Wasira: CCM imejaa fitina na unafiki

Wasira: CCM imejaa fitina na unafiki

Huyo ni kada mwaminifu na mtiifu wa ccm labda kuliko wote kwa sasa ndani ya ccm. Anasema ccm kumejaa fitina na majungu mengi ili kulinda nafasi za wahusika...

Like amejiiunga ccm juzi hahaa
 
Ukisha jaza wavaa kobazi lazima chama kiharibike nakumbuka enzi za Kikwete na makamba

USSR
Huu ndio ukweli, wavaa kobazi, Huwa sio watu wakuamini.

Mimi Huwa sitaki hata urafiki wa Ndani nahawa watu, ni wanafiki mnooo, watu wa majungu sana na kujipendekeza.

Usifanye urafiki na Hawa watu, hawachelewi kukugeuka.
 
Utapigwa mawe kuliko Wasira.
Kuna Mtu ( hasa hawa wana CCM ) wasioujua Moto wangu GENTAMYCINE hapa JamiiForums?

Nitawapokea kama watakavyokuja na labda kupitia Kwako hapa niwaonye waje Kistaarabu vinginevyo watapokea kile ambacho Palestine inakipokea kutoka kwa Taifa Teule la Israel.

Nawasubiri na leo nimekaa Kiugomvi Ugomvi / Kiusununu baada ya CAF Kunikera kunipanga na Muuaji Katili Wydad Casablanca FC ya Morocco katika Nusu Fainali ya CAFCL.

Sanda tutavalishiwa Dar es Salaam na Mazishi Kamili na ya Kutukuka ni Jijini Casablanca.

Cc: Bujibuji Simba Nyamaume
 
"CCM kwa sasa kumejaa Majungu na Fitna na kama haya yasiporekebishwa haraka Chama kitaparaganyika na Watu kuvuragana kisha Kuanguka Kisiasa"

Akina GENTAMYCINE Kutwa tukiwa tunasema hapa JamiiForums kuwa CCM kuna tatizo Kubwa na Chama Kijitafakari pamoja na Watendaji wake huwa hamtuelewi na badala yake mnatutukana na hata kutuundia Tume / Kamati za Kutunyamazisha.

Haya mbishieni sasa Mzee Wassira.
Mbona J S Warioba aliwahi kuema hayo enzi Y MAKAMBA akiwa KM lkn Makamba huyohuyo na KINGUNGE wakawa na kipindi maalumu kupitia TBC TV kwa ajili ya kujibu hoja ya Warioba na waliishia kumwambia kuwa aanzishe chama chake. Ajabu Kingunge alihama ccm baadae.

Kumbe Gentamycine ni mgeni Tz?
 
Kuna Mtu ( hasa hawa wana CCM ) wasioujua Moto wangu GENTAMYCINE hapa JamiiForums? Nitawapokea kama watakavyokuja na labda kupitia Kwako hapa niwaonye waje Kistaarabu vinginevyo watapokea kile ambacho Palestine inakipokea kutoka kwa Taifa Teule la Israel.
Hakika,, Dawa ya mtu mjinga, uende naye Kichwa Kichwa .

Ng'ombe jeuri, wee mshike pemben zake
 
"CCM kwa sasa kumejaa Majungu na Fitna na kama haya yasiporekebishwa haraka Chama kitaparaganyika na Watu kuvuragana kisha Kuanguka Kisiasa"

Akina GENTAMYCINE Kutwa tukiwa tunasema hapa JamiiForums kuwa CCM kuna tatizo Kubwa na Chama Kijitafakari pamoja na Watendaji wake huwa hamtuelewi na badala yake mnatutukana na hata kutuundia Tume / Kamati za Kutunyamazisha.

Haya mbishieni sasa Mzee Wassira.
Mbona hiyo itakuwa ni habari njema 🏃🏃
 
CCM inataka Maridhiano na vyama vingine vya siasa wakati ndani ya CCM kuna makundi yanavutana miaka nenda rudi na Mwenyekiti hataki kufanya Maridhiano ya ndani kwake kwanza.
 
"CCM kwa sasa kumejaa Majungu na Fitna na kama haya yasiporekebishwa haraka Chama kitaparaganyika na Watu kuvuragana kisha Kuanguka Kisiasa"

Akina GENTAMYCINE Kutwa tukiwa tunasema hapa JamiiForums kuwa CCM kuna tatizo Kubwa na Chama Kijitafakari pamoja na Watendaji wake huwa hamtuelewi na badala yake mnatutukana na hata kutuundia Tume / Kamati za Kutunyamazisha.

Haya mbishieni sasa Mzee Wassira.
Hata Hayati Mzee Mkapa akiwa Rais na Mwenyekiti wa CCM aliwahi kusema hivyo hivyo, lakini CCM ipo imara hadi leo. Wapi utakuta kundi la watu wakiwa pamoja na hakuna majungu, fitina, uongo, nk? Anzia ofisini kwenu!
 
Lazima pawe na matatizo. Lile fisadi kustaafu halitaki limejipa awamu nyingine ya kuharibu nchi, wanachama makini hawawezi kukubali
 
Back
Top Bottom