Wasioweza distance relationship si waaminifu

Wasioweza distance relationship si waaminifu

Hahaha..nilikumiss ati....afu nilikuwa nafatilia kimya kimya nione wapi utajifunga
te h teh teh
Miss u too BRENDA 18 ,unakumbukumbu kumbe,haya sasa
Bonge la Mme nipo available kazi kwako
 
Last edited by a moderator:
nilifanikiwa kukaa na long distance relationship bila kucheat kwa muda wa mwaka mmoja.
Mwenyewe nilikuwa sijiamini kama kweli siku zinaenda na nazidi kumpenda na yeye ndio nina muhitaji zaidi ya mwengine yeyote yule.
Nilifurahi sana siku alivyorudi.
Ila sasa ukaguzi ulioanza hapo ndo ukawa shidaa.
Tulidumu kwa mwaka mmoja tena, ila tuhuma dhidi ya yeyote niliyechat nae awe amenitongoza au text za kuhusu mapenzi ziliniandana na roho iliniuma ni balaa maana Mungu ndio anajua kuwa nilimuheshimu na sikuwahi hata siku moja kumsaliti.
Hakuamini maneno yangu, akanituhumu nina relation ambayo haielewek na ndugu yake kisa aliniita mke wangu(utani wa shemeji). Nilikuwa naweka limit sana katika utani, ilivyoonekana hiyo text ikawasha moto.
Wakati huyo kakake mwenyewe hajawahi kusafiri kuja mkoa niliko kwa kipindi chote hiko na alilijua hilo(taarifa kutoka kwao).
Tuhuma zilinizidi wakati nilijitahidi sanaaaa.
Nikashindwa, nikaamua kuachia ngazi mwenyewe na sidhani kama naweza rudi tena.
Kila nilipojitahidi kumsamehe na kurudisha hali ya zamani ya mapenzi nimeona nashindwa sababu hakuamini maneno yangu wakati mimi niliamini sana maneno na matendo yake alivyokuwa mbali na mimi.
Pole sana,inauma sana mtu anapolalamika kila siku na hakuamini,Ngumu sana kudumu na asiyekuamini
 
Mpende na umheshimu mtu
anayekuamini ukiwa mbali naye,uko mbali ila anakuamini hana
wasiwasi,hata mkiwa kwenye ndoa akienda kumalizia kozi unamwamini.

Wanaoojidai hawawezi distance relationship waogope lazima wakucheat,uko
mbali why asichepuke,ukitoka Kidogo lazima uogope kusalitiwe,sio
wavumilivu.

Wanaoweza distance relationship ndo mpango,wana subira na wavumilivu.

Ukiona upo na mpenzi na unalala naye kila siku na kuishi pamoja kubali
kuumia kichwa.

good theory, mapritenda watasaport
 
Hapa ndio huwa nashindwa kuwaelewa hawa watu!!!

Hauelewe bz haujielewi na haujui, huyu Roho ni msaidizi wa wanadamu katika kila jambo lenye kibali kutoka kwa Mungu,so yes atakusaidia mpaka kwenye mahusiano yako kwa kufanya yale yalio sahihi..
 
Sure, distance is not a major determinant when it comes to trustworthiness. Tumeambiwa mara ngapi humu watu wanapiga mahousegirl wao. Wapi HIMO?
 
te h teh teh
Miss u too BRENDA 18 ,unakumbukumbu kumbe,haya sasa
Bonge la Mme nipo available kazi kwako

Haha..sisahau mimi...mme wa kumpata kirahisi hivyo simtaki mie akuuu🙄🙄 endelea na mkeo
 
Last edited by a moderator:
Pole sana,inauma sana mtu anapolalamika kila siku na hakuamini,Ngumu sana kudumu na asiyekuamini

na hiko ndio kilichonishinda.
Yaani hajui difficulties zote nilizopitia, mtu anakuona siyo.
Ili uishi kwa raha katika relatioship, uaminifu ni kitu cha msingi sana. La sivyo, juhudi zote ni sawa na sifuri
 
My dear pole. Watu kama ex wako huwa ndio wanacheating. Ukiona hivyo alishawahi kufanya hivyo kwa hiyo anafikiri na wewe umo humo..so I'm glad umeachana nae ili upate Amani moyoni mwako. Ungeolewa nae angekuja kukupa shida sana baadae. The thing is once the trust is broken, then no love after that no relationship. Asante .

thanks my dia.
Sikuwahi ku-doubt mambo yake hata siku moja wakati akivyokuwa mbali.
Mimi sasa, nikisema niko kwa friends napiga story, napewa muda wa kurudi. Na nikisema nimerudi ananiambia ingia skype. Duuhhh. Ilikuwa tabu ila nilijitahidi kumridhisha sababu by so doing najua alikuwa anapata amani.
Ila la kuvunda ni kweli halina ubani. Yote hayo hakuyakumbuka kuwa tulikuwa tunachat na kuongea skype almost muda wote.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom