Wasira: Urais 2025, chanzo upotosha uwekezaji bandari

peno hasegawa

JF-Expert Member
Feb 24, 2016
12,828
21,461
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Stephen Wasira, amesema chanzo cha upotoshaji kuhusu uwekezaji wa bandani ni siasa za uchaguzi wa mwaka 2025, ambapo baadhi ya watu wanamezea mate urais.

Wasira ameyasema hayo leo Jumamosi Julai 22, 2023 akizungumza katika mkutano wa hadhara katika viwanja vya Sheikh Amri Abeid, ambao umewakutanisha wananchi kutoka mikoa ya Arusha, Kilimanjaro na Manyara.

Lengo la mkutano huo ni kutoa elimu ya makubaliano ya Serikali ya Tanzania na Dubai, kuhusu uendeshaji wa bandari ya Dar Es Salaam,

Wasira amesama kuwa Rais Samia Suluhu Hassan alipoingia madarakani wengine walidhani atashindwa katika kipindi cha miezi sita, hivyo kutokana na anayoendelea kutekeleza, suala la bandari linapotoshwa na baadhi ya watu wanaoimezea mate nafasi hiyo.

"Kwenye bandari tunahitaji ufanisi kutoka duniani, hao waliowekeza kwenye madini walipatikanaje, kwani walipigiwa kura, waliojenga hoteli Serengeti mliwapigia kura? Amehoji kada huyo wa CCM na kuongeza;

"Ubaya ni siasa, tena siasa za uchaguzi za mwaka 2025; watu wanaumezea mate urais. Rais Samia alipoingia, waliona yeye ni wa muda, atashindwa baada ya miezi sita; wanafanana na hadithi ya fisi na mkono wa mtu hilo ndiyo tatizo letu."

Wasira ameongeza kusema: "…Samia amewapiga bao wapinzani wetu, anajenga madarasa hatuchangi, watoto walikuwa wanaenda darasani kwa zamu, tatizo mafanikio yamekuwa mengi kuliko uongo, anaweka umeme bila kujali kuna nyumba ya bati au tembe.”

Kwa mujibu wa mjumbe huyo wa Nec, miaka miwili baada ya kifo cha Hayati Rais Dk John Magufuli, Rais Samia aliachiwa bwawa la Nyerere ujenzi ukiwa umefikia asilimia 37 na kwmba sasa limefika asilimia 90 ya kukamilika kwake.

"Reli ya Kati ilikuwa imejengwa hadi Morogoro, leo ina wakandarasi hadi Mwanza na Kigoma, barabara ngapi ziliachwa na mpya anafungua? Hayo ndiyo mambo yanafanya uongo badala ya ukweli, hapa tunashughulika na fitina hakuna jambo la maana ambalo lingefanywa watanzania wadanganyike na uongo haujaanza leo umeanza bustani ya edeni," amesema.

Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Atupele Mwakidete amesema sababu kubwa ya kutafuta mwekezaji kwa bandari hiyo baada ya kuona meli nyingi za mizigo zinasimama muda mrefu kusubiri kushusha shehena kwa sababu ya ukosefu wa zana kutosha.

Mwakidete anaamini kuwa meli ya mizigo inaposubiri kwa siku tano hadi 10 ndipo ishushe mizingo, husababisha gharama kubwa kwa mwenye meli, zitokanazo na malipo ya siku anzosubiri kushusha mzigo.

"Kwa siku tano gharama ya kusubiri kushusha mzigo ni dola 25,000 sawa na Sh58 milioni na ikisimama zaidi ya siku hizi na gharama yake inapanda juu," alisema.

Vile vile, sababu nyingine ni za ushindani, baada ya nchi za Uganda, Jamuhuri ya Congo, Rwanda, Zambia na Malawi, kupunguza kushusha mizigo yao kwenye bandari hiyo, huku sababu ikitajwa ucheleweshaji wa mizigo na hivyo kupitisha mizigo yao nchi shindani.

Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge Uwekezaji na Mitaji Jerry Slaa, amesema mpaka sasa hakuna mradi wowote unaoendelea kuhusu uwekezaji wa bandari hadi mikataba mingine miwili itakaposainiwa.

Amesema uwekezaji huo ufafanyika hatua kwa hatua kwa kuzingatia sheria za nchi na maslahi mapana ya Taifa na hautajumuisha uwekezaji katika bandari ya Tanga na Mtwara pamoja na sekta ya ardhi.

Mwananchi.
 
Watanganyika njooni msikilize mkataba uliosainiwa na Rais na kupitishwa na BungeMAPUNGUFU YAKE.

Wasira, Jerry Silaa na Chogolo hawata dhubutu kuyasema.
DA7BF3C8-7299-4227-9A58-0F2B39AB8B31.jpeg
 
Huu ni utaahira..,

Hoja kuu zinazohitaji majibu ni hizi hapa

1.) Tofauti ya ‘Makubaliano’ na ‘Mkataba’ ni ipi hasa kiasi mseme ule sio mkataba, kwamba ni makubaliano tu ya awali, na je Mkataba huo (makubaliano hayo) ni wa miaka mingapi? (UKOMO)

2.) Ni kwa faida ya nani kwamba DPW anapewa haki ya bandari zote za Tanganyika, kwamba hakuna mwekezaji mwingine yeyote anaweza kuja kufanya uwekezaji kwenye bandari za Tanganyika bila udalali wa DPW, je, ukiritimba huu ni kwa faida ya nani?

3.) Ni kwa faida ya nani, DPW apewe haki ya kudai kipande chochote cha ardhi yenye ukubwa wowote anaoutaka yeye ndani ya ‘Territory’ ya Tanganyika na sisi tumpe ardhi hiyo kwa kuondoa watu na miradi yote ndani ya eneo alilolitaka, na tumpatie bire kabisa kwa gharama zetu sisi, hata fidia tulipe sisi ili kuondoa watu kumpisha, huu uwendawazimu ni kwa faida ya nani?

4.) Ni kwa faida ya nani, kwamba sisi tuliowekeza matrillion ya mikopo kuendeleza bandari na tukiwa kama wamiliki wa rasimali ya bandari, tupate 0% ya faida itakayotokana na uendeshaji wa huduma za kibandari, yaani ni kana kwamba yeye kawekeza 100% na hivyo achukue 100%? Uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?

5.) Ni kwa faida ya nani, kwamba mkataba unahusisha bandari za Tanganyika tu na sio za Zanzibar, ilihali bandari ni suala la Muungano? Je, Zanzibar haitaki kunufaika au yenyewe haitaki matunda ya mkataba huu? Ukizingatia walioongia huu mkataba wote ni waZanzibari, kuanzia Samiah Suluhu Hassan, Makame Mbarawah, Hamza Johari na wenzao, kwamba hawataki Zanzibar yao ipate matunda mazuri ya mkataba huu?!

6.) Ni kwa faida ya nani kusema kwamba, hata DPW akavunja mkataba na kukiuka kanuni na taratibu zote zinazotambulika kimataifa, bado hatutaweza kuvunja , kuusema vibaya au kujitoa kwenye mkataba, milele! Uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?

7.) Ni kwa faida ya nani kwamba pamoja na kuwa DPW watachukua 100% ya faida, bado tena faida hiyo watapewa Msamaha wa kodi kwa 100%, yaani hata hicho wanachovuna nacho hatuchukui kodi, na wakti huo huo tunakamuliwa kodi za miamala, uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?
 
Hao wanaompinga Samia wanao mawakala wao hata humu jamvini. Tatizo ni akili zile zile za Odinga kule Kenya.

Kwamba anayoanza kuifikiria ni nafsi yake anakuwa hajali kabisa maisha ya hao wanaokuwa wapambe wake namna yatakavyoweza kuharibiwa na hiyo michakato ya kutafuta kwenda ikulu.

Kutumia utanganyika kwa kupinga hoja ya bandari kunaweza kabisa kuivunja nchi, busara za kawaida na ziwe sehemu ya mawazo ya hao wanaoutaka urais 2025.
 
Mkuu Francis umekuwa kasuku wa kurudia vifungu hivi hivi kila kukicha.

Vimeshatolewa ufafanuzi wa kutosha na wanasheria.
 
Hao wanaompinga Samia wanao mawakala wao hata humu jamvini. Tatizo ni akili zile zile za Odinga kule Kenya.

Kwamba anayoanza kuifikiria ni nafsi yake anakuwa hajali kabisa maisha ya hao wanaokuwa wapambe wake namna yatakavyoweza kuharibiwa na hiyo michakato ya kutafuta kwenda ikulu.

Kutumia utanganyika kwa kupinga hoja ya bandari kunaweza kabisa kuivunja nchi, busara za kawaida na ziwe sehemu ya mawazo ya hao wanaoutaka urais 2025.
Hoja yako ni ipi? Mkataba au mnatoa Makubaliano, vipengele vyake vinafaa au havifai?
 
Huu ni utaahira..,

Hoja kuu zinazohitaji majibu ni hizi hapa

1.) Tofauti ya ‘Makubaliano’ na ‘Mkataba’ ni ipi hasa kiasi mseme ule sio mkataba, kwamba ni makubaliano tu ya awali, na je Mkataba huo (makubaliano hayo) ni wa miaka mingapi? (UKOMO)

2.) Ni kwa faida ya nani kwamba DPW anapewa haki ya bandari zote za Tanganyika, kwamba hakuna mwekezaji mwingine yeyote anaweza kuja kufanya uwekezaji kwenye bandari za Tanganyika bila udalali wa DPW, je, ukiritimba huu ni kwa faida ya nani?

3.) Ni kwa faida ya nani, DPW apewe haki ya kudai kipande chochote cha ardhi yenye ukubwa wowote anaoutaka yeye ndani ya ‘Territory’ ya Tanganyika na sisi tumpe ardhi hiyo kwa kuondoa watu na miradi yote ndani ya eneo alilolitaka, na tumpatie bire kabisa kwa gharama zetu sisi, hata fidia tulipe sisi ili kuondoa watu kumpisha, huu uwendawazimu ni kwa faida ya nani?

4.) Ni kwa faida ya nani, kwamba sisi tuliowekeza matrillion ya mikopo kuendeleza bandari na tukiwa kama wamiliki wa rasimali ya bandari, tupate 0% ya faida itakayotokana na uendeshaji wa huduma za kibandari, yaani ni kana kwamba yeye kawekeza 100% na hivyo achukue 100%? Uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?

5.) Ni kwa faida ya nani, kwamba mkataba unahusisha bandari za Tanganyika tu na sio za Zanzibar, ilihali bandari ni suala la Muungano? Je, Zanzibar haitaki kunufaika au yenyewe haitaki matunda ya mkataba huu? Ukizingatia walioongia huu mkataba wote ni waZanzibari, kuanzia Samiah Suluhu Hassan, Makame Mbarawah, Hamza Johari na wenzao, kwamba hawataki Zanzibar yao ipate matunda mazuri ya mkataba huu?!

6.) Ni kwa faida ya nani kusema kwamba, hata DPW akavunja mkataba na kukiuka kanuni na taratibu zote zinazotambulika kimataifa, bado hatutaweza kuvunja , kuusema vibaya au kujitoa kwenye mkataba, milele! Uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?

7.) Ni kwa faida ya nani kwamba pamoja na kuwa DPW watachukua 100% ya faida, bado tena faida hiyo watapewa Msamaha wa kodi kwa 100%, yaani hata hicho wanachovuna nacho hatuchukui kodi, na wakti huo huo tunakamuliwa kodi za miamala, uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?

Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Stephen Wasira, amesema chanzo cha upotoshaji kuhusu uwekezaji wa bandani ni siasa za uchaguzi wa mwaka 2025, ambapo baadhi ya watu wanamezea mate urais.

Wasira ameyasema hayo leo Jumamosi Julai 22, 2023 akizungumza katika mkutano wa hadhara katika viwanja vya Sheikh Amri Abeid, ambao umewakutanisha wananchi kutoka mikoa ya Arusha, Kilimanjaro na Manyara.

Lengo la mkutano huo ni kutoa elimu ya makubaliano ya Serikali ya Tanzania na Dubai, kuhusu uendeshaji wa bandari ya Dar Es Salaam,

Wasira amesama kuwa Rais Samia Suluhu Hassan alipoingia madarakani wengine walidhani atashindwa katika kipindi cha miezi sita, hivyo kutokana na anayoendelea kutekeleza, suala la bandari linapotoshwa na baadhi ya watu wanaoimezea mate nafasi hiyo.

"Kwenye bandari tunahitaji ufanisi kutoka duniani, hao waliowekeza kwenye madini walipatikanaje, kwani walipigiwa kura, waliojenga hoteli Serengeti mliwapigia kura? Amehoji kada huyo wa CCM na kuongeza;

"Ubaya ni siasa, tena siasa za uchaguzi za mwaka 2025; watu wanaumezea mate urais. Rais Samia alipoingia, waliona yeye ni wa muda, atashindwa baada ya miezi sita; wanafanana na hadithi ya fisi na mkono wa mtu hilo ndiyo tatizo letu."

Wasira ameongeza kusema: "…Samia amewapiga bao wapinzani wetu, anajenga madarasa hatuchangi, watoto walikuwa wanaenda darasani kwa zamu, tatizo mafanikio yamekuwa mengi kuliko uongo, anaweka umeme bila kujali kuna nyumba ya bati au tembe.”

Kwa mujibu wa mjumbe huyo wa Nec, miaka miwili baada ya kifo cha Hayati Rais Dk John Magufuli, Rais Samia aliachiwa bwawa la Nyerere ujenzi ukiwa umefikia asilimia 37 na kwmba sasa limefika asilimia 90 ya kukamilika kwake.

"Reli ya Kati ilikuwa imejengwa hadi Morogoro, leo ina wakandarasi hadi Mwanza na Kigoma, barabara ngapi ziliachwa na mpya anafungua? Hayo ndiyo mambo yanafanya uongo badala ya ukweli, hapa tunashughulika na fitina hakuna jambo la maana ambalo lingefanywa watanzania wadanganyike na uongo haujaanza leo umeanza bustani ya edeni," amesema.

Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Atupele Mwakidete amesema sababu kubwa ya kutafuta mwekezaji kwa bandari hiyo baada ya kuona meli nyingi za mizigo zinasimama muda mrefu kusubiri kushusha shehena kwa sababu ya ukosefu wa zana kutosha.

Mwakidete anaamini kuwa meli ya mizigo inaposubiri kwa siku tano hadi 10 ndipo ishushe mizingo, husababisha gharama kubwa kwa mwenye meli, zitokanazo na malipo ya siku anzosubiri kushusha mzigo.

"Kwa siku tano gharama ya kusubiri kushusha mzigo ni dola 25,000 sawa na Sh58 milioni na ikisimama zaidi ya siku hizi na gharama yake inapanda juu," alisema.

Vile vile, sababu nyingine ni za ushindani, baada ya nchi za Uganda, Jamuhuri ya Congo, Rwanda, Zambia na Malawi, kupunguza kushusha mizigo yao kwenye bandari hiyo, huku sababu ikitajwa ucheleweshaji wa mizigo na hivyo kupitisha mizigo yao nchi shindani.

Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge Uwekezaji na Mitaji Jerry Slaa, amesema mpaka sasa hakuna mradi wowote unaoendelea kuhusu uwekezaji wa bandari hadi mikataba mingine miwili itakaposainiwa.

Amesema uwekezaji huo ufafanyika hatua kwa hatua kwa kuzingatia sheria za nchi na maslahi mapana ya Taifa na hautajumuisha uwekezaji katika bandari ya Tanga na Mtwara pamoja na sekta ya ardhi.

Mwananchi.

Makongoro Nyerere njoo huku, maana wasira bado yupo.
 
Hebu jibu hilo la kwanza tu
KIlichopelekwa bungeni kwa lugha ya kitaalam kinaitwa IGA, ni azimio la makubaliano ya pande mbili kufanya biashara pale bandarini.

Azimio hilo ndio huzaa mikataba ya kibiashara ya pande mbili yaani project contracts.

Hiyo mikataba ndio huwa na ukomo. kutokana na sababu mbalimbali. Na kufa au kufikia tamati kwa mikataba hiyo ndio huwa ukomo wa hilo azimio lililopita bungeni.
 
Mzee wetu naye anakwama.Kumwambia mama Samia ukweli ili mkataba/makubaliano yafanyiwe marekebisho/maboresho kimaslahi na kiusalama siyo uhaini.CCM wajifunze na wauishi ukweli.Hatuzungumzii jinsi ya kuboresha dinning room ya mtu hapa.Ni bandari ya nchi.
 
KIlichopelekwa bungeni kwa lugha ya kitaalam kinaitwa IGA, ni azimio la makubaliano ya pande mbili kufanya biashara pale bandarini.

Azimio hilo ndio huzaa mikataba ya kibiashara ya pande mbili yaani project contracts.

Hiyo mikataba ndio huwa na ukomo. kutokana na sababu mbalimbali. Na kufa au kufikia tamati kwa mikataba hiyo ndio huwa ukomo wa hilo azimio lililopita bungeni.
Kwahiyo hayo makubaliano (IGA) yaliyosainiwa na kupitishwa bungeni ni mkataba au si mkataba? (YES or NO) na je hayo makubaliano yana nguvu ya kisheria?
 
Huyu wasira apumzike Sasa kiherehere uzeeni si vizuri vijana wasomi wapo kibao kwasasa kapitwa sana na wakati
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom