Wasira: CCM imejaa fitina na unafiki

Wasira: CCM imejaa fitina na unafiki

SIASA NA FITINA HAWA NI NDUGU MOJA, NA WAPO KWENYE VYAMA VYOTE DUNIANI.
Ccm wamezidi kuwa wezi wa rasilimali za taifa.

Ili waendelee kufanya huo ujinga ni lazima wawe wanafiki
 
Huyo ni kada mwaminifu na mtiifu wa ccm labda kuliko wote kwa sasa ndani ya ccm. Anasema ccm kumejaa fitina na majungu mengi ili kulinda nafasi za wahusika.

Kama Wasira amekiri huo uchafu ndani ya chama mimi nani nisiamini kuwa ccm haifai kuendelea kushika dola? Watanzania tufanye maamuzi magumu tuiondoshe ccm madarakani mwaka 2025.

View attachment 2578249
Bora CCM kuliko chama chochote kingine hapa nchini. Japo CCM imelea ujinga mwingi sana.

Imelea watu wazembe na wavivu na kuacha wachapa kazi.
 
Kumekucha. Mshamba a.k.a MATAGA a.k.a Inzi wa kijaniwansruka na kukanyagana.

Mtu wa tatu kuyasema haya.

Wa kwakwanza kabisa alikuwa Rostam Azizi enzi zile anaachia ubunge.

Wa pili ni Humphrey Polepole. Huyu mzee Wasira ni wa tatu kuinanga ccm kuhusu unafiki na fitina.
 
Bora CCM kuliko chama chochote kingine hapa nchini. Japo CCM imelea ujinga mwingi sana.

Imelea watu wazembe na wavivu na kuacha wachapa kazi.
Imewalea wavivu,wapiga majungu, wafitini,wambea,majizi na kina Hamza
 
"CCM kwa sasa kumejaa Majungu na Fitna na kama haya yasiporekebishwa haraka Chama kitaparaganyika na Watu kuvuragana kisha Kuanguka Kisiasa"

Akina GENTAMYCINE Kutwa tukiwa tunasema hapa JamiiForums kuwa CCM kuna tatizo Kubwa na Chama Kijitafakari pamoja na Watendaji wake huwa hamtuelewi na badala yake mnatutukana na hata kutuundia Tume / Kamati za Kutunyamazisha.

Haya mbishieni sasa Mzee Wassira.
Ukiangalia kwa makini utagundua kuwa kasi ya chawa imepunguzwa kwa ile ripoti ya CAG na nina wasiwasi na nafasi yake huko tuendako.

Kwa sababu CCM ishajipiga risasi za kisogoni na haiwezi kusimama majukwaani kwa kujiamini na pia wananchi ambao ndo wapiga kura bado waangalia mwenendo mzima.

Hii kauli ya mzee Wasira ni ishara ingine tosha kwamba ndani ya CCM kuna makundi zaidi ya 4 ambayo yanapigania maslahi.

Mzee Wasira ajiona kuwa hatopoteza chochote yeye asema yale ambayo kama mtu mzima alokula chumvi akiwakilisha wazee wengine kama Mangula ambao siku zote wafuata misingi ya chama.

Pia majibu ya dharau kutoka kwa Ridhiwani jana Bungeni kuhusu fedha za taasisi za wastaafu au wajane wao khasa ya mama JPM inoshughulika na wazee si kauli nzuri ingerekebishwa kidogo kupoza moto, yaitwa "rephrasing".

Na ujio wa Tundu Lissu (ingawa kwa sasa si tishio sana) waweza kuwa umeamsha mtikisiko upya.

Hivyo jinsi siku zinavozidi kusogea tukae tayari kushuhudia mambo mazito yakiibuka kutoka humohumo CCM.

Ila hii (kauli ya mzee Wasira) yazidi kuwazima chawa wote na hata UVCCM ambao hawana ubavu wa kuja kumpinga huyo mzee.
 
Wacha kukufuru,ogopa Mungu yaani jiwe uzalendo huo apate wapi?

Unafuga kina Sabaya alafu ujiite mzalendo?
Kwenye suala la uteuzi wa Sabaya, Makonda na Gambo Dr Magufuli sikumuelewa aliona nini kizuri kwa hawa Watu.
 
Wacha kukufuru,ogopa Mungu yaani jiwe uzalendo huo apate wapi?

Unafuga kina Sabaya alafu ujiite mzalendo?
Kwenye suala la uteuzi wa Sabaya, Makonda na Gambo Dr Magufuli sikumuelewa aliona nini kizuri kwa hawa Watu.
 
"CCM kwa sasa kumejaa Majungu na Fitna na kama haya yasiporekebishwa haraka Chama kitaparaganyika na Watu kuvuragana kisha Kuanguka Kisiasa"

Akina GENTAMYCINE Kutwa tukiwa tunasema hapa JamiiForums kuwa CCM kuna tatizo Kubwa na Chama Kijitafakari pamoja na Watendaji wake huwa hamtuelewi na badala yake mnatutukana na hata kutuundia Tume / Kamati za Kutunyamazisha.

Haya mbishieni sasa Mzee Wassira.
Wamekusoma ni utekelezaji Tu ndo unafuata
 
Kwenye suala la uteuzi wa Sabaya, Makonda na Gambo Dr Magufuli sikumuelewa aliona nini kizuri kwa hawa Watu.
Hao ndiyo vijana waliokuwa wanatekeleza maagizo yake maana hata Sabaya kwenye moja ya utetezi wake alisema kuwa aliyo yafanya alikuwa anatekeleza maagizo ya mkuu wake
 
Hajamalizia uchawi, usharati wizi na dhulma. Ni genge la fisi wenye njaa na wamekusanyika kwaajili ya mzoga(mamlaka) nje ya hapo hakuna CCM!
 
Back
Top Bottom