Wasioweza distance relationship si waaminifu

Mpende na umheshimu mtu anayekuamini ukiwa mbali naye,uko mbali ila anakuamini hana wasiwasi,hata mkiwa kwenye ndoa akienda kumalizia kozi unamwamini.

Wanaoojidai hawawezi distance relationship waogope lazima wakucheat,uko mbali why asichepuke,ukitoka Kidogo lazima uogope kusalitiwe,sio wavumilivu.

Wanaoweza distance relationship ndo mpango,wana subira na wavumilivu.

Ukiona upo na mpenzi na unalala naye kila siku na kuishi pamoja kubali kuumia kichwa.

Ni kweli ila si kama ile ya sauda mwilima na mumewe
 
Unakuwa unammiss sana,how do u feel unapomwona mpenzi wako uliyemmiss na hujamcheat

Unakuwa wet vibaya sana yaani haina haja ya kuandaana wala nini mwili wote unalegea unapata haki yako unaridhika. Hao wanaoshindwa hawapendi bali wanatamani, ukimpenda mtu huwezi kumcheat hata kidogo.
 
thanks my dia.
Sikuwahi ku-doubt mambo yake hata siku moja wakati akivyokuwa mbali.
Mimi sasa, nikisema niko kwa friends napiga story, napewa muda wa kurudi. Na nikisema nimerudi ananiambia ingia skype. Duuhhh. Ilikuwa tabu ila nilijitahidi kumridhisha sababu by so doing najua alikuwa anapata amani.
Ila la kuvunda ni kweli halina ubani. Yote hayo hakuyakumbuka kuwa tulikuwa tunachat na kuongea skype almost muda wote.

Pole sana .
 
Mpende na umheshimu mtu anayekuamini ukiwa mbali naye,uko mbali ila anakuamini hana wasiwasi,hata mkiwa kwenye ndoa akienda kumalizia kozi unamwamini.

Wanaoojidai hawawezi distance relationship waogope lazima wakucheat,uko mbali why asichepuke,ukitoka Kidogo lazima uogope kusalitiwe,sio wavumilivu.

Wanaoweza distance relationship ndo mpango,wana subira na wavumilivu.

Ukiona upo na mpenzi na unalala naye kila siku na kuishi pamoja kubali kuumia kichwa.
long distance relationship bila commitment ya ndoa ni chenga tupu. wanaume huwa wanakumbuka zaidi wake zao na sio girlfriends.
 
ni kuaminiana tu
 
Unakuwa wet vibaya sana yaani haina haja ya kuandaana wala nini mwili wote unalegea unapata haki yako unaridhika. Hao wanaoshindwa hawapendi bali wanatamani, ukimpenda mtu huwezi kumcheat hata kidogo.

kweeli
 
long distance relationship bila commitment ya ndoa ni chenga tupu. wanaume huwa wanakumbuka zaidi wake zao na sio girlfriends.

Husinyo nakupinga...

Unamfaham yule mtangazaji wa SAUTI YA AMERICA ni mtu mbeya (sitamtaja jina) ila wadau humu wanamjua.

huyo dada alikuwa mchumba wa mtangazaji wa STAR TV peter OMARI, walienda wote America kusoma, kabla ya kwenda mahari zilipelekwa kwao binti huko mbeya, then safari ikaanza, muda wote walikuwa pamoja huko chuoni America but baada ya mwanaume kumaliza course yake ikabidi arudi nchini mkewe alikuwa bado kama mwaka hv, baada tu ya jamaa ya kurudi nyumbani demu akapata mzungu huko huko na mawasiliano yakaanza kupungua sana, baadae demu akaja na mzungu kwao kujitambulisha, peter omar akapata taarifa kuwa demu kaja ikabidi awahi mbeya, kufika mbeya akarudishiwa mahari zake.
 
duh!!
duniani kuna watu tuna roho ngumu
 
Binadamu wengi hawana msimamo, hata kama wanao basi hawamaanishi kuwa nao, hata wakimaanisha maxingira na tamaa vinawashinda kuji-control!

kwa mfano: una demu anaenda chuoni kusoma, kabla ya kwenda anaku-promise sana kutokukusaliti, lakini akishafika chuoni tyr maxingira yanambadilisha na anashindwa kuhimili vishawishi na tamaa.
 
Yatasemwa mengi ila ukweli ni
No mfungwa pekee ndiye awezae kukwambia ukweli juu ya maisha ya jela na si askari magereza
 
Husinyo nakupinga...

Unamfaham yule mtangazaji wa SAUTI YA AMERICA ni mtu mbeya (sitamtaja jina) ila wadau humu wanamjua.

huyo dada alikuwa mchumba wa mtangazaji wa STAR TV peter OMARI, walienda wote America kusoma, kabla ya kwenda mahari zilipelekwa kwao binti huko mbeya, then safari ikaanza, muda wote walikuwa pamoja huko chuoni America but baada ya mwanaume kumaliza course yake ikabidi arudi nchini mkewe alikuwa bado kama mwaka hv, baada tu ya jamaa ya kurudi nyumbani demu akapata mzungu huko huko na mawasiliano yakaanza kupungua sana, baadae demu akaja na mzungu kwao kujitambulisha, peter omar akapata taarifa kuwa demu kaja ikabidi awahi mbeya, kufika mbeya akarudishiwa mahari zake.

ndio chenga zenyewe hizo sasa ninazosemea. kama wangekuwa washaoana, mdada angekukuruka huko ila akijua bongo ana mume. hata mwanaume angehangaika tz lakini anajua ana mke america. yaani kama una mahusiano ya mbali nashauri mjitie tu kitanzi cha ndoa kabisaaa ikibidi mzae hata na mtoto connection izidi kuwepo.
 
wengine yalishatushinda. yaani ukae umerelax eti una boyfriend/girlfriend yupo nje!!! mmmmh! wachache wanaokuwaga na mwisho mzuri.
inategemeana na mahusiano yenyewe,itakuwa ishu kama unashindwa kugundua serious na ambaye siyo
 
Binadamu wengi hawana msimamo, hata kama wanao basi hawamaanishi kuwa nao, hata wakimaanisha maxingira na tamaa vinawashinda kuji-control!

kwa mfano: una demu anaenda chuoni kusoma, kabla ya kwenda anaku-promise sana kutokukusaliti, lakini akishafika chuoni tyr maxingira yanambadilisha na anashindwa kuhimili vishawishi na tamaa.

Mmmmhh msitukatishe tamaa Jamani aaaaaahhhhaaaaa, loh. It is very challenge God help us kwa Kweli. Thanks!
 
Ila kuna binadamu wabaya sana jamani, wanaeza muaminisha mtu maneno mpaka akasahau ahadi zake.
Akasahau mapenzi akawa yupoyupo tu

”Nakuapia mwanaume hawezi kukaa bila mchepuko tena yuko huru mbali ...utaniambia” ndio kauli zao.

Wanaongeza "yaani amalize mwezi bila ku do? haipogo"
 
Inawezekana Sana tu, sio kweli lazima Uwe na mwanamke ni kujiendekeza tu na kukosa kazi za kufanya period.
 
watu wakiweza kudumisha mahusiano wakiwa mbali hapo ndipo upendo wa kweli upo. N:B kudumisha mahusiano mkiwa mbali ni nadra sana, na wanaweza watu wachache (ambao hawana mvuto, teh! teh! teh!) hii dunia bhana hata uwe muaminifu vipi... kuna vishawishi vya kukata na shoka hasa mpenz wako akiwa mzuri bac atakua anatongozwa kwa siku mara 10000000000000000000 labada asitoke nje,. katika mara zote hizo akakwepa mitego mara 9000000000000 na ukichanganya na madhaifu ya kibinadamu ndo kabisaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.

N:B Do`nt trust anyone, the devil was once an angel
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom