GE2025 Wasira: Kuna maswali kuhusu Polepole, alisema ametelekezwa Cuba halafu ghafla ikawa ametekwa Tanzania!

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Stephen Wasira amesema "Kupotezwa Watu ni uhalifu na CCM hakina Sera yakupteza Watu. Lakini uhalifu ni uhalifu, na uhalifu unabadili sura, na wakati mwingine uhalifu unaweza kufanyika kwa ajili ya kuchonganisha jamii"

"Uhalifu siyo ishu ya Siasa, na uhalifu duniani kote upo na unabadilisha sura"

"Sitaki kuzungumza sana mambo ya Polepole kwasababu sasa hivi yanachunguzwa na Polisi, lakini yako maswali vilevile juu ya Polepole kwasababu, Polisi haohao walimwandikia wito aende akaandikishe kwao mambo anayo yazungumza kupitia mtandao ili wayachunguze Polepole akawaambia yeye yuko nje ya nchi...ametelekezwa Cuba alafu ghafla ametekwa Tanzania"

Kwa hapa tulipofikia, ukiona mtu ana doubt kuhusu habari za government critic fulani kutekwa, ujue yeye ni wa kambi ya watekaji.
 
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Stephen Wasira amesema "Kupotezwa Watu ni uhalifu na CCM hakina Sera yakupteza Watu. Lakini uhalifu ni uhalifu, na uhalifu unabadili sura, na wakati mwingine uhalifu unaweza kufanyika kwa ajili ya kuchonganisha jamii"

"Uhalifu siyo ishu ya Siasa, na uhalifu duniani kote upo na unabadilisha sura"

"Sitaki kuzungumza sana mambo ya Polepole kwasababu sasa hivi yanachunguzwa na Polisi, lakini yako maswali vilevile juu ya Polepole kwasababu, Polisi haohao walimwandikia wito aende akaandikishe kwao mambo anayo yazungumza kupitia mtandao ili wayachunguze Polepole akawaambia yeye yuko nje ya nchi...ametelekezwa Cuba alafu ghafla ametekwa Tanzania"

Naona mzee amevimbibwa na shibe
 
Kama wazee tuliobaki nayo ni hawa, tuna shida kubwa. This thing has already retired and expired and must be sent home to play with its grandkids.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom