Wasioweza distance relationship si waaminifu

hii kitu ni ngumu sana nipo kwenye hili dimbiwi la "long distance relationship" ni balaa tupu kucheat is inevitable
 
That means hata mkioana akisafiri lazima ucheat!
 
M napenda distance relationship xoz nakuwa sikaguliwi simu.... wala kuwahi kurud hom be
 
i can handle this though ina changamoto nyingi mnooo.. usipokuwa strong unaeza ukaahirisha safari..
 
Viol embu weka avatar bana
 
Last edited by a moderator:
Nikweli ila inahitaji uwe na loho ngum

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
nilifanikiwa kukaa na long distance relationship bila kucheat kwa muda wa mwaka mmoja.
Mwenyewe nilikuwa sijiamini kama kweli siku zinaenda na nazidi kumpenda na yeye ndio nina muhitaji zaidi ya mwengine yeyote yule.
Nilifurahi sana siku alivyorudi.
Ila sasa ukaguzi ulioanza hapo ndo ukawa shidaa.
Tulidumu kwa mwaka mmoja tena, ila tuhuma dhidi ya yeyote niliyechat nae awe amenitongoza au text za kuhusu mapenzi ziliniandana na roho iliniuma ni balaa maana Mungu ndio anajua kuwa nilimuheshimu na sikuwahi hata siku moja kumsaliti.
Hakuamini maneno yangu, akanituhumu nina relation ambayo haielewek na ndugu yake kisa aliniita mke wangu(utani wa shemeji). Nilikuwa naweka limit sana katika utani, ilivyoonekana hiyo text ikawasha moto.
Wakati huyo kakake mwenyewe hajawahi kusafiri kuja mkoa niliko kwa kipindi chote hiko na alilijua hilo(taarifa kutoka kwao).
Tuhuma zilinizidi wakati nilijitahidi sanaaaa.
Nikashindwa, nikaamua kuachia ngazi mwenyewe na sidhani kama naweza rudi tena.
Kila nilipojitahidi kumsamehe na kurudisha hali ya zamani ya mapenzi nimeona nashindwa sababu hakuamini maneno yangu wakati mimi niliamini sana maneno na matendo yake alivyokuwa mbali na mimi.
 
pole sana
 
My dear pole. Watu kama ex wako huwa ndio wanacheating. Ukiona hivyo alishawahi kufanya hivyo kwa hiyo anafikiri na wewe umo humo..so I'm glad umeachana nae ili upate Amani moyoni mwako. Ungeolewa nae angekuja kukupa shida sana baadae. The thing is once the trust is broken, then no love after that no relationship. Asante .
 
Asee distance relation ni kazi,
nilikuwa na mpenzi ambae nilimpenda na nikajitahidi kutomcheat lakini yeye alishindwa,baada ya muda nikagundua anacheat. Kwa sasa siiamini hii kitu japo kwangu ni ngumu kuikwepa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom