Wasira: CCM imejaa fitina na unafiki

Wasira: CCM imejaa fitina na unafiki

Hajamalizia uchawi, usharati wizi na dhulma. Ni genge la fisi wenye njaa na wamekusanyika kwaajili ya mzoga(mamlaka) nje ya hapo hakuna CCM!
Mzee kaamua kumwaga mboga
 
Enzi za mwalimu yupo akaja Mwinyi yupo akaingia Mkapa yupo akaja Kikwete huyu jamaa yupo akaja Magu yupo awamu ya Samia yupooo!Huyu jamaa atalea lini wajukuu zake
 
Huyo ni kada mwaminifu na mtiifu wa ccm labda kuliko wote kwa sasa ndani ya ccm. Anasema ccm kumejaa fitina na majungu mengi ili kulinda nafasi za wahusika.

Kama Wasira amekiri huo uchafu ndani ya chama mimi nani nisiamini kuwa ccm haifai kuendelea kushika dola? Watanzania tufanye maamuzi magumu tuiondoshe ccm madarakani mwaka 2025.

View attachment 2578249
Hii ni nyara toka hifadhi ya Gombe

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Huyo ni kada mwaminifu na mtiifu wa ccm labda kuliko wote kwa sasa ndani ya ccm. Anasema ccm kumejaa fitina na majungu mengi ili kulinda nafasi za wahusika.

Kama Wasira amekiri huo uchafu ndani ya chama mimi nani nisiamini kuwa ccm haifai kuendelea kushika dola? Watanzania tufanye maamuzi magumu tuiondoshe ccm madarakani mwaka 2025.

View attachment 2578249
Hyuupoh...!!
 
"CCM kwa sasa kumejaa Majungu na Fitna na kama haya yasiporekebishwa haraka Chama kitaparaganyika na Watu kuvuragana kisha Kuanguka Kisiasa"

Akina GENTAMYCINE Kutwa tukiwa tunasema hapa JamiiForums kuwa CCM kuna tatizo Kubwa na Chama Kijitafakari pamoja na Watendaji wake huwa hamtuelewi na badala yake mnatutukana na hata kutuundia Tume / Kamati za Kutunyamazisha.

Haya mbishieni sasa Mzee Wassira.
Hiyo kauli ya mzee ni nzito sana!

Ni kama kwamba move fulanj ya kuhalalisha mgawanyiko rasmi utakao zaa chama kingine kipya au wimbi kipya la ccm A na ccm B!!

Ngoja tuone!
 
Wasije wakamchomoa tu pale mwl nyerere memorial academy
 
Mwanachama wa CXM mwenye elimu ya chini kabisa ana Bachelor ya unafiki. Waliobaki (wakongwe) wana Postgraduate, masters na PhD.
 
Hiyo kauli ya mzee ni nzito sana!

Ni kama kwamba move fulanj ya kuhalalisha mgawanyiko rasmi utakao zaa chama kingine kipya au wimbi kipya la ccm A na ccm B!!

Ngoja tuone!
Naweza kukuamini maana watu kama mzee Wasira ndiyo huwaga wanakitetea chama na kutatua minyukano itokeapo ndani ya chama.

Sasa kama ameamua kuyamwaga hadharani basi ujue uvumilivu umefikia kikomo.
 
Ukiangalia kwa makini utagundua kuwa kasi ya chawa imepunguzwa kwa ile ripoti ya CAG na nina wasiwasi na nafasi yake huko tuendako.

Kwa sababu CCM ishajipiga risasi za kisogoni na haiwezi kusimama majukwaani kwa kujiamini na pia wananchi ambao ndo wapiga kura bado waangalia mwenendo mzima.

Hii kauli ya mzee Wasira ni ishara ingine tosha kwamba ndani ya CCM kuna makundi zaidi ya 4 ambayo yanapigania maslahi.

Mzee Wasira ajiona kuwa hatopoteza chochote yeye asema yale ambayo kama mtu mzima alokula chumvi akiwakilisha wazee wengine kama Mangula ambao siku zote wafuata misingi ya chama.

Pia majibu ya dharau kutoka kwa Ridhiwani jana Bungeni kuhusu fedha za taasisi za wastaafu au wajane wao khasa ya mama JPM inoshughulika na wazee si kauli nzuri ingerekebishwa kidogo kupoza moto, yaitwa "rephrasing".

Na ujio wa Tundu Lissu (ingawa kwa sasa si tishio sana) waweza kuwa umeamsha mtikisiko upya.

Hivyo jinsi siku zinavozidi kusogea tukae tayari kushuhudia mambo mazito yakiibuka kutoka humohumo CCM.

Ila hii (kauli ya mzee Wasira) yazidi kuwazima chawa wote na hata UVCCM ambao hawana ubavu wa kuja kumpinga huyo mzee.
Mzee huyu amekula chumvi,

Hivi amezidiwa na Mzee ruksa miaka mingapi?
 
Wasije wakamchomoa tu pale mwl nyerere memorial academy
Kwani amemtaja mtu?

Au Ukiwa ndani ya CCMM ni sifa kuwa mnafiki?

CCM asili haikuwa hivyo WASIRA aliyoiona tangu akiwa Mpinzani enzi za Nyerere.
 
Ili uwe mwana CCM unayekubalika na kupewa teuzi mara kadhaa unafiki na wizi ni sifa zinazoangaliwa kama vigezo. Angalieni report ya CAG wizi wa mabilioni na nchi inadidimia,wananchi wake wanakwama na mabarabara ya matope vijijini
 
Ccm ipo madarakani Kwa msaada wa jeshi la polisi na vikundi vingine vingine vya hovyo hovyo
 
Huyo ni kada mwaminifu na mtiifu wa ccm labda kuliko wote kwa sasa ndani ya ccm. Anasema ccm kumejaa fitina na majungu mengi ili kulinda nafasi za wahusika.

Kama Wasira amekiri huo uchafu ndani ya chama mimi nani nisiamini kuwa ccm haifai kuendelea kushika dola? Watanzania tufanye maamuzi magumu tuiondoshe ccm madarakani mwaka 2025.

View attachment 2578249
Yenye mwenyewe ni mnafiki mkubwa
 
Ili uwe mwana CCM unayekubalika na kupewa teuzi mara kadhaa unafiki na wizi ni sifa zinazoangaliwa kama vigezo. Angalieni report ya CAG wizi wa mabilioni na nchi inadidimia,wananchi wake wanakwama na mabarabara ya matope vijijini
Hapo unapata uteuzi chap kwenda kulinda maslahi ya mafisadi
 
Haya mbishieni sasa Mzee Wassira.

Huyu Mzee Wassira Wakati wa jiwe tukimuita GOMBE ni mchumia tumbo sana na pia mnafiki. Nakumbuka Kikwete alimtumia sana enzi zake kumfunga mdomo Sinde Warioba kwenye siasa zao za kikurya! Ni mchumia tumbo mzuri ambae Jiwe alimshtukia hata siku moja alimfungia kuingia Ikulu kwenye mkutano wa halmashauri kuu kwsababu ya unafiki wake wa kutaka kupenyeza agenda za Membe kinyemela kwenye mkutano!
 
Siyo CCM tu,vyama vyote vya siasa,vyama vyote vya wafanya kazi na Dini zote na madhehebu yote ni vyuo vya UNAFIKI.
Umenena haswaaaa, kwenye makundi ya kitaasisi kote duniani ni kawaida kukuta unafiki na ufitini sababu kanuni ya uumbaji ya ushindani. Kila mtu anajaribu kumshusha aliyeko juu akae yeye au fitina na unafiki wa kundi moja litoe kundi jingine ktk nafasi yake likae lao.
 
Back
Top Bottom