GE2025 Wasira: Kuna maswali kuhusu Polepole, alisema ametelekezwa Cuba halafu ghafla ikawa ametekwa Tanzania!

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
4,393
Reaction score
14,500
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Stephen Wasira amesema "Kupotezwa Watu ni uhalifu na CCM hakina Sera ya kupoteza Watu. Lakini uhalifu ni uhalifu, na uhalifu unabadili sura, na wakati mwingine uhalifu unaweza kufanyika kwa ajili ya kuchonganisha jamii"

1760703196939.jpeg

"Uhalifu siyo ishu ya Siasa, na uhalifu duniani kote upo na unabadilisha sura"

"Sitaki kuzungumza sana mambo ya Polepole kwasababu sasa hivi yanachunguzwa na Polisi, lakini yako maswali vilevile juu ya Polepole kwasababu, Polisi haohao walimwandikia wito aende akaandikishe kwao mambo anayo yazungumza kupitia mtandao ili wayachunguze Polepole akawaambia yeye yuko nje ya nchi...ametelekezwa Cuba alafu ghafla ametekwa Tanzania"

Hakika wapumbavu nao huzeeka , kuna siku itajulikana tu .
 
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Stephen Wasira amesema "Kupotezwa Watu ni uhalifu na CCM hakina Sera yakupteza Watu. Lakini uhalifu ni uhalifu, na uhalifu unabadili sura, na wakati mwingine uhalifu unaweza kufanyika kwa ajili ya kuchonganisha jamii"

Huyu Mzee aache ujinga.

Kama alikuwa Cuba walifuata nini nyumbani kwa dada yake na kumteka.....!!?
 
Hakika wapumbavu nao huzeeka , kuna siku itajulikana tu .
 
Hatutaki maswali zaidi tunataka majibu - Na ni kazi ya Mamlaka kufanya hivyo sio kusikia kutoka kwenye Grapevine
 
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Stephen Wasira amesema "Kupotezwa Watu ni uhalifu na CCM hakina Sera yakupteza Watu. Lakini uhalifu ni uhalifu, na uhalifu unabadili sura, na wakati mwingine uhalifu unaweza kufanyika kwa ajili ya kuchonganisha jamii"

"Uhalifu siyo ishu ya Siasa, na uhalifu duniani kote upo na unabadilisha sura"

"Sitaki kuzungumza sana mambo ya Polepole kwasababu sasa hivi yanachunguzwa na Polisi, lakini yako maswali vilevile juu ya Polepole kwasababu, Polisi haohao walimwandikia wito aende akaandikishe kwao mambo anayo yazungumza kupitia mtandao ili wayachunguze Polepole akawaambia yeye yuko nje ya nchi...ametelekezwa Cuba alafu ghafla ametekwa Tanzania"

Wazee WENGINE

Shamelessness.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom