Wasiyoyajua Waislamu wengi

Wasiyoyajua Waislamu wengi

Muislam hawezi kuwa kafiri Kama unabisha muulize Bibi yako kafiri ni nani uone kama atakwambia ni waislam.
Tafsiri halisi ya kafiri hii hapa..

Yuda 1:14
“Kwa maana kuna watu waliojiingiza kwa siri, watu walioandikiwa tangu zamani hukumu hii, makafiri, wabadilio neema ya Mungu wetu kuwa ufisadi, nao humkana yeye aliye peke yake Mola, na Bwana wetu Yesu Kristo”
 
Watoto wa mnyaazi "mungu" wameshindwa kujibu kwa hoja wanatukana tuu, kama amedanganya mjibuni kwa hoja matusi ya nini
 
Qura'n ni mkusanyiko wa vitabu (Injili-Issa,Torati,Zaburi na Quran yenyewe.

Mkusangiko huu umejumuisha visa/hadith vya kale kwa lengo kutunza historia pamoja na mazingatio.

Imeelezea sayansi ya uumbaji na ubunifu.

Quran yenyewe imekuja kubainisha halali na haramu kwa huyo usihangaike.

Misingi yote imetoka kwa mitume mengine,yeye muhammad alikuja kukamilisha mafunzo ya halali na haramu pamoja na mafunzo ya swala.
na siku ya mwisho.

USIKASHIFU IMANI YA NTU,KWANI IMANI NI NJIA YA KUISHI LAKINI NI NAMNA YA KUIFIKIA NATURE(MUNGU).
 
Tafsiri halisi ya kafiri hii hapa..

Yuda 1:14
“Kwa maana kuna watu waliojiingiza kwa siri, watu walioandikiwa tangu zamani hukumu hii, makafiri, wabadilio neema ya Mungu wetu kuwa ufisadi, nao humkana yeye aliye peke yake Mola, na Bwana wetu Yesu Kristo”
Sijakuuliza

Usihamishe mada leta andiko linalotambua kuwa kuna kitabu cha kitapeli kinachoitwa biblia
 
Biblio ndo imetungwa na watu,ndo maana inaubabaishaji mwiingi, mfano maandiko haya yanasema yesu ni mungu, upande mwingine yesu ni mwana wa mungu,yesu ni mtume,jamani tushike lipi tuache lipi?.
Biblia si moja kama ilivyo Quran kokote uendako iwe ni china, USA na kwingineko Quran ni ile ile,hili linadhihirisha kutokuwepo ubabaishaji ndani yake,ni kitabu kisichokuwa na shaka.

Surah Al-Imran Ayat 64( Quran 3:64)
Surah Al-'Ankabut 46
Leta andiko kama lilivyoandikwa ili tuone kama kweli Quran inaweza kutaja kitabu cha kitapeli kama biblia
 
Qura'n ni mkusanyiko wa vitabu (Injili-Issa,Torati,Zaburi na Quran yenyewe.

Mkusangiko huu umejumuisha visa/hadith vya kale kwa lengo kutunza historia pamoja na mazingatio.

Imeelezea sayansi ya uumbaji na ubunifu.

Quran yenyewe imekuja kubainisha halali na haramu kwa huyo usihangaike.

Misingi yote imetoka kwa mitume mengine,yeye muhammad alikuja kukamilisha mafunzo ya halali na haramu pamoja na mafunzo ya swala.
na siku ya mwisho.

USIKASHIFU IMANI YA NTU,KWANI IMANI NI NJIA YA KUISHI LAKINI NI NAMNA YA KUIFIKIA NATURE(MUNGU).
Nioneshe Zaburi ya kwenye Qurani.
 
Mkuu umeelezea vizuri lakini jiandae kuoga matusi kutoka kwa watoto wa bi mdogo, kama kuna yeyote atakayekupinga kwa hoja na tafiti sahihi nitafute nikupe hela, huwa hawakubali kabisa kuambiwa ukweli
Hizo tafiti sahihi alizoweka yeye iko wapi link yake tuipitie
 
Leta andiko kama lilivyoandikwa ili tuone kama kweli Quran inaweza kutaja kitabu cha kitapeli kama biblia
Quran yako ina maandiko chungu nzima ya Allah na mtume wako yanayotambua "the book"/ "Al-Kitab", "the book"/ Al-Kitab kwa kigiriki ni Biblia.
 
Quran yako ina maandiko chungu nzima ya Allah na mtume wako yanayotambua "the book", Biblia ina maana ya "the book" kwa kigiriki.
Acha kuleta ujanja ujanja

leta andiko linalotambua kuwa kuna kitabu cha kitapeli kinachoitwa biblia
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom