Me kusema kwl naheshimu dini ya mtu na kitabu alichoamua kuchagua kimsaidia iwe biblia au Quran.... Mungu hana dini.... Wewe jitahidi uishi maisha mema... Dini ni barabara tu.... We soma UDOM Mimi MLIMANI tutakutana kazini.... Ofisin
Tukijibu hoja kwa hoja umesema Quran ni Old kuliko vitabu vingine... Ni wrong wakati katika mfululizo wa vitabu vya Mwenyezi Mungu Quran ndio cha Mwisho na Mtume wake pia ndio wamwisho (Muhammad S.A.W)
Hoja ya pili kwamba Quran imekua ikikopi vitabu vingine kwenye maswala ya science. Hoja hii pia hujaweka uthibitisho wa vitabu hivyo kuelezea facts zipi za science au teknolojia na kisha Quran ikaja kuzikopi kama zilivyo. Hizo hoja sijui za Ujengaji wa Pyramid huko misri mimi si msomi nguli wa Quran lakini sijawahi sikia imezungumzwa ndani ya Quran, Umezungumzia issue ya Design ya Majengo sijui na takataka kibao hizi Quran ilikopi wapi? Labda ulimaanisha Waislam ndio walikopi maybe ukasahau na kusema Quran ndio ilikopi wakati sio kweli.
Nilidhani Andiko lako ni la kujifunza kitu serious lakini baada ya kulisoma nikagundua ni just a mere religious attack and subjugation ambayo ina lengo tu lakuchafua taswira ya Dini ya Uislam na kitabu cha Quran.
In the mean time nasubiria waliobobea kusoma Quran na historia ya Uislam kwa undani waje kukupa shule vizuri I'm quite sure huo ujinga utakuondoka mkuu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.