PreGE2025 Wasira: 'No reforms no Election' si hoja ya kisiasa ni kuvunja katiba

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Just Pray

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2023
Posts
2,142
Reaction score
4,777
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Stephen Wasira, amesema kauli ya “No Reforms No Election” inayopigiwa chapuo na baadhi ya vyama vya upinzani si hoja ya kisiasa, bali ni wito wa makusudi wa kuvuruga amani na kuvunja Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Akizungumza katika mkutano mkubwa wa hadhara uliofanyika wilayani Sengerema Juni 24, 2025, Wasira alisema wito huo unawachochea wananchi hususan vijana, wazee na wanawake kuacha shughuli zao halali na kushiriki katika vitendo vya fujo kwa lengo la kuzuia uchaguzi, jambo ambalo ni kinyume cha sheria na taratibu za nchi.

View attachment 3382311
Hii nyara irudishwe haraka kule Gombe.
 
Mzee Wasira kawapita kina Heche kwa hoja
 
Gari Ni Engine Siyo Bodi
Mzee Amechoka Sana Sana Apumzishwe
 
Wasira kawapiga CHADEMA kwenye mshono
 
Msaidieni huyu mzee kuwa tafsiri ya " No reforms no election" ni "bila mabadiliko hakutakuwa na uchaguzi".

Fujo hakuna ktk kauli hiyo.
 
Back
Top Bottom