wangefungua na hapa mahakama za human rights kesi zingejaa mpaka wakaifunga
 
(European court of human rights) imewataka ufaransa wawalipe fidia ya kuwaweka ndani zaidi ya masaa 48 bila kuwapelekea mahakamani.

Haki za binadamu tuzisikie tu
Ukitaka kushinda kesi ya haki za kibinadamu basi EU Court of Human Rights is the place to take your case.

Kuna kijana alirudishwa miaka miwili iliyopita kutoka UK kwa kosa la kukutwa na bastola. Sheria za UK kama sio raia wa kuzaliwa ukikutwa na bastola na uraia unavuliwa.

Uncle wake baada ya ku-appeal deportation mahakama ya EU of Human Rights, jamaa wameamuru arudishwe uingereza citing ingawa chalii alikuwa ana miaka 30 wakati anarudishwa lakini aliingia UK akiwa na miaka mi-nne kwa hivyo bastola kajifunzia kuishikia huko huko UK sio tabia aliyokuja nayo.
 
kwa hiyo kesi yao ya kuteka meli imeishaje wameshinda wao au hizo hela zao wataenda kutumbua gerezani?
 
Back
Top Bottom