Viol
JF-Expert Member
- Dec 15, 2009
- 25,419
- 18,341
Mpende na umheshimu mtu anayekuamini ukiwa mbali naye,uko mbali ila anakuamini hana wasiwasi,hata mkiwa kwenye ndoa akienda kumalizia kozi unamwamini.
Wanaoojidai hawawezi distance relationship waogope lazima wakucheat,uko mbali why asichepuke,ukitoka Kidogo lazima uogope kusalitiwe,sio wavumilivu.
Wanaoweza distance relationship ndo mpango,wana subira na wavumilivu.
Ukiona upo na mpenzi na unalala naye kila siku na kuishi pamoja kubali kuumia kichwa.