Wasiyoyajua Waislamu wengi

Nimekiona mnakibebabeba kwenda kanisani wakati hakuna maandiko yoyote yanayotambua kuna kitabu kinachoitwa biblia
Maandiko yapi?
Maandiko yako mengi duniani,
wewe unataka yapi?
 
Arsenal imekushinda, sasa unakyla sahani moja na uislam..
Uislamu ulikufanya nini? Unaonesha una chuki za wazi kabisa.
Hana akili huyo!

Halafu akianzisha hizi mada huwa hajibu maswali, ana kaa kimya. Hana tofauti na ibilisi.
 
Maandiko yapi?
Maandiko yako mengi duniani,
wewe unataka yapi?
Nataka maandiko kutoka kwenye kitabu cha Imani yako kinachotambua kuwa kuna kitabu kinachoitwa biblia
 
mkuu wa dini ya amani unaumia kusikia neno 'msomi?'🤣
Wasomi gani wanaochotwa akili hata na wakina Mwamposa na Kiboko ya wachawi ambao hawana elimu hata kiduchu,kila wanachoambiwa wanaitikia tu kama misukule
 
Mkuu umeelezea vizuri lakini jiandae kuoga matusi kutoka kwa watoto wa bi mdogo, kama kuna yeyote atakayekupinga kwa hoja na tafiti sahihi nitafute nikupe hela, huwa hawakubali kabisa kuambiwa ukweli
Ameeleza Vizuri kitu gani??

Soma tena Andiko lake lote kisha nikupe kazi ya kutengeneza Kichwa cha habari cha andiko hilo.

Ukifanikiwa tutaanzia hapo kujadili mada.
 
m
Maandiko gani ?
Maandiko ya Majini ?
Au ya Allah ?
Leta yoyote iwe majini mashetani mizimu au ya nini, leta andiko linalotambua kuwa kuna kitabu cha kitapeli kinachoitwa biblia
 
Kama biblia siyo kitabu cha kitapeli basi leta andiko linalotambua kuna kitabu kinachoitwa biblia , usipoleta andiko maana yake biblia ni kitabu cha kitapeli
Ushapewa,
Soma post # 157
 
Ili mradi mimi napata futari la bure mengine hayanuhusu😔

Tumuombe mtume wetu jaalali tuwe miongon mwa wale watakaoonja bikra peponi šŸ˜‹šŸ˜‹šŸ˜‹
 
Ngoja faiza foxy aje nae atie neno
 
HOJA YAKO KUU NI IPI?? TUANZIE HAPO.
 
Nataka maandiko kutoka kwenye kitabu cha Imani yako kinachotambua kuwa kuna kitabu kinachoitwa biblia
Kivipi?
Yani maandiko yaliyopo kwenye biblia yaitambue biblia??
Point ni nini hapa? Mbona huu ni utoto🤣!

Nitakuelekeza,
Kwanza unapaswa kufahamu biblia ni "mkusanyiko wa vitabu" zaidi ya 66 sio kitabu kimoja tu, Quran ni kitabu kimoja kilichoandikwa kutokana na maneno ya mtu mmoja tu baada ya muda mrefu wa simulizi za mdomo/oral tradition.

Hakuwezi kuwa na andiko kama hilo kwenye biblia kwa sababu ni mkusanyiko wa vitabu kutoka waandishi wengi tofauti na Quran iliyoandikwa yote kwa hadithi/simulizi za mtu mmoja tu. Biblia kama ilivyo haina mmiliki/hatimiliki ya mtu mmoj tofauti na Quran.
 
Leta yoyote iwe majini mashetani mizimu au ya nini, leta andiko linalotambua kuwa kuna kitabu cha kitapeli kinachoitwa biblia
wewe unayaamini Majini, Mashetani na Mizimu kuwa yanaongea Ukweli ?
 
Nimeisoma na hajaleta andiko linalotambua kuwa kuna kitabu cha kitapeli kinachoitwa Biblia, shirikiana nae ulete
Ushaambiwa kitabu cha kitapeli ni kimoja tu duniani.
Ni cha ile dini iliyoasisiwa na Wakatoliki
 
Haya baada ya kuandika risala leta andiko linalotambua kuwa kuna kitabu cha kitapeli kinachoitwa biblia
 
mungu aliyeshusha kurwani naamini kabisa alikua kichaa mvuta bangi,kwanini alishusga kitabu vha hovyo namna ile.
Ww ndio kichaaa , mvuta bangi na naamini kabisa wewe ni mwanaharamu, naomba umuulize mamaakoo kama hukuzaliwa gesti niite Zumaridi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…