Wasiyoyajua Waislamu wengi

Wasiyoyajua Waislamu wengi

Nyie makafiri mnakua mnawashwa sana na uislamu, kwa taarifa yako uislamu si dini mpya ulikueko tokea enzi za Nuhu na Adam, na sisi waislamu tunaheshimu mitume yote iliopita na ndio maana imetajwa katika Quran, sasa hoja yako kusema tumekopilia kutoka uyahudi na ukristo ni kweli kwani hao vitabu vyao vinatoka kwa Mungu huyo huyo alieishusha Quran .
mungu aliyeshusha kurwani naamini kabisa alikua kichaa mvuta bangi,kwanini alishusga kitabu vha hovyo namna ile.
 
Nioneshe Zaburi ya kwenye Qurani.
quran imemtaja mtume daudi kwa kutaja hadithi zake na uwezo wake.

Mwenyezi Mungu, Aliyetukuka, Anatoa habari kwamba Amewafukuza kutoka kwenye rehema Yake makafiri miongoni mwa Wana wa Isrāīl, kama ilivyoandikwa kwenye kitabu ambacho Mwenyezi Mungu Alikiteremsha kwa Dāwūd, amani imshukie, nacho ni Zaburi, na kwenye kitabu Alichokiteremsha kwa Īsā, amani imshukie, nacho ni Injili, kwa sababu ya kuasi kwao na kuyafanyia uadui kwao mambo Aliyoyatukuza Mwenyezi
 
Nipe Sura moja ya kitabu cha Zaburi ambayo ipo ndani ya kitabu cha Qurani.
Ukishindwa basi nipe sura moja ya Kitabu cha Torati ya Kwenye Qurani.
Hivi hamjastuka tu kuwa mmetapeliwa.
 
Nioneshe Zaburi ya kwenye Qurani.
Dāwūd akasema, «Kwa hakika ndugu yako amekudhulumu kwa kutaka kwake kumchukua kondoo wako awe pamoja na kondoo wake. Na kwa hakika, wengi wa washirika, baadhi yao wanadhulumu wengine: wanawadhulumu kwa kuchukua haki zao na kukosa kuwa waadilifu wa nafsi zao. Isipokuwa watu wema walioamini, kwani wao hawadhulumiani, nao ni wachache.» Na Dāwūd akajua kwa yakini kuwa sisi tumemtahini kwa utesi huu, hivyo basi akamuomba msamaha Mola wake, akasujudu kwa kujikurubisha kwa Mwenyezi Mungu na akarejea Kwake na akatubia.
 
quran imemtaja mtume daudi kwa kutaja hadithi zake na uwezo wake.

Mwenyezi Mungu, Aliyetukuka, Anatoa habari kwamba Amewafukuza kutoka kwenye rehema Yake makafiri miongoni mwa Wana wa Isrāīl, kama ilivyoandikwa kwenye kitabu ambacho Mwenyezi Mungu Alikiteremsha kwa Dāwūd, amani imshukie, nacho ni Zaburi, na kwenye kitabu Alichokiteremsha kwa Īsā, amani imshukie, nacho ni Injili, kwa sababu ya kuasi kwao na kuyafanyia uadui kwao mambo Aliyoyatukuza Mwenyezi
Quran iliandikwa mwaka gani?
Kwa nini tuamini Quran ndio kitabu cha kuthibitisha vitabu vingine?
 
Tatizo lako ni ujinga unakusumbua

Kulikuwa na haja gani ya kuletwa manabii au mitume baada ya manabii au mitume waliokuwepo kuondoka?

Nabii akiondoka basi ustaarabu/dini aliyoifundisha inapotea watu wanarudi katika ujinga na ukafiri hivyo analetwa nabii mwimgine Kuja kusafishwa.

Akili ya darasa la pili B tu, Nyerere alikuwa raisi miaka ya 60s mpaka early 80s

Wakati huo barabara, majengo, viwanda nk vilikuwepo ila bado 2025 Samia anaendelea kuimarisha vitu hivyo hivyo

MAKAFIRI MWEZI HUU MMEANDAA THREAD NYINGI ZA KUUPONDA UISLAMU ILA ZOTE UTOPOLO

UKIUKOSOA UISLAMU EITHER UWE MJINGA WA UISLAMU AU KIBURI TU ( UKAZE NATI ZA FUVU)
Jibu hoja acha matusi
 
Jibu hoja acha ma
 
Maandiko yapi?
Usidandie comment isiyokuhusu maana hautaielewa utaishia kuuliza yapi

Wewe usihamishe mada nimekupa kazi ya kuleta andiko linalotambua kuwa kuna kitabu cha kitapeli kinachoitwa biblia , hiyo ndo homework yako endelea kutafuta jibu ukikosa sema umekosa.
 
🚮
Kitabu cha kitapeli unakijua wewe.
Itakuwa ni cha ile dini iliyoanzishwa na wakatoliki halafu ikajiita ya haki
Kama biblia siyo kitabu cha kitapeli basi leta andiko linalotambua kuna kitabu kinachoitwa biblia , usipoleta andiko maana yake biblia ni kitabu cha kitapeli
 
Usidandie comment isiyokuhusu maana hautaielewa utaishia kuuliza yapi

Wewe usihamishe mada nimekupa kazi ya kuleta andiko linalotambua kuwa kuna kitabu cha kitapeli kinachoitwa biblia , hiyo ndo homework yako endelea kutafuta jibu ukikosa sema umekosa.
Surah Al-Imran Ayat 64( Quran 3:64)
Surah Al-'Ankabut 29:46
Surah Yunus 10:94
Haya ni maandiko yako, unataka maandiko yapi mengine??
 
Kati ya dini zote zilizopo duniani, uislamu ndio dini ya hovyo zaidi. Imejaa uongo uongo mwingi na sheria za kijinga kijinga, kama ni mtu unaye think deep huwezi kuwa muislamu
Ni vizuri ukaandika ni mifano ndugu msomi!
 
Kama biblia siyo kitabu cha kitapeli basi leta andiko linalotambua kuna kitabu kinachoitwa biblia , usipoleta andiko maana yake biblia ni kitabu cha kitapeli
Andiko gani?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom