Wasiyoyajua Waislamu wengi

Wasiyoyajua Waislamu wengi

Kama nimeona kuna utapeli lazima niseme kuwa Biblia ni kitabu cha kitapeli hakipo kwenye maandiko.

Na kwasababu ni kitabu cha kitapeli chenye historia ya kubadilishwa badilishwa shaurianeni na matapeli wenzenu safari hii mkikibadilisha msisahau kuongezea maandiko mengine ya uongo yanayokitambulisha kitabu cha kitapeli cha biblia ndani ya maandiko yenu ya uongouongo
Kwahiyo kitabu cha Majini ndio cha kweli ?
Na sio cha Kitapeli
 
Labda kama umenijua Leo

Hakuna dini nyepesi kuichambua kama.uislamu
Yesu si ni historical figure kama el nino Tanzania au mv bukoba,unaweza anzia kuhesabu muda hapo,halafu wazungu Wala hawaandiki AD tena Bali CE(CURRENT ERA),halafu mada zako ni hizihizi za kuubeza uislam na Wala modes hawakufungii,ungejikita kuelezea yesu ni nani,mungu au mwana wa mungu
Maana alimtia mimba mama yake akazaliwa yeye ili akukomboe,akatundikwa msalabani akalia mungu wake kamuacha,akapaa na kuketi mkono wa kuume wa mungu ili ahukumu mataifa
 
KWANINI MUHAMMAD ALIKUWA NA TABIA KAMA ZA WANAWAKE?

1. APAKA WANJA NA PODA KAMA WANAWAKE.
2. ACHUCHUMAA WAKATI WA HAJA NDOGO.
3. ALIVAA MAGAUNI YA WAKE ZAKE.
Japo alikuwa mwanaume lakini Muhammad alikuwa na tabia kama za Wanawake,
Mfano Muhammad alikuwa anachuchumaa wakat anakojoa. Soma ushaidiL
Aisha Mke Wa Mtume Anasema "Mwenye kukuhadithieni kuwa Mtume Wa Allah (S.a.w) alikwenda haja Ndogo wima musimsadiki, (Mtume) Alikuwa hajisaidii Ila AMECHUCHUMAA"
Al'mugh'niy 1/156 Muhamad Pia Alikuwa Hataki Kuona Muislam Mwanaume Anakojoa Hali Amesimama.

Soma Sunan Ibn Majah 1/112 Hadith Na 309, "Mtume wa Allah aliniona najisaidia wima (Haja Ndogo) akasema: Ewe Umar, Usijisaidie Wima.
Sunan Ibn Majah, Hadith Na 309 Muhamad pia alikuwa anatembea Na KIOO Na WANJA,
ALIPAKA WANJA KAMA WANAWAKE:
Ukisoma maisha ya Muhamad kipengele cha Mavazi Na 26 "Muhammad alikuwa na Kitana Cha Pembe Akichania Nywele Zake, alikuwa na Mafuta Na ALIKUWA NA KIOO akijitazama na KICHUPA CHA WANJA ambao akijitia usiku usiku kabla ya kulala na alipenda sana kutumia Manukato..."
Sio Kawaida Mwanaume KUJIPAKA WANJA AU KUKOJOA HUKU AMECHUCHUMAA. LAKINI MUHAMMAD YEYE ALIPAKA WANJA KAMA WANAWAKE NA KUPAKA HINA NDEVU ZAKE.
Hivi hii tabia ya kike aliipata wapi?
ALIVAA MAGAUNI YA AISHA:
From the English translation of the Sahih collection of Imam Muslim, Book 031, Number 5984:
Aisha mke wa Muhammad alisema: Nabii wa Mwenyezi Mungu alikuwa anapata ufunuo wakati amevaa nguo zangu au amejifunika ushungi wangu.
The Book Pertaining to the Merits of the Companions of the Holy Prophet (Kitab Al-Fada'il Al-Sahabah) (The Visionary Behind USC’s Iconic Architecture…/fund…/hadithsunnah/muslim/031.smt.html…)
************
From the Sahih collection of Imam Muslim, Hadith Number 4472
Volume Title, “From the Virtues of the Companions.”
Chapter Title, “From the Virtues of Aisha.”
Imesimuliwa na al-Hassan ibn Ali al-Hilwani, ikasimuliwa na Abu Bakr ibn Nadir, ikasimuliwa na Abd ibn Hamid, ikapokelewa na Yakun ibn Ibrahim ibn Sa’d Ibn, ikasimuliwa na baba yake, ikasimuliwa na Salih ibn Shihab, ikasimuliwa na Muhammad ibn Abdel Rahman ibn Harith ibn Hisham akasema kuwa Aisha mke wa Nabii Muhammad alisema:
Mke wa Muhammad alimtuma Fatimah, na alipo ingia chumbani alikumkuta Nabii wa Allah amejilaza kitandani huku akiwa amevaa nguo za mkewe.
Source- http://hadith.al-islam.com/Display/Display.asp
Makubwa haya, mbona haya hayasemwi wapo na bible tu ? Kwanini kitabu Chao hawakisomi nakutuletea hapa kazi kuuliza kwani YESU ni MUNGU? Mara YESU hakuacha Ukristo! Yakwao wanayaacha nyuma.🤣🤣🤣
 
Wakati wanawake walikojoa kwa kuinama
 
Shukrani sana mleta hoja, yaani umepanga hoja yenye mashiko na Kuna mengi nimejielimisha sikuyajua, nimejaribu kufuata comments za waislamu nione yeyote anayeweza kupangua hizi hoja kisomi, wote wanakejeli tu.
Nikipata muda nitarudia kusoma hizi hoja mara kadhaa mpaka kila kitu kiniingie akilini maana Kuna waislamu nataka nibanane nao mtaani.
Waislamu husema mambo yao huendana na sayansi yaani ujuha wa Mohamed kupasua mwezi ukawa vipande viwili eti ndio sayansi yao...
Sasa mwezi aliupasua vipi! Wakati wenzie wanaenda kwavifaa tena wasomi na yeye alikuwa maamuma ilikuwaje hapo? Ukipata huko maana utuletee hapa nasi tujue jinsi yakuupasua mwezi.
 
Sasa mwezi aliupasua vipi! Wakati wenzie wanaenda kwavifaa tena wasomi na yeye alikuwa maamuma ilikuwaje hapo? Ukipata huko maana utuletee hapa nasi tujue jinsi yakuupasua mwezi.
Huo ni mwezi wa kitoto kichanga ki Aisha.
Ndio aliupasuaga alitumia tu Lugha fanani.
 
Huko kanisani kwenu ambapo mnamwita mungu mtu aliyezaliwa na mwanamke ?
Ambaye aliposulubiwa akaomba msaada kwa mungu
Unacho hapo kitabu cha Nabii Isaih ili nisikujibu vitu hujui kabisa?
 
Makubwa haya, mbona haya hayasemwi wapo na bible tu ? Kwanini kitabu Chao hawakisomi nakutuletea hapa kazi kuuliza kwani YESU ni MUNGU? Mara YESU hakuacha Ukristo! Yakwao wanayaacha nyuma.🤣🤣🤣
Huwa wao wenyewe hawajui wanakariri tu mistari ambayo ipo kiarabu. Ndo maana unaona hapo amenywea
 
Kwahiyo kitabu cha Majini ndio cha kweli ?
Na sio cha Kitapeli
Safari mkibadilisha Biblia jitahidini mkumbuke kuweka andiko linalo kitambua kitabu chenu cha kitapeli cha biblia, maana ni kawaida yenu kukifanyia mabadiliko hicho kitabu chenu cha kitapeli kinachopitwa na wakati
 
Ni Bora kusoma kitabu cha kitapeli kuliko kusoma na kuziamini Aya za Shetani na washirika wake Majini.
 
Huwa wao wenyewe hawajui wanakariri tu mistari ambayo ipo kiarabu. Ndo maana unaona hapo amenywea
Na wanakariri hiyo mistari ya bible, unajiuliza kwanini msitufundishe yakwenu ili tuelewe kuwa mnanini humo? Ukiwambia hivyo wana anza matusi na kashifa, ila basi tumshukuru YESU unyenyekevu wake unatufanya tuwe wapole nakuwaacha waendelee kurukaruka kama bisi
 
ingawa ni kweli, lkn wale wabeba msaraba hili watalipinga. Hata kama inauma huu ndiyo ukweli kuhusu biblia
 
Na wanakariri hiyo mistari ya bible, unajiuliza kwanini msitufundishe yakwenu ili tuelewe kuwa mnanini humo? Ukiwambia hivyo wana anza matusi na kashifa, ila basi tumshukuru YESU unyenyekevu wake unatufanya tuwe wapole nakuwaacha waendelee kurukaruka kama bisi
Inabidi wasome bible maana Quran muddy alikuwa tu akiua watu, akioa mara ya kwanza aliolewa na Bi Khadija Mzee Tajiri ili alelewe. Alipofariki akarithi mali na kuteka akaja akaoa katoto kadogo ka miaka 6 na kuanza fanya nako kakiwa na miaka 9 . Hapo kuna mtu wa kumsoma? Jangili na mbakaji wa kitoto.
 
Wasiyoyajua Waislamu wengi

Utakuta shekhe/ustadhi/kijana wa kislamu amevimba mishipa ya shingo akiisifia Quran kuwa ni kitabu cha pekee kilichotunzwa toka karne ya 7, kwamba kina mambo ya sayansi toka karne hiyo na kimetukuka. Hapo wakifikiri karne ya 7 ni mbali sana.

Ngoja niwape shule kidogo; unajua hiyo karne ya 7 imetokanaje?

Basi tambua leo kuwa huo ni mpangilio wa miaka ya Wakristo toka kuzaliwa Kristo. Karne ya 7 ni miaka 600 toka kuzaliwa Kristo. Ndio maana inaandikwa 600 B.K (Baada ya Kristo) ama AD kwa English. Hivyo ni hesabu za Wakristo toka Bwana wao alipozaliwa. Hivyo msije fikiri ni mbali sana hiyo karne ya 7. Muelewe tu kuwa nyuma ya kuzaliwa Kristo kulikuwa na maelfu ya miaka. Na toka kuzaliwa kwake hadi sasa ni miaka 2000 imepita.

Hivyo basi Uislamu na Muhamad na Quran ni wageni tu hapo nyuma. Walikuta tayari kuna dini, serikali, maarifa na sayansi. Hata ukisikia islamic golden age ni wakati wa utawala wa Ukhalifa wa Abasia mnamo karne ya 8 baada ya Kristo. Hawa walichota mengi kwa Wakristo, Wagiriki, Warumi na Wayahudi na kuyaweka pamoja hapo Baghdad. Na wakati huo ndio hadithi za Muhamad ziliandikwa kwa 90%. Huu wakati ndio unaitwa wakati wa dhahabu na maarifa kwa Waislamu, je ni maarifa kutoka wapi? Ni kwa wageni na si Waarabu.

Hivyo hata aina za majengo ambayo leo wanayaita msikiti ni muigo wa ujenzi wa Byzentine (Warumi/Wagiriki) na Wayahudi. Maana Muhamad hakukuta majengo katika bara Arabu zaidi ya alkaaba, sababu Waarabu waliishi kwenye mahema ama vijengo vya tembe kama vile vya Wagogo na Wanyaturu. Na hadi anakufa Waislamu hawakumiliki majengo ya kisasa na maburuji, na zaidi hawakuwa na maendeleo ya kisayansi na tekinolojia zaidi ya kuteka na kupora maeneo ya wenzao kwa upanga.

Wakati wa Khalifa Ally (khalifa wa 4 baada ya Muhamad) ndio alihamia Basra Iraq, huko ndipo wakakuta majengo na maendeleo makubwa yaliyoundwa na Wakaldayo, Wapersia, Wagiriki. Na baada ya kufa kwake (kwa kuuliwa na waislamu wenzake) ndipo familia ya kisuni ya Umayah (iliyomuua) ikaunda ukhalifa wa kifalme na kuweka ngome yao Siria iliyokuwa imejengwa na Wakristo wa Orthodoksi. Sababu ya uzuri wa Siria (Shamu) walionelea waweke ngome yao hapo. Hivyo wakabadilisha majengo ya kuabudia wakristo (aka makanisa) kuwa misikiti yakiwemo masinagogi ya Wayahudi. Na wakachukua wanasayansi na wabunifu wa Byzentine (orthodoksi) ili kuwajengea majengo kwa mithili ya majengo ya Konstantinopoli. Mfano hilo shubaka (dome) si aina ya ujenzi wa Kislamu bali kiothodoksi ambao waislamu waliomba kujengewa, maana walikuwa washamba sana (wafuga Ngamia). Hata alama nyingi katika uislamu ziliundwa wakati wa utawala wa ukhalifa wa Umayah, aliyekopa alama kibao toka kwa Waorthodoksi, Wagiriki na Warumi na kuzifanya alama za Uislamu. Mfano nyota ya pembe sita (octagon) ambayo inajulikana kama alama ya Uislamu, ni ukopaji tu.

Hivyo Uislamu ni dini iliyoundwa undwa kwa ukorombwezo wa ukopaji kutoka katika dini zilizotangulia (Wayahudi, Wakristo na Upagani). Hata hoja za kisayansi ndani ya Quran ni uzushi mtupu. Maana kama wangekuwa wajuzi wa sayansi basi leo Arabuni ingekuwa mbele kwa tekinolojia, ila ndio wapo nyuma, na kwa 99% mambo ya kitekinolojia wanafanyiwa na wazungu.

Waislamu muelewe tu sayansi na tekinolojia zilikuwepo hata kabla ya Quran. Mjiulize Nuhu aliwezaje kujenga meli kubwa kama ile (Safina)? Mjiulize Nimrod aliwezaje kujenga Mnara (gorofa) refu pata ile? Au hamjui vipimo vya ujengaji? Muwaulize mainjinia wa majengo watawaambia. Ama mjiulize Mafarao walipata wapi ujuzi wa kujenga mapiramidi yenye mita 200? tena yenye vipimo vyenye mkabala wa nyota za angani, na mianga ya jua? Hivi unaelewa mita 200 wewe? Ni viwanja viwili vya mpira. Angalieni majengo ya kushangaza huko Ugiriki na Rumi, yamejengwa kwa ustadi sana. Huko America jamii ya Mayan imeacha historia ya ajabu, walijenga na kubuni vitu vya ajabu sana. Eti Quran imeelezea bing bang? Unajua hiyo dhana imetokanaje?

Sikiliza, Quran haina jipya, hata uduara wa dunia ulijulikana enzi za Mafarao, angalia Wagiriki wana sanamu zimeshika duara ya dunia toka miaka hiyo. Hata Ayubu na Isaya wa Biblia kabla ya Mgiriki walitambua dunia ni duara na inaelea angani. (Ayubu 26:7; Isaya 40:22). Je Muhamad alikuwepo ama Quran?

Hivyo Quran haina jipya zaidi ya masimulizi ya visa vilivyotokea nyuma hasa kwenye Biblia. Na zile hadithi za apokrifa za Kikristo, Kiyahudi na kipagani ndio zimejazana humo. Na ndio maana Quran haina mpangilio zaidi ya kurukaruka habari. Na ukubwa wa Quran ni unazidiwa na agano jipya la Biblia. Na Quran haijitoshelezi kuunda Uislamu, inaunda Uislamu kwa % chache na sehemu inayobakia imeundwa na hadithi za Muhamad, Fiqh na hoja za maulamaa (wasomi).

Hilo jengo la dome of the rock hapo Yerusalem, (angalia picha) lilijengwa na injinia toka Byzentine (muorthodoksi), limejengwa mithili ya majengo ya kifalme na kikanisa ya Konstantinopoli. Khalifa wa Umayad alipendelea hivyo mnamo karne ya 8 na akajenga msikiti wa Alaqsa kando ambao Waislamu walipotoshwa wakifikiri ulikuwepo toka enzi za Suleman. Alijenga kwa kuficha uchi wa Muhamad aliyedai alienda hapo usiku kimuujiza katika safari inayojulikana kama Isra al miraj na kukuta msikiti wa Suleman na manabii wote akawasalisha kisha akaenda hadi mbingu ya saba na kuonana na Allah. Umar alipokuja kuivamia Yerusalem mnamo 634 B.K hakukuta msikiti hapo, akashangaa. Huenda alijisema moyoni mtume alituchapa kamba. . Zaidi alikuta kanisa la Orthodoksi na uwanja (eneo) tupu wa hekalu (unaojulikana kama temple mount) naam hekalu la zamani la Wayahudi. Myahudi Kaab aliyesilimu ndio alimwonesha Umar eneo ambalo lilikuwepo hekalu la Suleman, ndipo akajenga msikiti wa miti hapo kwa aibu na baadae karne ya 8 katika utawala wa Umaya ndipo wakajenga msikiti wa Alaqsa ambao umekuwa tatizo hadi leo hivi.

Najua Waislamu mtaumia lakini ndio ukweli, vumilieni muelimike.

View attachment 3286324
Kwenye bibilia ndio mmeambiwa muende nyumba ya ibada na vinguo vya disco na kuoawana jinsia moja tena papa ndio anatangaza ushoga kanisani. Wewe hata hujui ulichoandika.
 
Usiandike maneno mengi leta andiko linalotambua kuna kitabu kinaitwa Biblia kama hakuna andiko sema hakuna mbona rahisi tu braza?
Andiko from where?

Maana unataka reference na hujui ni ipi iliyo credible kwako

Na kitu ulichouliza umeshajibiwa na naamini wewe ni smart kiasi cha kujua "mantiki" kuliko kuwa rigid kama watu walio katika mihadhara ya kupondea dini za watu wengine ambao wanang'ang'ania vitu baselessly kwa sababu wanajali ku_convert watu kuliko kuangalia "ukweli"
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom